Kampuni hiyo kutoka China imekuwa ikitumia teknolojia inayoiga akili ya binadamu (AI technology) kubuni nafsi ya kidijitali ya aliyefariki na kuwezesha jamaa zake kuwasiliana naye jinsi ilivyokuwa kabla ya kufa kwake.
Teknolojia hiyo imesifiwa na wengi kwa kuwa inawapa waliofiwa faraja ya muda, hasa wakati huu China inapoadhimisha tamasha la kumbukumbu ya wafu maarufu kama "Qingming Festival."
Kiafrika afrika ukitaka kuongea na mfu ni fasta! Kwani waganga na wachawi ufanyaje na nguvu zao hutoka wapi! Huo ndo mtaji wa shetani! Hamna jipya zaidi ya shetani kufurahi
Kiafrika afrika ukitaka kuongea na mfu ni fasta! Kwani waganga na wachawi ufanyaje na nguvu zao hutoka wapi! Huo ndo mtaji wa shetani! Hamna jipya zaidi ya shetani kufurahi