Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

CAG? Yupo siku hizi?

Kama yupo anao ubavu wa kutoa taarifa zilizo wazi pasi na kumuogopa aliyemteua?
 
CAG? Yupo siku hizi?

Kama yupo anao ubavu wa kutoa taarifa zilizo wazi pasi na kumuogopa aliyemteua?
 
Pia maswali muhimu ya kujiuliza mkandarasi anakidhi vigezo vya kupewa ujenzi wa kiwanja cha ndege cha ngazi ya hadhi ya kimataifa.

Vipi kuhusu Mayanga Contractors kama ana Ujuzi na rasilimali watu kukamilisha ujenzi na uweledi wa kushirikisha sub-contractors na wasimamizi wa viwango kama Mamlaka za Viwanja vya ndege TAA, Usalama wa ndege za kiraia TCAA na wadau wengine wa sekta ya usafiri wa anga local na international kama FAA, Airbus, Boeing ili mradi huu ukiisha utambulike kimataifa n.k
 
Kuwa mfuatiliaji wa habari, kampuni inayojenga ni ya serikali TBA.
 
Ila nyie wana JF Mungu anawaona mjue.....🙂
 
Vita ya kiuchumi jamani mwache raisi apambane.
 
Kwa upande wa uwezo Mkandarasi anakidhi vigezo vya kimataifa kwani ni class 1 contractor in Building and civil works and also ana uzoefu wa kazi za ujenzi wa muda mrefu hivyo kwenye uzoefu wa job with similar work mkandrasi yuko vzuri pia ni Mkandarasi mzawa anafanya mradi mkubwa wa lami Makutano - Mugumu alishakamilisha Daraja la Mbutu wilayani Igunga
Swali la msingi ni je sheria za manunuzi yaani PPRA zilifuatwa? lakini kiuwezo mkandarasi yuko vzuri sana.
 
Nadhan kwa sasa tuache kuhoji maana muliipenda wenyewe...... Wacha muisome number eeeeee
 
wapinzani huwa nawashangaa sana... hasa wa Jf...
mnahoji vitu ambavyo mlipaswa kumuhoji waziri kivuli ili atoe maelezo manyoofu ili mpate pa kuanzia kuhoji.

hadi sasa naona lawama bila facts.
tenda ilitangazwa...
kampuni ikashinda...
 
Reactions: SDG
Huyo mayanga si ndgu yake hilo liko wazi,kampuni hiyo hata mtaji haina istoshe akiwa waziri alimpa barabara za isamilo zikajengwa miakamahali hata km 4 haifiki,huwezi kumtenganisha na mayanga
 
Reactions: SDG
Mayanga Contractors... mengine katafute
 
Classmate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…