Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Thubutu,
labda kama unataka kutolewa nje ya Bunge na kifungo juu!
kule kinachotakiwa ni mapambio tu!
Kama ni hivyo wabaki nyumbani, wanaingia kufanya nini? Tatizo lao wanataka Serikali itoe majibu yatakayowafurahisha wao kinyumbe chake wanasikia kichefuchefu.
 
Wadau, mimi hayo ndio maswali yangu na anaeweza kutoa majibu atusaidie na ikiwezekana atoe na nyaraka kusapoti majibu yake.

Kama ana document za kutangaza tender kama vile gazeti,n.k atuweke hapa na nyaraka zingine zote muhumu katika utangazaji na utoaji wa tender.

Nasikia hii kampuni ni ya wazawa(sijui ukweli wa hili jambo) ila kama ni kweli basi si vibaya tukawajua maana watakuwa wamesaidia fedha nyingi isiende nje ya nchi lakini ni lazima tujue kama sheria na taratibu zimezingatiwa katika kuwapatia tender hiyo.

Hata kama itakuwa ni kampuni ya kigeni nayo tungependa kujua namna ilivyopewa tender/kandarasi husika.

Ni hayo tu.
Huo ni uchochezi, mbona zile ndege hauhoji zilivyonunuliwa? Hii ni vita ya kiuchumi usije ukawa upande wa adui. Marufuku kuhoji hoji kila kitu. Milion 50 kila kijiji/mtaa zitakuja kwa staili nyingine.
Hivi kumbe hakuna alie hoji ununuliwaji wa ndege!!!
 
kuna muda unaweza uhisi umekuwa mhusika kwenye riwaya za shaaban Robert!
 
Shukrani sana Mkuu inaonyesha dhahiri kwamba hapa dili takatifu limepigwa la kulamba pesa ndefu nyingine.

Mradi mkubwa ninaokumbuka vizuri ni ule wa ujenzi wa barabara pamoja na daraja la Mbutu! Huu mradi naukumbuka kwa sababu ulitumiwa na CCM kwenye kampeni za uchaguzi mdogo Igunga baada ya Rostam kuachia ngazi!!!

Hata hivyo, sina uhakika huu mradi kama ulienda vizuri manake mwaka jana Mbunge wa Serengeti alimripua bungeni huyu Stephen Matiko kwamba yeye pamoja na wakandarasi wenzake wamelamba 14 Billion lakini hakuna cha maana kilichofanyika!!
 
.... Makigo,,... Mbutu bakuwa peke yake ni Joint venture.... [emoji63]
 
ili upewe Tenda ya kujenga au project yeyote ambayo ni sensitive kama airport pamoja na kukidhi vigezo vya usajili pia kigezo kikuu ni CV inayoonyesha umewahi kufanya kazi sawa na uliyoomba sehemu fulani...

Mawazo ya kujenga airport yanaweza yasiwe mabaya kama mtoa mawazo na mtoa hela kuna future business plan wameshaiweka kiasi cha kuwepo faida wakati wa matumizi, Mtoa mawazo ya kujenga labda ameshaona umuhimu wa uwanja kibiashara kutokana na mazingira atakayoyatengeneza baada ya ujenzi kukamilika, tumpe nafasi na muda..

Kiwango cha ujenzi kulingana na data za bwana Barafu ambaye tunamuamini kwa uwezo wake katika masuala ya aviation humu JF bila shaka ni kiwango sawa na KIA na JKNIA hivyo basi ukweli ni kwamba tumedhamiria kujenga uwanja wa Kimataifa ambao ili zitue ndege kubwa lazima ubora na usalama uwe first priority, JE HUYU MKANDARASI TULIYEMPA HII KAZI AMESHAWAHI KUFANYA KAZI KAMA HII MAHALI GANI TENA DUNIANI.. NA KAMA JIBU NI NDIYO JE UWANJA HUO NI WA UKUBWA GANI NA UKO WAPI?
Hilo la uzoefu, mi simo, PPRA wapo wachunguze vigezo vya AWARD ya hiyo contract, na wajitokeze alioshindana nao ambao walipewa nakala za INTENTION OF AWARD kwa hiyo kampuni na hawakulalamika ndani ya muda waliopewa...
 
Sina uhakika!

Hata hivyo, nilicho na uhakika nacho ni kwamba, Managing Director ni Stephen Makigo! Huyu Stephen Makigo aliwahi kuteuliwa na JPM kuwa Mjumbe wa TEMESA mwaka 2012! Kwa maana nyingine, kuna kila dalili kwamba JPM anafahamiana na Managing Director wa hii kampuni.

UPDATE:
CV ya Stephen Makigo:
View attachment 625369

Ni mshikaji flan hivi; kitambo sana... ndo maana wakati nipo ujenzi nikamtupa kwenye ujumbe TAMESA na hivi sasa kala shavu la kandarasi nene!!!
Kwani John fomu foo alipata divisheni ngapi? Na je fomu siksi?
 
