Kampuni nyingi za Wachina unakuta Ni share ya watu hata 500

Anzia kwenye familia tu ya watoto 6 angalia kama wanapendana hadi kushiriki kazi moja kwa moyo mmoja!..Baada ya hapo utaona Afrika tuna umoja wa kinafiki na familia za kulazimisha!.
"Familia za kulazimisha" hapa umenchekesha sn mkuu [emoji23] [emoji23]
 
"Familia za kulazimisha" hapa umenchekesha sn mkuu [emoji23] [emoji23]
ni kweli mkuu!!.. unakuta familia zinasumbuana lakini watu kupotezeana unaambiwa laana utapewa!...Chukulia mfano gigs na familia yake.
 
Haya baada ya kusoma maoni ya wadau wengi hapo nimegundua key point ni kukosa umoja&ushirikiano,itapendeza endapo ikatokea watu humu wakaungana wakaanzisha mradi ili kuweza kufika mbali kimandeleo.
 
daaaaah . . . . . . very true asee, partnerships pay more kuliko jeshi la mtu mmoja
 
ukweli kabisa, mkiwa watu hata 50 au 100 wenye mtaji wa 4m kila mmoja si mnaazisha hata store ya usindikaji? . . . . TUBADILIKE.
nimeikubali comment hii, thumbs up for you mkuu
 
Ndio mana kule kwa individually wana hela sana
 
Mimi ni frontline katika hili la kujiunga pamoja kwa aliyekuwa tayari kuungana na mii tuanzehii movement kwa pamoja ninawarenga hapa ni maskini na watoto wa kimaskini, hii inamaana kwamba tukiungana sio kwamba wengi tutakuwa na pesa hapo hapo tutakuwa na muda wa kupeana na deadline pia kutakuwa na pesa ya anzio kwa kila mtu kuonesha usiriasi wa mtu husika katikaa jambo hilo mpango mzima utakuwa una managiwa au kukontro kwakutumia database na husika ya kiundi kama mutakuwa tayari kwa hili niunde group la wjtsapp sasahivi almost watu 20 watatosha wenye uwezo wa kuchanga laki tani (500,000)
 
Mimi ni frontline katika hili la kujiunga pamoja kwa aliyekuwa tayari kuungana na mimi tuanze hii movement kwa pamoja ninawarenga hapa ni maskini na watoto wa kimaskini, hii inamaana kwamba tukiungana sio kwamba wengi tutakuwa na pesa hapo hapo tutakuwa na muda wa kupeana na deadline pia kutakuwa na pesa ya anzio kwa kila mtu kuonesha usiriasi wa mtu husika katikaa jambo hilo mpango mzima utakuwa una managiwa au kukontroliwa kwa kutumia database husika ya kiundi kama mutakuwa tayari kwa hili niunde group la whatsapp sashahivi almost watu 20 watatosha wenye uwezo wa kuchanga laki tani (500,000) inamaana hii itakuwa sawa na million kumi hii itatosha kabisa kufanya chenye tija
 
Jamani msijitukane Watanzania. Hata huko China sio wote wana roho hiyo. Wabinafsi wapo. China kinachowabeba ni population kubwa na closed market. Kwa hiyo nchini mwao hata ukiuza pipi tu unatoka.

Tatizo kubwa la makundi ya Watanzania ni tunachaguana kindugu au kirafiki badala ya kimkakati.

Kuchaguana kimkakati maana yake uchague watu wenye pesa zinazotakiwa, na watu wenye ujuzi unaotakiwa hata kama hamjuani ndo mtajuana kwenye kazi.

Ila unakuta mtu yeye yuko level ya milioni 50 halafu watu wake wa karibu ndo wanahangaika level ya milioni 2 au 3. Hapo hakuwezi kuwa na ushirikiano. Wa milioni 50 atataka kuwa bosi, lakini kwa sababu aliowachagua ni watu wake wa karibu hawatakubali kuwa chini yake.

Maana kama ni mifano hai tu ya ushirikiano wa kiuchumi mbona tuna SACCOS za kutosha Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…