Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Mkuu usipojiamini huwezi fanya kitu kamwe.
Reli ya TAZARA ilijengwa na wachina mwaka 1971-1975, in FOUR YEARS.
Waarekani waliita bamboo railway ili kuwakatisha tamaa, kwa kjiamini wachina walijenga narei hiyo ipo mpaka leo , kiteknolojiabado inadunda.
Tatizo kubwa watanzania wengi wanabaki kuwa wa vitabuni na si practical.
Watu waajiita maconsultant wa engineering lakini hata kukoroga na kulitofauisha zege la class 15, 20 ,25 au 30 hawawezi practically na hawajui watumie njia ipi kufikia huko.
Sasa hebu niambie hapa kilicho kigumu kjenga barabara ya lami kutua Ndege na jingo la kupokelea abiria ni lipi haswa?

Kujenga kiwanja cha ndege kuna procidure zake na viwango zake zaidi ya kushindilia na kumwaga rami, inaweza kuwa rahisi kwa kufikiri hata kufanya lakini mwisho wa siku kuna ndege itatua ikiwa na weight yake na itakimbia kwa speed yake ili iruke au itue. Ubora wa kazi na usalama mwisho wa siku ndio kitu muhimu na kuvipata hivi lazima ujiridhishe kwa uliyempa kazi ndio maana hapo kinakuja kigezo cha Uzoefu na Exposure..

Sijakataa watu kupewa kazi ila mashaka yangu ni ubora na usalama wa kazi husika, huwezi kuanzisha leo kampuni ya Ujenzi kwa sababu unajiamini basi kesho tukakupa kazi ya 500bil..

Mchina alipokuja kujenga reli ya Tazara tayari alishajenga reli kama hizo nyingi sana huko china kwa mikono, USA walimcheke kwa sababu kiteknolojia walikuwa mbele maili nyingi kuliko yeye.
 
Jidu la Mabambasi. Uko 'tricky' sana. Umeona um-provoke Chige ili apoteze mwelekeo na umefanikiwa kwa kiasi kikubwa.....Chige na wewe unawezaje kukosana na anonymous ID..... Humjui Jidu la Mabambasi lakini unatokwa povu haswa.......Teh teh teh JF raha........
 
Hana uwezo wa kunifanya nipoteze mwelekeo kwa sababu hoja yangu ilikuwa na jibu moja tu ambalo nilishalitoa!!!

Lakini kwavile akaona hoja nyingine kwake ni matusi hata baada ya kumtahadhalisha aache matusi, basi hapakuwa na namna nyingine zaidi ya kwenda nae sambasamba kwa sababu, JF is a jungle, ukijifanya muungwana sana, ndo hapo unakuta mtu anakutukania hata wazazi ambao hawaifahamu hata JF yenyewe!!!

In short, nimeshamdharau kitambo na ndio maana what I do ni ku-paste the very same post!!!
 
MAYANGA CONTRACTORS CO. LTD
Registration Number:
B1/154/04/2016
Managing Director:
STEPHEN MAKIGO
Types of Contractor:
BUILDING
Class:
1
Category:
Local
Town:
MWANZA
HideContacts
Postal Address:
P.O. BOX 10795
Physical Address:
PLOT NO.424, BLOCK A,MUSOMA ROAD,NYAMHONGOLO, MWANZA
E-mail:
stevenmakigo@yahoo.com
Phone:
+255 28 2561041/ 2560474/0754 301785
Source: http://www.crb.go.tz/mayanga-contractors
Daaah, imesajiliwa mwaka jana tu...yaleyale ya JK na akina Lugumi wake!
 
Ukikamilika itakua raha sana,hamna haja ya kupitia mwanza tena na suluba za msafara toka mwanza to chato,

unakaa jijini dar mpaka ya moja na nusu usiku na unakwea pipa kuja kupata dinner na kulala chato,
halafu asubuhi saa moja unawahi kazini dar,

wazo zuri
 
Kujenga kiwanja cha ndege kuna procidure zake na viwango zake zaidi ya kushindilia na kumwaga rami, inaweza kuwa rahisi kwa kufikiri hata kufanya lakini mwisho wa siku kuna ndege itatua ikiwa na weight yake na itakimbia kwa speed yake ili iruke au itue. Ubora wa kazi na usalama mwisho wa siku ndio kitu muhimu na kuvipata hivi lazima ujiridhishe kwa uliyempa kazi ndio maana hapo kinakuja kigezo cha Uzoefu na Exposure..

