Nasikia amenazisha boutique muda ni mchache hapa JF 😀 😀 😀John,kwenye sarakasi za chanjo upo kimya sana aisee 🤣 🤣
Hata ya kwanza tunanunua.Ile ya Awamu ya kwanza mlipewa bure hii inabidi kwenda kuilipia.
Ndo kwanza picha limeanza.
Heti wanasema “J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant”
sijuih imefanyiwa majaribio kwa kipindi gani kwa watu wangapi.Chanjo ya ukimwi inatumia technology hiyo hiyo wameanza na majaribio
Aiseee hiyo busta vipi inaongezeka ile nguvu ya babayeyooooo?Haya sasa muda wa kuboostiwa
Ina maana hata hao Johnson and Johnson huwaamini?Kwanini wasiopenda kuchanjwa ndiyo wafuatiliaji wakubwa wa kuhusiana na chanjo?
Areas zao za interest:
"Chochote hasi kuhusiana na chanjo hata kama ni cha uongo, kijinga au kipumbavu."
Nyinyi si mlishafika hamhitaji chanjo, makando kanda mengine haya ya nini basi?
Hiiiiii bagosha!
Ina maana hata hao Johnson and Johnson huwaamini?
😁😁😁😁😁😁Biashara nzuri sana hii.
Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta.
J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant.
Soma zaidi.
Hahaha mwanzo hamkuliona hili?Hizi chanjo sasa tumeamini zipo kibiashara zaidi!
Fedha zinarudi kwaHata ya kwanza tunanunua.
Iko hivi, ya kwanza, 20% ya watu wako unapewa msaada kupitia covax program halafu angalau 50% ya ununue na masharti ya WHO ni kila nchi ichanje angalau 70% ya watu wake.
Ndio maana juzi tulipewa mkopo wa dola karibu 1B za kununulia dawa, mkopo wa juzi wa WB ni kwa ajili ya kununulia chanjo na si vinginevyo. Yaani wanakukopesha ili ukanunue chanjo na sio kitu kingine.
Itakapokuja booster 1 lazima tena tununue na booster 2 vile vile tutanunua.
Hii mambo imekaa kisanii sana.
Tunafatlia kjua wajinga walojifanya wajuaj/ waelevu sas nin wanawaza kuhusu haya matoleo endelevu ya ma covidKwanini wasiopenda kuchanjwa ndiyo wafuatiliaji wakubwa wa kuhusiana na chanjo?
Areas zao za interest:
"Chochote hasi kuhusiana na chanjo hata kama ni cha uongo, kijinga au kipumbavu."
Nyinyi si mlishafika hamhitaji chanjo, makando kanda mengine haya ya nini basi?
Hiiiiii bagosha!
Soon watu watakua kama computer tu mwendo wa ku update antivirusDah!hatari saaana..kuna wakati namkumbukaga saana Jpm,Allah ampe kauri thabit inshaAllah.
Mnabustiwa kama makuku ya kisasaKampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta.
J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant.
Soma zaidi.
Miaka ijayo watakuja chukua mbegu bora kwetuSawasawa.walete tu ,anayechanja achanje,anaetulia atulie!!.chukua tahadhari haka ka homa kapo kimya kimya.ila tunamshukuru muumba kwa ss ngoz nyeusi kutupa Kinga mwl imara zaidi ,wazungu huwa wanatuchukia kwa Mambo mengi,Ila ukiachilia raslimali tulizonazo,kitu kingine wanachokitamanigi heri ingekuwa wao,ni black people immune!!