Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Picha tunaomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha kuna kampuni managing director ni mkuu kuliko Executive director? Au Unamaanisha wakati mwingine cheo kimoja hushikwa na mtu mmoja huyohuyo? Kivyovyote vile, kwa chakula kilichopo mezani, je huyu managing director ndo executive director wa hiyo kampuni?Inategemea, Umiliki wa kampuni ni kuwa na hisa nyingi, lakn hao wote ni watendaji wakuu wa kampuni, ikiwamo CEO wa kampuni. Kama kampuni ni ya mke na mme wamiki ninwao, kama ni ya partners, ni hao wamiliki.
Mkuu get your facts right.Mradi mkubwa ninaokumbuka vizuri ni ule wa ujenzi wa barabara pamoja na daraja la Mbutu! Huu mradi naukumbuka kwa sababu ulitumiwa na CCM kwenye kampeni za uchaguzi mdogo Igunga baada ya Rostam kuachia ngazi!!!
Hata hivyo, sina uhakika huu mradi kama ulienda vizuri manake mwaka jana Mbunge wa Serengeti alimripua bungeni huyu Stephen Matiko kwamba yeye pamoja na wakandarasi wenzake wamelamba 14 Billion lakini hakuna cha maana kilichofanyika!!
Kijana ili uzae mtoto tupe uwezo wako kama umewahi kuzaa !!JE HUYU MKANDARASI TULIYEMPA HII KAZI AMESHAWAHI KUFANYA KAZI KAMA HII MAHALI GANI TENA DUNIANI.. NA KAMA JIBU NI NDIYO JE UWANJA HUO NI WA UKUBWA GANI NA UKO WAPI?
Kwa uwezo alokuwa nao kwa ss ukitaka kazi ya ujenzi popote tanzania ukapitia kwa huyo jamaa ujue umepata kazi na ndiye mwangalizi wa familia ya mkuu kwa ss hata pombe kwa ss kaacha hayuko serikalini lkn ananguvu kubwa sana serikalini kazi anapewa mojakwamoja na mkuu hakuna cha tenda,huyo ndo mayanga constraction,mr makego.Sina uhakika!
Hata hivyo, nilicho na uhakika nacho ni kwamba, Managing Director ni Stephen Makigo! Huyu Stephen Makigo aliwahi kuteuliwa na JPM kuwa Mjumbe wa TEMESA mwaka 2012! Kwa maana nyingine, kuna kila dalili kwamba JPM anafahamiana na Managing Director wa hii kampuni.
UPDATE:
CV ya Stephen Makigo:
View attachment 625369
Ni mshikaji flan hivi; kitambo sana... ndo maana wakati nipo ujenzi nikamtupa kwenye ujumbe TAMESA na hivi sasa kala shavu la kandarasi nene!!!
Unamzungumzia Makigi sio?!Kwa uwezo alokuwa nao kwa ss ukitaka kazi ya ujenzi popote tanzania ukapitia kwa huyo jamaa ujue umepata kazi na ndiye mwangalizi wa familia ya mkuu kwa ss hata pombe kwa ss kaacha hayuko serikalini lkn ananguvu kubwa sana serikalini kazi anapewa mojakwamoja na mkuu hakuna cha tenda,huyo ndo mayanga constraction,mr makego.
Ni kawaida tu lkn kifupi kampuni hii inamkono wa mkuu wa nchi %100kwa 100 watu wanazani huyu ni mwema lkn si kweli tena ni hatari wala kikwete hasogei.Unamzungumzia Makigi sio?!
Halafu kuna kitu na-suspect hapa!! Ukiingia Contractors Registration Board, hii kampuni ina Reg No ya mwaka 2007 na 2016. Kuna anayefahamu how CRB works? Manake kwangu mimi inaonekana kama kuna mabadilko yalifanyika at least kwenye ownership ya kampuni ndo maana ikapewa new registration. Na kama kuna hizo changes, then sounds likee kuna jina (mtu) limeingizwa kwa ajii ya kulinda maslahi ya mtu mwingine!!!
Mkuu BAK, una uelewa wowote kuhusu CRB wanavyofanya reg zao?
Fact yangu ni kama nilivyosema hapo awali kwamba "Sina uhakika kama mradi ulienda vizuri!" Hiyo ndiyo kauli yangu na suala la kutoenda vizuri ni kauli ya mtu mwingine... kwahiyo hapo sina tuhuma!!!Mkuu get your facts right.
Darsja la Mbutu lilimalizika kwa mafanikio makubwa kitambo sasa na linatumika.
Unachiongelea kule Mara ni barabara ya Makutano~Sanzate ambayo iko poorly funded.
Wanasiasa wa Mara wameufanya mradi huo kuwa politicalnpunching bag.
Watu wako radhi waafrika wenzao wasiendelee ili kujionea ufahari kuwa wamejengewa na wazungu.
