Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Umeongea ukweli mtupu mkuu,.Uzi mzuri sana, kama alivyosema kaka Malila hapo juu kipindi namaliza chuo tukapanga na mdau mmoja tuingie poli kwenye kilimo, tumepanga vizuri na bajeti kabisa. Sasa tunamalizia makubaliano na kuhitimisha tuingie field jamaa ananiambia amepata mishe so atatoa pesa tu ila huko shamba siku moja moja ndio ataweza fika ila sio full time, sikupepesa macho nikamchinjia baharini, so hii ni changamoto kubwa sana mtu anataka aone pesa bila kutoa jasho.
Lakini kingine naona tunakatishana sana tamaa, unaweza ukaomba ushauri wa kibiashara kwa mtu majibu utayopewa ni so negative, au unaweza kuanzisha biashara lakini hao hao unadhani ni marafiki au ndugu wanaanza ku curse kwa tutaona jamaa hafiki mbali biashara yenyewe hiyo.
Wabongo wengi hatupendi kuona mtu anapanda ngazi, me nshaamuaga kuwachinjilia mbali watu wote wanaoleta negative energy katika hustle zangu.
Mimi pia lilinikuta kama hili,.tulipanga mipango yetu vizuri kabisaaa mpaka eneo la kufanyia biashara yetu lilipatikana ajabu mwanzoni tuu nilimuona mwenzangu ana shida hasa kwenye muda,.nikahisi pengine sababu ya familia maana ameolewa na kupata mtoto nikavumilia hilo, baadae hali ikazidi kuwa mbayaa ukimuambia leo basi tufanye hivi au njoo eneo la tukio utamsikia "ooh ujue baba jaden ana wivu sana," shenz taip nikaona ananzingua huyu mara "ooh wewe fanya tuu kwenye kugawana Ww utapata asilimia nyingi" nikaona ntapoteza muda wangu hapa ukizingatia eneo la tukio lilikuwa karibu na anapoishi yeye tofauti na mm,....aah watz sisi sio poa asee!!!!Kuna mdau mmoja nilifanya nae project ya ufuta morogoro.
Aliniudhi hadi ile project nikaiachia njiani nikaenda kuanzisha nyingine peke yangu Kisarawe.
Kila week anatafuta sababu zisizoeleweka.
Toka wakati huo nikasema sifanyi mradi wowote na mtanzania mwenzangu. Wanamihemko mwanzoni. Badae wanakimbia ukifika muda wa mavuno ndo wanaanza kuulizia mmepata nini.
Uko sahihi,sisi kinachotugharimu ni ubinafsi wa mali...Wachina inapo kuja swala la Ushirikiano wako juu sana. Viwanda vyao vingi na hata kampuni zinazo kuja kuwekeza huku na kupewa tenda za kujenga Barabara na Majumba ni muunganiko wa watu wengi walikaa na kuunda.
Unakuta kampuni au kiwanda kimeanzishwa na watu 100 au hata 500 na kila mmoja ana majukumu yake. Katika watu 500 kuna Ma injinia humo, kuna watu wa masoko kuna kila aina ya mtalamu na wote wana piga kazi.
Unakuuta malengo yao ni kuwa na viwanda hata 500 ambapo baada hata ya miaka 30 Wote watakuwa na viwanda.
Hufanya hivyo ili kuunganisha nguvu/mitaji yao na kuwa na nguvu moja.
KIBONGOBONGO
Hilo bongo haliwezekani kila mtu anataka aonekane yeye, watu wanawaza kudhurumiana tu kuibiana na kadhalika.
Unakuta mtu ana kampuni ya ujenzi wa Barabara muda wote wa uhai wake ataishia kujenga barabara za vijijini tu make hana mtaji wa kushika tenda kubwa na pia hataki kuungana na wenzake na wenzake pia hatawaki kuungana.
Ni vigumu sana kushindsna na Wachina wenye nguvu kubwa sana na walio ungana. Ndo maana wameshika tenda Africa nzima za kujenga majumba na Barabara.
Mbali na ubishi, Waafrika tu wavivu, waongo, wabinafsi na wapenda starehe zaidi.
