Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

Chadema mlisema Mkataba wa DPW hauna ukomo ktk bandari zote Tanzania bara, hawa ni kina nani na wametoka wapi tena?
Kenge nyiye
 
Kabakiza kugawa Bagamoyo port, SGR na gas; mengine yote keshauza misitu, mabasi, migodi ilyokuwa reserved na bado anakopa.

Huku wanagawa cash cow assets, halafu huko bungeni wanawaza kodi kwa watu maskini.

Only in Tanzania
Well kaka tufanyaje sasa? They dont listen to anybody but themselves, wanadhani wao ndio wenye akili na exposure
 
Chadema mlisema Mkataba wa DPW hauna ukomo ktk bandari zote Tanzania bara, hawa ni kina nani na wametoka wapi tena?
Kenge nyiye
Si chadema but Umekurukupuka, adani haji kusitisha mkataba wa dp world, pale bandarini ana gati anaendesha despite kuwa dp world now wana run operations. So wapo sana
 
Serikali ifikirie upya kabla ya kumpa huyu bwana mkataba
 
Si chadema but Umekurukupuka, adani haji kusitisha mkataba wa dp world, pale bandarini ana gati anaendesha despite kuwa dp world now wana run operations. So wapo sana
Una IQ ndogo huwezi kuelewa nilichoandika. Waachie ma-GT wadadavue.
Kenge wewe
 
Vipi kuhusu Tanzania? Na anachunguzwa USA kwa kutoa rushwa kubwa.


View attachment 3157923
Sasa kama USA wamemstukia kwa Rushwa unafikiri hapa Madagascar atakuwa hajafanya jambo? Gati zote alizopewa zile unafikiri watu wametoka patupu?πŸ˜‚

Sahizi lami za Masaki zimesheheni Rolls Royce za kutosha bila kusahau super cars ambazo tulikuwa tunaziona kwenye music videos za mamtoni tu. Achilia mbali ma Bentley na ma G wagon ndio kama uchafu. Yote hio ni nchi imefunguka hamna mtu anaweza tapanya hard earned cash namna hio ila ni Tax Evasion na Corruption kwa kwenda mbele.
 
Watu wanaweka mazingira ya kugawana % tu nyie wengine mtajijua wenyewe. Hii ndio Tanzania. Na ndo maana kila mtu anapambana awe chawa πŸ˜‚
 
Una bandari unaweza pata mapato ya kutosha kuendesha nchi ikiwa utaweka usimamizi mzuri

badala Yake unakimbilia Korea kuomba mkopo wa riba kubwa
hizi ndo akili za ma ccm
Hao jamaa wao huwaza kupata hela ya mkupuo tu tena za mkato kupitia kukabidhi assets za taifa kwa hao watu wa nje. Mtu anaangalia akiona anaweza kuleta ubia na taifa la nje akala ganji ndefu na kuwekewa payroll kidogo kipindi cha mkataba basi anaileta Idea kwa mtukufu mwenyekitiπŸ˜‚. Na hivyo ndio ambavyo siasa inalipa.
 
Mkuu waki- ibinafushisha TRA kwa wazungu itapendeza sana, maana hizi control number za mchongo hazitakuwepo na hivyo kuokoa fedha za serikali kupigwa na wajanja.
Wawape makaburu tu hio TRA ili nchi inyooke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…