Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

Tulisema Hawa matapeli wameichukua bandari
Mnaleta Habari za udini

Haya sasa nyie machawa bisha tena

Huyu tapeli kakamatwa ughaibini kwa utapeli na rushwa

Hapa kwetu ndo mmempa bandari yetu

Tulisema muwe mnatusikiliza
 
Alikua ana
Zero brain hata ikipewa PhD 50 haisumbui braza. Nyerere alikuwa nazo zaidi ya 20 ulimsikia hata akijiita Dr?
Aliitwa mwalimu..hata yesu pia aliitwa mwalimu (kumbe walimu ni tofauti na doctor😂😂 )
 
Back
Top Bottom