Kampuni gani ya Mabasi inayobamba mkoani kwako (Ruti unazosafiri mara nyingi)?

Kampuni gani ya Mabasi inayobamba mkoani kwako (Ruti unazosafiri mara nyingi)?

Hiyo route inazunguka mtera ni ndefu so hakuna gari za maana hata mbeya arusha..ila barabara ya kwenda tabora ikikamilika itapunguza umbali kwa hiyo gari nzuri zitakuja na kutoka mbeya to mwanza/arusha/moshi/kahama/musoma bus zitatoboa badala ya kulala njiani..kuweni wapole bado kipande cha kama km 300 hivi lami kukamilika na uzuri hii njia ina mlima 1 tu
300 km ni kutoka wapi hadi wapi?
Rungwa hadi singida
Labda- sababu hesabu zinagoma.
Vipi kuhusu Rungwa hadi Ipole?
 
Lazima gari nyingi zitapita iringa kwa lengo la biashara, gari za mbeya kwenda mwanza zinaokota abiria kuanzia igurusi,chimala,igawa,makambako,mafinga,iringa,mtera na dodoma

Sasa hiyo njia ya porini itakuaje?
Hiyo route inazunguka mtera ni ndefu so hakuna gari za maana hata mbeya arusha..ila barabara ya kwenda tabora ikikamilika itapunguza umbali kwa hiyo gari nzuri zitakuja na kutoka mbeya to mwanza/arusha/moshi/kahama/musoma bus zitatoboa badala ya kulala njiani..kuweni wapole bado kipande cha kama km 300 hivi lami kukamilika na uzuri hii njia ina mlima 1 tu
 
Tatizo la Bongo ni moja tu.

Kampuni ikiwa mpya inakimbiza. Magari yake yakianza kuchakaa kwa wakati mmoja inakuwa balaa.

Hakuna proper plan ya ku phase-out magari yaliyochoka. Ni breakdown kila siku. Ndiyo kinachompata Darlux kwa sasa.

Vinaanza vikampuni vingine na bus mbili tatu. Yakiwa mapya wanakimbiza. Wape miezi sita au mwaka. Hamna kitu.

Nadhani kwa hili Batco (Mwanza -Tarime) kaliweza maana yeye anakawaida ya kutumia gari kwa mwaka mpaka mitatu analipush
Yako makapuni kibao ya kanda ya ziwa amewasaidia sana.
 
Dar lux Mwanza -Dar , ile kampuni acha kabisa kila kiti usb chaji ..... Siti ni 2 by 2 huwa nikikuta limejaa naairisha kabisa safari
Hakuna bus hapo mkuu.. walichonifanyia siji kurudia, ticket nmekata jumapili nakuja kusafiri jumatano [emoji706]
 
Mkuu sio kampuni moja tuelewane kwa ilo ufanano wa ile mistari ndio isikuaminishe ni kampuni moja. Iyo kitu hakipo

Hilo bus analolisema mkuu hapo juu hata mie nilishaliona hapa Musoma, ni ukweli kwamba lilikua mali ya new force maana pamoja na kuwa lilikua limefutwa lakini ule mchoro wa maandishi ulikua unaonekana vizuri tu na bado rangi iliyotumika kufuta maandishi ya New Force ilikua tofauti na rangi halisi, lakini ukweli unabaki pale pale Frester ni mtu mwingine na New Force ni mtu mwingine
 
Mate wapi hiyo? Peramiho, Ruhuwiko, Msamara, Lizaboni au Londoni?[emoji1787][emoji1787]
Weee mam kumbe kule kwetu unakujua? Mateka, ruvuma, bombambili, mahenge, mfaranyaki, majengo, mshangano, mtyangimbole, mletele, matogoro, uwiiiiiiiiiiih Wakunyumba mie.
 
Back
Top Bottom