Sijakataa watu kupewa kazi ila mashaka yangu ni ubora na usalama wa kazi husika, huwezi kuanzisha leo kampuni ya Ujenzi kwa sababu unajiamini basi kesho tukakupa kazi ya 500bil..

Mchina alipokuja kujenga reli ya Tazara tayari alishajenga reli kama hizo nyingi sana huko china kwa mikono, USA walimcheke kwa sababu kiteknolojia walikuwa mbele maili nyingi kuliko yeye.
That's the point.
Weight, is weight, is weight!
Kwa Kiwango cha landing grounds what matters ni thickness na strength ya layers za barabara.
Sidhani kama tatizo ni uzoefu mkubwa saana wa kazi as aginst knowing the principle and having the guts to perform.
 
Jidu la Mabambasi. Uko 'tricky' sana. Umeona um-provoke Chige ili apoteze mwelekeo na umefanikiwa kwa kiasi kikubwa.....Chige na wewe unawezaje kukosana na anonymous ID..... Humjui Jidu la Mabambasi lakini unatokwa povu haswa.......Teh teh teh JF raha........
Ha ha ha!
 
Huruma Tanzania!!! Tumetoka kwenye upigaji dili wa wengi sasa tumeingia kwenye upigaji dili wa wachache au mtu 1!!!!!
 
Unamzungumzia Makigi sio?!

Halafu kuna kitu na-suspect hapa!! Ukiingia Contractors Registration Board, hii kampuni ina Reg No ya mwaka 2007 na 2016. Kuna anayefahamu how CRB works? Manake kwangu mimi inaonekana kama kuna mabadilko yalifanyika at least kwenye ownership ya kampuni ndo maana ikapewa new registration. Na kama kuna hizo changes, then sounds likee kuna jina (mtu) limeingizwa kwa ajii ya kulinda maslahi ya mtu mwingine!!!

Mkuu BAK, una uelewa wowote kuhusu CRB wanavyofanya reg zao?
CRB wanasajili kwa kila kazi na usajili wake. ukiangalia hapo mwaka 2007 alisajili kwa ajili ya Civil works then mwaka 2016 akasajili Building works.

kwa lugha nyepesi mwaka 2007 alisajili kampuni kwa kazi za barabara, reli, madaraja na mwaka 2016 akasajili kwa ujenzi wa Majengo.
 
That's the point.
Weight, is weight, is weight!
Kwa Kiwango cha landing grounds what matters ni thickness na strength ya layers za barabara.
Sidhani kama tatizo ni uzoefu mkubwa saana wa kazi as aginst knowing the principle and having the guts to perform.

kuzijua principle bila kuziapply popote haiwezi kusaidia, nakuziapply principle kwa mara ya kwanza hakuwezi kufanyika kwenye project ya mabilioni au mahali patapohatarisha maisha ya watu na mazingira..

Kutest principle ambazo hukuwahi kuziapply popote huwa kuna namna yake ndio maana wakawepo maroboti na sio issue ya kuwa na guts za kuperform halafu ukaua watu... Hata ndege ya kwanza aliyotengeneza mchina imefanyiwa testing nyingi na bado inafanyiwa testing nyingi ili mwisho wa siku usalama uthibitishwe ndio watu wapande tena hapo kazi imefanywa na wabobezi wa hizo engineering principles na teknolojia ya kisasa..

Kujua Engineering principle na guts za kuperform specific task yenye kubeba hela nyingi, maisha ya watu na mazingira hazikufanyi upewe tender without exposure na experience on specific task.. Kujifunza na kugain experience and exposure for doing high risk task and being permitted to work internationally kuna taratibu na ujanja wake but not taking the risk simply because you have the guts and knowing engineering principles..
 
Good!
Nenda pale Mbutu hata TANROADS wameshuhudia, wazalendo wamefanya piling bila kutumia hao mnaowapenda wenye ngozi nyeupe tena bila kutumia kitu imaginary wahandisi wengi ambao hawko practical, piling machine.

Kwa vile mimi nimewaona wahandisi wazalendo wakiutafuna huo mfupa, tena kitaalam, nawaaminia sana.
Waliagizwa geotechnical engineers toka UDSM kuzitest hizo piles na zika pass zaidi ya viwango.

Na palikuwepo wahandisi wa vitabuni kama hawa wanao doubt, waliaibika sana.
Wengine watu wakubwa tu.
Jiamini and you can.
 