Jambo ambalo lilinifanya nimshuku Mkulu ni pale alipokacha kwenda kuzindua uwanja wa ndege jambo ambalo si kawaida yake!!Ni kawaida tu lkn kifupi kampuni hii inamkono wa mkuu wa nchi %100kwa 100 watu wanazani huyu ni mwema lkn si kweli tena ni hatari wala kikwete hasogei.
Unamzungumzia Makigi sio?!
Halafu kuna kitu na-suspect hapa!! Ukiingia Contractors Registration Board, hii kampuni ina Reg No ya mwaka 2007 na 2016. Kuna anayefahamu how CRB works? Manake kwangu mimi inaonekana kama kuna mabadilko yalifanyika at least kwenye ownership ya kampuni ndo maana ikapewa new registration. Na kama kuna hizo changes, then sounds likee kuna jina (mtu) limeingizwa kwa ajii ya kulinda maslahi ya mtu mwingine!!!
Mkuu BAK, una uelewa wowote kuhusu CRB wanavyofanya reg zao?
Ngoja kwanza niulize vizuri watu wanasema nini kuhusu kupotea kwa Ben Saanane manake kama nilisikia alikuwa anahoji hoji haya mambo!!!!Kwani John fomu foo alipata divisheni ngapi? Na je fomu siksi?
From Civil to Building Contracting bado haifuti possibility ya change of ownership!
- MAYANGA CONTRACTORS CO. LTD C1/0056/12/2007 STEVEN P. MAKIGO P.O. BOX 10795 MWANZA SHAN CINEMA BUILDING,OLD DSM ROAD,MWANZA CIVIL Local 1 : TYPE OF CONTRACTOR: CIVIL View Details Source: http://www.crb.go.tz/contractors?
- MAYANGA CONTRACTORS CO. LTD B1/154/04/2016 STEPHEN MAKIGO P.O. BOX 10795 MWANZA PLOT NO.424, BLOCK A,MUSOMA ROAD,NYAMHONGOLO, MWANZA BUILDING Local 1 TYPE OF CONTRACTOR : BUILDING View Details source: Contractors Registration Board
You tend to believe in innuendos(majungu) na kuyafanya ndio fact.Fact yangu ni kama nilivyosema hapo awali kwamba "Sina uhakika kama mradi ulienda vizuri!" Hiyo ndiyo kauli yangu na suala la kutoenda vizuri ni kauli ya mtu mwingine... kwahiyo hapo sina tuhuma!!!
Connection ya huo mradi wa Mbutu na barabara ya Makutano-Sanzate ilitolewa na huyo mbunge niliyemtaja kwa kauli yake kwamba, aliyepewa hizo barabara ulizotaja ni huyo huyo Stephen Matiki ambae, kwa mujibu wa huyo mbunge, hapakuwa na cha maana walichokuwa wamefanya kwenye huo mradi!!
Kwahiyo, Mbutu-Makutano-Sanzate; vyote sio kauli yangu na kwa bahati nimetowa hadi jina la source ambapo kumbukumbu zake zipo kwenye Hansard!!
Siunaanzia kujenga mifereji au ukizaliwa unaanza na kandeKijana ili uzae mtoto tupe uwezo wako kama umewahi kuzaa !!
A very stupid train of thought inayotokana na kujidharau na kutojiamini.
Wadau, mimi hayo ndio maswali yangu na anaeweza kutoa majibu atusaidie na ikiwezekana atoe na nyaraka kusapoti majibu yake.
Kama ana document za kutangaza tender kama vile gazeti,n.k atuweke hapa na nyaraka zingine zote muhumu katika utangazaji na utoaji wa tender.
Nasikia hii kampuni ni ya wazawa(sijui ukweli wa hili jambo) ila kama ni kweli basi si vibaya tukawajua maana watakuwa wamesaidia fedha nyingi isiende nje ya nchi lakini ni lazima tujue kama sheria na taratibu zimezingatiwa katika kuwapatia tender hiyo.
Hata kama itakuwa ni kampuni ya kigeni nayo tungependa kujua namna ilivyopewa tender/kandarasi husika.
Ni hayo tu.
Kijana ili uzae mtoto tupe uwezo wako kama umewahi kuzaa !!
A very stupid train of thought inayotokana na kujidharau na kutojiamini.
Mkuu usipojiamini huwezi fanya kitu kamwe.sio suala la kujidharau na kutojiamini, Construction na Engineering haviko hivyo unavyofikiri wewe.
Huwezi ukatoa tenda ya serious poject kwa kampuni ambayo haikuwahi kufanya hiyo kazi popote pale, kwanini basi Standard gauge, flyover nk tusingewapa wazawa na kampuni isiyo na uzoefu kabisa kama ni suala la kujiamini?
Kujenga uzoefu kwenye Engineering na Construction kuna njia zake kwa individuals na companies, ndio maana tuna apprentices na trainees ambao ni watu wenye degree/diploma kabisa.. Kampuni yeyote ya construction pamoja na kuwa na wataalamu na vifaa huwezi kuipa kazi kubwa kama daraja la kigamboni ikawa ndio inajaribu hapana HAPANA kwa kampuni kufikia hiyo stage kuna viwango wake na njia zake..