Kampuni gani ya Mabasi inayobamba mkoani kwako (Ruti unazosafiri mara nyingi)?

[emoji23][emoji23]yaani nimecheka!
We km Mimi!
Unazima kuokoa chaj

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Itakua poa Sana , hata mby sngida wanaweza pita huku kupitia itigi
 
Kiazi kitamu Arusha kigoma Arusha via kahama, ushirombo nyakanazi kibondo saa 4 usiku utafurahi Sana USB za kumwanga 2 by 3
Kiazi kitamu ya Kigoma Nouma aixee imekaa hovyo ila za mwanza Arusha ni kali... Sikuhiz Arusha to Kigoma napakia Mohammed Classic hii inapita Tabora na inatoboa kigoma. Kiazi na Coastline kibondo unalala.
 
Alsaedy High Class, Kisbo Safari. Colour star, NBS,HBS (Hawa ndo huanzia Tbr kwenda Dar) na wengine ambao hupita Tbr wakienda Kigoma ni Majinja Special, Saratoga, Adventure, Arizona,. Machaguo ni mengi na basi ni nyingi pia.
MAJINJA inaenda Kigoma pia??
 
Eti dar-chombe unataja budget (upendo) yaana gari imechoka Keisha

Unaacha gari Kama
Njombe express
Galaxy
Luwinzo
 
Arusha siku hizi najipandia ya magazeti
wakati wa kurudi napanda Esta
nilijishaua kupanda DAR LUX LUXURY nilikutana na karaha mpaka nikajutia pesa yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…