Nimekupata mkuu; ila hii Registration No. B1/154/04/2016 itakuwa inahusu nini?!
Buildings. Sijajua CIVIL ipo daraja gani ambalo ndo linahisika zaidi na ujenzi wa Airport kwa maana ya runway.
 
Nakupongeza kwa hoja yako nzuri.Sijui walitaka apate nani.Hii ndiyo njia nzuri ya kubakiza pesa eneo husika ili mzunguko ukue.
Kiwango cha ujinga kinaongezeka kwa kasi kubwa sana awamu hii! Kwenu kinachojiwa ni nani alipewa hiyo na sio mazingira ya tenda yenyewe pengine na uwezekano wa mradi wenyewe kuwa wa kipigaji! Wanaodadisi wanaisaidia nchi hii, na wanaotikia na kuona sawa tu kwa kila jambo ni mzigo, na ndio hasa adui wa nchi hii!
 
Good!
Nenda pale Mbutu hata TANROADS wameshuhudia, wazalendo wamefanya piling bila kutumia hao mnaowapenda wenye ngozi nyeupe tena bila kutumia kitu imaginary wahandisi wengi ambao hawko practical, piling machine.

Kwa vile mimi nimewaona wahandisi wazalendo wakiutafuna huo mfupa, tena kitaalam, nawaaminia sana.
Waliagizwa geotechnical engineers toka UDSM kuzitest hizo piles na zika pass zaidi ya viwango.

Na palikuwepo wahandisi wa vitabuni kama hawa wanao doubt, waliaibika sana.
Wengine watu wakubwa tu.
Jiamini and you can.

Inawezekana kuna mahali mimi na wewe tunashindwa kuelewana, Practical engineer ni yule aliyeapply hizo engineering principles mara nyingi na zikafanya kazi hapo tunaita tayari anaexposure na experience ya anachokifanya, guts of doing zinakuja baada ya kufanya hicho kitu kwa mikono yako mara nyingi, Hao wa mbutu unaowasema tayari umewaita practical engineers maana yake they are in field mara kwa mara na hayo wameyafanya au kuyaona yakitokea, In engieering ukiwa na principal kichwani ukaziapply so many times mahala fulani gizani na matokeo yakawepo is what we call an exposure na ndio confidence inaanzia hapo..

Tatizo la theoretically Engineers and technologists Tanzania ni common na chanzo chake ni mfumo wa kuandaa hawa watu haujakaa sawa, hao waliopata bahati ya kuwa practical engineers ni kwa sababu wengi wao walipata bahati ya kuwa field moja kwa moja baada ya kutoka shule either kwa kufanya kazi kwenye International au local firm ambazo zinaamini kazi ya engineer ni kutatua matatizo na sio kuwa document cotroller, wachache wenye altitude mbovu ya kupenda AC ndio hawa wamebaki kuwa political engineers..

Engineering ukiijua vizuri kwa maana ya both principles and practical na ukawa na exposure nzuri ni kazi inayolipa sana kimataifa and you will enjoy to be highly paid through your proffesional na sio kujivunia wizi kama wanataaluma wengine.. TANZANIA ITAWEZA TU KUENDELEA KAMA ITAWEKEZA KWENYE ENGINEERING AND TECHNOLOGIST KWA KUHAKIKISHA HAWA WATU WAPO WENGI NA WANAJIELEWA KWA MAANA YA COMPETENT ENGINEERS...
 
Hivi mbona watawala hawajifunzi? Hivi mbona wanatuchukulia poa sana?

Mr.Clean Benjamini Mkapa, alifanya yake na Anben yake, akajimilikisha na mgodi wa makaa ya mawe ya Kiwira...sijui alikuwa anawaza nini kichwani mwake wakati anafanya hayo, labda ni ile imani yake kwamba Watanzania ni malofa.

Haya, akaja JK na mambo yake ya Home Shopping Center na Lugumi...pesa na raha za muda mfupi hadi sasa Lugumi nyumba zinauzwa, na hadi wametuletea Dr.Louis Shika.

Sasa, amekuja mkali wa kufight corruptions(sic)...corruptions is a cancer... mapema tu kashfa nzito zinarindima, mara Mayanga mara Madege mabovu mara Uwanja wa Ndege kijijini...

Tunaelekea wapi? Hivi anatuchukuliaje? Kwanini watawala hawajifunzi? Kwanini hawaogopi kufanya haya madudu?
 
Back
Top Bottom