A
Anonymous
Guest
Kuna ndugu yangu anafanya kazi Kampuni ya HAINAN INTERNATIONAL LTD kwenye mradi wa ujenzi wa Bohari ya Dawa (MSD) mkoani Geita, Wilaya ya Chato pembezoni mwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato.
Mradi tangu wameanza ni takribani miezi minne, unaenda mitano sasa lakini hakuna kuingiziwa fedha za NSSF, hakuna malipo ya pesa za nyongeza weekend yaani double salary kwa Jumamosi na Jumapili.
Ukiuliza kila siku wanapewa kalenda tu na kauli zisizoleta matumainii kutoka kwa wa wajirii, pia hatuna mikataba. Mradi umeanza tar 20/08/2025 na unatarajiwa kukamilika tarehe 20/10/2026.