Sio kubadilisha jina ni kuuza majority of shares za umiliki wa kampuni kwa mtu mwingine ambaye automatically ndiye atabadiri jina. Ila ukibadili jina halafu majority of shares zikawa bado mikononi mwako utalipishwa kodi stahiki after five years.Mwekezaji mpya hupewa likizo ya Kodi Kwa miaka mitano.Hivyo Kila ukibadilisha jina unapata tax exemption ya miaka hiyo mitano.
Hukumbuki before then ilikuwa buzz?Mic ina miaka 30 unaweza kutuelezea ulichoongea kinaingia vipi hapa?
Hio ni brand tu ila Milicom ipo toka 1993.Hukumbuki before then ilikuwa buzz?
Buzz na Mobitel ni sawa na MIC na tigo?Hukumbuki before then ilikuwa buzz?
Acha mipasho kwenye mijadala kinachouzwa ni hisa na ndio hubadili kila kitu buzz, mobitel, tigo zimetokana na kuuzwa kwa hisaHio ni brand tu ila Milicom ipo toka 1993.
Mwaka 1993 iliitwa Mobitel wakati huo ikiwa kama Joint Venture na Serikali, baadae ikanunua kampuni nyengine na kuitwa Buzz, baadae ikanunua Hisa za Serikali na kuitwa Tigo, wakati wote huu ni Hio Hio MIC kampuni mama haijawahi kubadilika.
Hizo stori zenu mnazoongea hapa ni za vijiweni tu mnadanganya watu.
BuzzBuzz na Mobitel ni sawa na MIC na tigo?
Ni mbinu mojawapo ya kukwepa kodi bila kuvunja sheria za nchi hasa wakitumia mianya ya udhaifu wa sheria za kodi zenyewe.Kitu pekee kinachonishangaza kwanini kampuni nyingi hata kama zinamilikiwa na watz lazima wakazifungulie nje
mkuu, punguza jazba, kuwa mtulivu, lenga umakini katika kusoma ( comment ) ya mhusika, chuja maneno yako kabla hujaweka bandiko.Sasa Kampuni kubadili Jina kuna Uhusiano gani wa Kimantiki na Chama Cha Mapinduzi au Siasa? Kuna baadhi ya Watanzania ni Wapumbavu waliopitiliza na hawavumiliki.
Wewe ndo MuongoAcha uongo wewe MIC wameiuza TIGO kwa honora na kati ya wamiliki wapya yumo Mtz RA
Hakuna ugumu wowote katika chama mama tokea enzi za mkoloni....Kigumu Chama Cha Mapinduzi...!
Wewe ndo unaongea mambo usiyoyajua nimekuekea link angalau usome, badala ya kusoma uelewe unarudi kuja kujiaibisha tena.Acha mipasho kwenye mijadala kinachouzwa ni hisa na ndio hubadili kila kitu buzz, mobitel, tigo zimetokana na kuuzwa kwa hisa
Kampuni iko kama jumba tupu, wanahisa ndio uhai wa kampuni na ndio wanaofanya biashara.. Wakipata faida ama hasara ni ya kwao sio kampuni
Hahaha kweli PhD za mchongo hizi.Unaweza kuwa na PhD ikawa sio ya hiyo fani na usijue Mkuu au nakosea ukiwa na PhD ya vitunguu lazima ujue mambo ya upasuaji kwa kuwa una PhD tuu..
Umejiuliza kwanini kuna hiyo biashara ya hisa? Unadhani ni kwa ajili ya kujifurahisha?Wewe ndo unaongea mambo usiyoyajua nimekuekea link angalau usome, badala ya kusoma uelewe unarudi kuja kujiaibisha tena.
Mwaka 1993 ilipoanzishwa Hio Venture Mic (hao wa Luxembourg) walikua na Hisa asilimia 72.3 na Serikali chini ya TPTC wakawa na asilimia 27.7
Mwaka 2006 MIC wakanunua Hisa za Serikali na Kurebrand Buzz kwenda Tigo.
Mobitel, Tigo, Buzz hii ni brand name, Mic ndio jina la kampuni. So toka 1993 mpaka Leo kampuni ni ile ile Mic haijabadilika, sasa hivi hao Honora ndio wamenunua na kubadili kampuni mama kwa mara ya kwanza.
Una Argue wewe hapa ni kama Azam kubadili Soda ya Apolina na kuiita Apple punch useme kwamba Wamebadilisha jina ili wakwepe kodi.
Hisa ina husika vipi hapa? Excemption ya Tax inatolewa ukianza biashara na sio ukinunua hisa, kama ukinunua Hisa asilimia 27 unaondolewa kodi weka hapa ushahidi, si kila mtu humu ni mtoto mudanganye danganye tu.Umejiuliza kwanini kuna hiyo biashara ya hisa? Unadhani ni kwa ajili ya kujifurahisha?
Huu ni uongo na haina uhusiano kabisa na bandiko hili, pia special relief huombwa na sio kupata kama njugu.sikiliza, kuna relief ya kodi. Unaendsha kwa miaka 3 kama hakuna faida unaacha. Ujanja, unamsukumia dada yako maisha ya wizi yanaendelea
SHERIA ZETU MBOVU
Wewe ni mweupe kichwani.Acha mipasho kwenye mijadala kinachouzwa ni hisa na ndio hubadili kila kitu buzz, mobitel, tigo zimetokana na kuuzwa kwa hisa
Kampuni iko kama jumba tupu, wanahisa ndio uhai wa kampuni na ndio wanaofanya biashara.. Wakipata faida ama hasara ni ya kwao sio kampuni