Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Lazima tuwe km kenge/mijusi kwenye msafara wa mamba,.watu tunapenda "matokeo mazuri" bila kufanya kitu/jambo LA kuleta matokeo hayo mazuri ambayo kila mtu ana ndoto nayo,..uvivu,ubinafsi/umimi,roho mbaya,kutaka kuwa juu ya mwezake na mengine kama hayo yanatufanya tusipige hatua kwenda mbele....lakini wenzetu hayo kwao ni sumu,.wasomi wanaungana wanafanya "tija" kwetu ndio hivyo tena kila mtu anataka kuonekana yeye ndio kafanya, yeye ndio yeye huku nguvu kazi yenyewe moja,itawezekana vipi kufanikiwa???