#COVID19 Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson & Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine kwa watu wote waliopata chanjo ya kwanza

Ile ya Awamu ya kwanza mlipewa bure hii inabidi kwenda kuilipia.
Ndo kwanza picha limeanza.
Heti wanasema “J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant”

sijuih imefanyiwa majaribio kwa kipindi gani kwa watu wangapi.Chanjo ya ukimwi inatumia technology hiyo hiyo wameanza na majaribio
 
Hata ya kwanza tunanunua.

Iko hivi, ya kwanza, 20% ya watu wako unapewa msaada kupitia covax program halafu angalau 50% ya ununue na masharti ya WHO ni kila nchi ichanje angalau 70% ya watu wake.

Ndio maana juzi tulipewa mkopo wa dola karibu 1B za kununulia dawa, mkopo wa juzi wa WB ni kwa ajili ya kununulia chanjo na si vinginevyo. Yaani wanakukopesha ili ukanunue chanjo na sio kitu kingine.

Itakapokuja booster 1 lazima tena tununue na booster 2 vile vile tutanunua.

Hii mambo imekaa kisanii sana.
 
Kwanini wasiopenda kuchanjwa ndiyo wafuatiliaji wakubwa wa kuhusiana na chanjo?

Areas zao za interest:

"Chochote hasi kuhusiana na chanjo hata kama ni cha uongo, kijinga au kipumbavu."

Nyinyi si mlishafika hamhitaji chanjo, makando kanda mengine haya ya nini basi?

Hiiiiii bagosha!
Ina maana hata hao Johnson and Johnson huwaamini?
 
Hamna niliposema siwaamini.

Hoja yangu iko wazi. Walio busy zaidi kufuatilia mambo ya chanjo ni wasiotaka chanjo.

Kwa vile hawataki chanjo, ya chanjo +ve or -ve bado yanawahusu nini?
 
Mmh,yaani wameona ile ya kwanza haijanigandisha damu kwenye ubongo wng ndio wameona waje na hilo toleo la pili inigandishe vizuriii,ngashtuka mekuuu,sidungwiiii
 
Wamekimbia tembe za HIV wanakula dozi ya aina yake , hii issue inapaswa kua endelevu ili tuone mjinga ni nan kati ya asiechanja na aliechanja
Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta.

J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant.

Soma zaidi.
 
Hata ya kwanza tunanunua.

Iko hivi, ya kwanza, 20% ya watu wako unapewa msaada kupitia covax program halafu angalau 50% ya ununue na masharti ya WHO ni kila nchi ichanje angalau 70% ya watu wake.

Ndio maana juzi tulipewa mkopo wa dola karibu 1B za kununulia dawa, mkopo wa juzi wa WB ni kwa ajili ya kununulia chanjo na si vinginevyo. Yaani wanakukopesha ili ukanunue chanjo na sio kitu kingine.

Itakapokuja booster 1 lazima tena tununue na booster 2 vile vile tutanunua.

Hii mambo imekaa kisanii sana.
Fedha zinarudi kwa
images - 2021-12-19T095303.576.jpeg
 
Kwanini wasiopenda kuchanjwa ndiyo wafuatiliaji wakubwa wa kuhusiana na chanjo?

Areas zao za interest:

"Chochote hasi kuhusiana na chanjo hata kama ni cha uongo, kijinga au kipumbavu."

Nyinyi si mlishafika hamhitaji chanjo, makando kanda mengine haya ya nini basi?

Hiiiiii bagosha!
Tunafatlia kjua wajinga walojifanya wajuaj/ waelevu sas nin wanawaza kuhusu haya matoleo endelevu ya ma covid
 
Sawasawa.walete tu ,anayechanja achanje,anaetulia atulie!!.chukua tahadhari haka ka homa kapo kimya kimya.ila tunamshukuru muumba kwa ss ngoz nyeusi kutupa Kinga mwl imara zaidi ,wazungu huwa wanatuchukia kwa Mambo mengi,Ila ukiachilia raslimali tulizonazo,kitu kingine wanachokitamanigi heri ingekuwa wao,ni black people immune!!
 
Dah!hatari saaana..kuna wakati namkumbukaga saana Jpm,Allah ampe kauri thabit inshaAllah.
 
Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta.

J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant.

Soma zaidi.
Mnabustiwa kama makuku ya kisasa
 
Sawasawa.walete tu ,anayechanja achanje,anaetulia atulie!!.chukua tahadhari haka ka homa kapo kimya kimya.ila tunamshukuru muumba kwa ss ngoz nyeusi kutupa Kinga mwl imara zaidi ,wazungu huwa wanatuchukia kwa Mambo mengi,Ila ukiachilia raslimali tulizonazo,kitu kingine wanachokitamanigi heri ingekuwa wao,ni black people immune!!
Miaka ijayo watakuja chukua mbegu bora kwetu
 
Back
Top Bottom