Nenda kaulize BRELA.
Kuuliza kwako kutachangia nchi kupata mapato.
Watanzania tu watu wa ajabu sana akijenga mzawa ooh kampuni ni ya nani...... Akijenga mzungu ooh sisi wazawa hatupewi tenda.
Kila siku mnaambiwa mjiunge mpate tenda ooh.... Kampuni hii ni yangu na familia yangu, mara fulani bhana si mtu mzuri kuungana naye utadhani kinachoungani kampuni ni tabia ya mtu kumbe ni matumizi ya nyaraka.

Na wakati mwingine mnadiliki kutokuungana eti kwa sababu tu fulani bhana ni kada wa chama fulani... hivyo kuungana naye kutatukosesha tenda.

Tuache kuchanganya siasa na kazi /utendaji hii haitatusaidia mfano mbona hatukuhoji/hatuhoji aliyejenga/anayejenga miundombinu ya barabara na maji mikoa ya kaskazini?

Nakupongeza kwa hoja yako nzuri.Sijui walitaka apate nani.Hii ndiyo njia nzuri ya kubakiza pesa eneo husika ili mzunguko ukue.
 
Sina uhakika!

Hata hivyo, nilicho na uhakika nacho ni kwamba, Managing Director ni Stephen Makigo! Huyu Stephen Makigo aliwahi kuteuliwa na JPM kuwa Mjumbe wa TEMESA mwaka 2012! Kwa maana nyingine, kuna kila dalili kwamba JPM anafahamiana na Managing Director wa hii kampuni.

UPDATE:
CV ya Stephen Makigo:
View attachment 625369

Ni mshikaji flan hivi; kitambo sana... ndo maana wakati nipo ujenzi nikamtupa kwenye ujumbe TAMESA na hivi sasa kala shavu la kandarasi nene!!!

Sina uhakika!

Hata hivyo, nilicho na uhakika nacho ni kwamba, Managing Director ni Stephen Makigo! Huyu Stephen Makigo aliwahi kuteuliwa na JPM kuwa Mjumbe wa TEMESA mwaka 2012! Kwa maana nyingine, kuna kila dalili kwamba JPM anafahamiana na Managing Director wa hii kampuni.

UPDATE:
CV ya Stephen Makigo:
View attachment 625369

Ni mshikaji flan hivi; kitambo sana... ndo maana wakati nipo ujenzi nikamtupa kwenye ujumbe TAMESA na hivi sasa kala shavu la kandarasi nene!!!
Aisee... Kama Uzalendo ndio basi tuna Safari ndefu kwakweli...
 
MAYANGA CONTRACTORS CO. LTD
Registration Number:
B1/154/04/2016
Managing Director:
STEPHEN MAKIGO
Types of Contractor:
BUILDING
Class:
1
Category:
Local
Town:
MWANZA
HideContacts
Postal Address:
P.O. BOX 10795
Physical Address:
PLOT NO.424, BLOCK A,MUSOMA ROAD,NYAMHONGOLO, MWANZA
E-mail:
stevenmakigo@yahoo.com
Phone:
+255 28 2561041/ 2560474/0754 301785
Source: http://www.crb.go.tz/mayanga-contractors
Hiyo ni MD. Wanahisa katika kampuni na akina nani? Hao ndiyo wanaweza kutoka fununu kuhusu mmiliki halisi. Hata hiyo MD inawezekana nikiini macho.
 
Shilawadu wanasema huyo mayanga ni"bhageshi" wake baba jesca.
Wasukuma wanajua maana ya bhageshi.
Lakini Mimi naona hata kama ni jamaa take sio ishu ilimradi kama amepata tenda kwa njia ya haki maana kuwa ndugu au jamaa wa baba jesca sio kwamba hustahili kupata tenda za serikali
Aliyekuwa waziri mkuu wa Israël, Holmert alifungwa jela Kwa kupendelea jamaa zake kuwapa tenda akiwa Meya wa Jérusalem. Hali kadhalika Waziri mkuu wa sasa Netanyahu anafuatiliwa kama ana kashfa kama hiyo.Ndio maana nchi za wenzetu wanapiga hatua !
 
Mafisadi wamebaki wachache lakini wanapiga madau kuanzia milioni 100,kuna tofauti na wale wa Kikwete?
 
MAGUFULI PIGA KAZI

SISI WAPIKA KURA WAKO TUPO NA WWE

ACHANA NA HAWA WAPIKA KELELE TU

Uwanja wa ndege ni mhimu sana huku!! Miaka yote viwanja viko kwao tu!! Eti wanahoji economic viability ya uwanja!!! HUKU KWETU MMEONA NIMASIKINI SANA HATUWEZI PANDA HIZO NDEGE??

ACHENI DHARAUUUU

of all good years we hear KILIMANJARO Inter. Airport hatukuhoji haya au mlijua sisi ni vicha pazi!!!

Ni mimi mpiga kura mtiifuy

MWANZA ...MWANZA
 
Back
Top Bottom