Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

zamani zile tulijifunza shuleni habari ya njia kuu za uchumi kumilikiwa na wageni.. sasa hii ndio practical stage mkuu..
 
Mbona mkataba wa Adani umesainiwa na tpa siyo raisi kama ule wa dp world, na haujapelekwa bungeni kurasimishwa
 
Hakuna kikwete kafanya kwenye sgr, mbona mnalazimusha king, nyie na kundi lenu la huyo mzee msiga ndio mlimuua JPM kwa wivu baada ya kuona anawafunika

Una bana pua hapa etu Kikwete ndio alianziasha sgr, hata mshipa wa aibu hamna?
 
Nakubaliana na wewe. Tanzania ni nchi yenye raia waoga na wana nidhamu ya woga. Kila nikiona Makonda anavyowapelekesha watu wazima tena wengine wasomi na wao kila sentensi hawaachi kuweka maneno ''mheshimiwa mkuu wa mkoa....'', huwa nabaki mdomo wazi. Hivi hawawezi kuzungumza bila kuweka maneno ''mheshimiwa mkuu wa mkoa'' kila baada ya sentensi? Na yeye akisikia hivyo anavimba kichwa na kujiona mungu mtu. Aisee mimi siwezi kabisa kujidhalilisha namna hiyo!
 
Nadhani sera za ujamaa zimechangia kwa kiasi kikubwa watanzania kuwa WAOGA na kujificha katika kivuli cha ukarimu na uugwana.​
 
We ulitaka kampuni ipi ifanye hyo kazi. Umejawa na roho ya umaskini. Huna uwezo pambana na hali yako
 
Kabakiza kugawa Bagamoyo port, SGR na gas; mengine yote keshauza misitu, mabasi, migodi ilyokuwa reserved na bado anakopa.

Huku wanagawa cash cow assets, halafu huko bungeni wanawaza kodi kwa watu maskini.

Only in Tanzania
Na mamako ameuzwa? Huoni ht haya, bwege kwl. Na kwa roho hyo, huo uzushi wako ukoo wako utaendelea kuwa maskini milele
 
We bwege na hao mapadre wako ndio wadini. Kila Rais akiwa siyo mkatoliki hamtulizi vitako vyenu hivyo. Mlizoea kupitisha mali zenu bure tunawajua vzr, sasa muda wa ujambazi wenu umeisha
 
JPM ni nani nchi hii? Huyo ni marehemu sk nyingi na harudi tena, tuliobaki lazima tuendelee na mipango yetu. Yule mshamba wa kisukuma alituharibia nchi km vp mfuate we bwege
 
Moderators you have to do something, watu tunaowaweka kwenye ignore list iwe na wao awana uwezo wa kuona posts zetu, kutu-quote na kutu-tukana.

Wengine tumeshavuka zama za kutukana watu hovyo kama huyo poyoyo saigilomagema si apambane tu kuipamba hiyo CCM mpaka atukane watu.

Kwa chawa ndani ye CCM huna thamani kwa vigogo wa chama kama una uwezo kujibu hoja. Jamaa wanapenda watu wenye kuonyesha uwezo wa kujibu hoja kama walikusahau vinginevyo wana vijana wao walioamua kuwalea wenyewe kuwa viongozi ukiona aupo sehemu ya malezi basi tumia JF kuonyesha uwezo wako wa kujenga hoja.

Vinginevyo utatukana watu humu mpaka utachoka bila ya kwenda popote.
 
Labda ukikuwa mtoto Mdogo lakini Kama ulikuwa umeshapata akili ungefuatatilia siasa za mrema , mtikila, Lisu, Slaa Miaka ya 1994 mpaka 2010 ungepata majibu ya Maswali yako .
 
We bwege na hao mapadre wako ndio wadini. Kila Rais akiwa siyo mkatoliki hamtulizi vitako vyenu hivyo. Mlizoea kupitisha mali zenu bure tunawajua vzr, sasa muda wa ujambazi wenu umeisha
Bwege babako aliyekuzaa pasi na maarifa na busara. Udini utakuua mbwa weye, aliyekwambia mimi mkatoliki nani? Kama unahisi unapambania dini basu unadhalilisha dini yako. Rudi ukasome mbwa we.
 
kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…