Wabongo kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguu hatujambo. Nilishasema sitaki tena ushirika na mtuMimi pia lilinikuta kama hili,.tulipanga mipango yetu vizuri kabisaaa mpaka eneo la kufanyia biashara yetu lilipatikana ajabu mwanzoni tuu nilimuona mwenzangu ana shida hasa kwenye muda,.nikahisi pengine sababu ya familia maana ameolewa na kupata mtoto nikavumilia hilo, baadae hali ikazidi kuwa mbayaa ukimuambia leo basi tufanye hivi au njoo eneo la tukio utamsikia "ooh ujue baba jaden ana wivu sana," shenz taip nikaona ananzingua huyu mara "ooh wewe fanya tuu kwenye kugawana Ww utapata asilimia nyingi" nikaona ntapoteza muda wangu hapa ukizingatia eneo la tukio lilikuwa karibu na anapoishi yeye tofauti na mm,....aah watz sisi sio poa asee!!!!
yaan sijui nn maana kuna mifano mingi hata katika level ya fãmilia baba anashirikiana na watoto kuendesha kampuni ila watoto wanahujumu!! sasa kama watoto wa baba mmoja mama mmoja hawawezi kufanya kazi pamoja vipi kwa marafiki??Dah very Sad, shida yetu nini hasa? Sijui tumezaliwa na Tamaa au vipi
USHINDI MM MKUU KUNA MMOJA NILIFANYA NAE PROJECT YA KILIMO TUKAENDA VIZURI SANA KUFIKIA HATUA YA KUVUNA AKAACHIA NJIANI NAKUNIACHA NJIA PANDA HASARA NILIYOIPATA ACHA TUKuna mdau mmoja nilifanya nae project ya ufuta morogoro.
Aliniudhi hadi ile project nikaiachia njiani nikaenda kuanzisha nyingine peke yangu Kisarawe.
Kila week anatafuta sababu zisizoeleweka.
Toka wakati huo nikasema sifanyi mradi wowote na mtanzania mwenzangu. Wanamihemko mwanzoni. Badae wanakimbia ukifika muda wa mavuno ndo wanaanza kuulizia mmepata nini.
YAANI NDUGU YANGU KUNA MTU ALIKUWA NA MAONO YA KAMPUNI AKATUKUSANYA TUKAKAA TUKAJADILI TUKAANZA KWA KUPLEDGE SASA ALIKOTOKOMEA SIKUJUI AKAWA UKIMPIGIA HAPATIKANI MARA HOOO NASOMA SASA YAANI MPAKA ILE IDEA IKAFA NA WATU WAKAJONYOFOA MMOJAMMOJAHapo kwenye Uvimilivu ndo kuna shida kubwa sana na pia hapo kwenye wivu na tamaa.
Mnaunda kampuni lakini hapo hapo wanajikata tena wawili wanaunda kikampuni ndani ya kampuni hao wawili tena wao kwa wao bila kujuana kila mmoja ataunda tena kijikampuni chake ndani ya kijikampuni ndani ya kampuni
[emoji23][emoji23][emoji23]....Njoo tushirikiane sisi bestii tuwaonesheeWabongo kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguu hatujambo. Nilishasema sitaki tena ushirika na mtu
Kutokana na hayo tunajikuta tunaangukia raha na sio starehe tena[emoji19]Mbali na ubishi, Waafrika tu wavivu, waongo, wabinafsi na wapenda starehe zaidi.
Kweli nitakutafuta tufanye ushirika kama wachina. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Njoo tushirikiane sisi bestii tuwaoneshee
Hilo linathibitisha kuwa Nyerere alipoteza nguvu zake bure kuifanya nchi hii ya kijamaa, maana huo ujamaa wenyewe hatukuuelewa hata chembe.Kutokana na hayo tunajikuta tunaangukia raha na sio starehe tena[emoji19]
Mbona wachina best anguu[emoji23][emoji23]Kweli nitakutafuta tufanye ushirika kama wachina. [emoji23]
Anza na je nifanyeje? Tutumiw nafisi ya kwanza.Ikiwa wachangiaji wa uzi huu wanawakilisha sehemu (sample) ya watanzania na wote mnaonekana kujua tatizo, sasa je wanaofanya hayo ni akina nani? Ni wakati wa kuacha kuipa kasumba nguvu na kuanza kufanya inavyostahiki.
Wanasema ukijiaminisha wewe ni mwizi basi utakuwa mwizi kwasababu unachokiamini kitapelekea utende hivyo na kudhihirika hivyo.
Muhimu ni je tufanyeje kutoka hapa na kubadili mtazamo na mienendo?
Unaongelea venture capitalist mkuu.Tatizo kubwa ninaloliona huku kwetu ni uaminifu na kujituma. Sehemu zingine duniani kuna platform zinaanzishwa ambapo mtu anakuwa na idea ya biashara au kishaanzisha biashara lakini anataka kuongeza mtaji. Anajiunga katika platform ambayo mtu yoyote anaweza kuchangia chochote alichonacho iwe 100, 200 mpaka mtaji utakapotimia. ulichochangia kinagawanywa kwenye mtaji ili kujua una umiliki wa asilimia ngapi katika kampuni. Kampuni inapopata faida mnagawana faida kutokana na asilimia uliyochangia. Njia hii ni nzuri sababu inajumuisha watu wengu hata wale wasio na uelewa wa biashara au kutotaka kujishughulisha na biashara. Ni njia fulani ya uwekezaji. Nadhani tubadilishe mentality tu na kujituma. Hakuna kinachishindikana.