Kampuni ya Australia iliyofutiwa leseni yatishia kukamata ndege ya Tanzania

Kampuni ya Australia iliyofutiwa leseni yatishia kukamata ndege ya Tanzania

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Kampuni ya Indiana Resources ya Australia imetishia kuikamata ndege ya Tanzania endapo itashindwa kulipa fidia kufuatia kesi iliyofunguliwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Uwekezaji (ICSID) Nchini Marekani

Kampuni hiyo imeishtak Tanzania baada ya kutaifisha leseni ya uchimbaji madini katika mradi wa Ntaka Hill Nickel bila fidia wakati uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli.

Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Bronwyn Barnes ameuambia mtandao wa The African Report kuwa hatosita kuishikilia ndege ya Tanzania endapo itashindwa kulipa fidia kama itakavyoamuliwa na ICSID.

Barnes amesema shtaka hilo lina thamani ya Tsh. Bilioni 234.5 na Indiana inastahili kupata 60% ya fedha hizo, kiasi ambacho amesema kuwa hata thamani ya ndege haitoshi.

Wakati hayo yakiendelea ndege ya Tanzania inaendelea kushikiliwa Nchini Uholanzi tangu Desemba 2022 na Kampuni ya Sweden kushinda tuzo ya Tsh. Bilioni 380 dhidi ya Tanzania, licha ya kuwa Tanzania kusema imekata rufaa dhidi ya uamuzi huo wa Mahakama.

Ndege.JPG


============


Tanzania: Indiana mining will seize national airline planes if necessary in expropriation dispute

There are arguments for and against the idea that it’s beneficial for African countries to have their own national airlines. The risk of the airline’s planes being legally seized as part of a dispute over mineral rights expropriation is a factor which may have escaped late Tanzanian president John Magufuli.

Magufuli, who died in March 2021, made the revival of Air Tanzania one of his flagship projects. He also carried out a series of expropriations of mining licenses granted to foreign companies without compensation.

Source: theafricareport
=============
Australian miner threatens to seize Air Tanzania aircraft


Australian mining company Indiana Resources has warned it may, if necessary, resort to attaching Air Tanzania's aircraft to force the Tanzanian government into paying out close to USD100 million in compensation for the loss of a nickel project in that country.

"Tanzania took my asset. I'm quite happy to do the same," Indiana Resources Executive Chairwoman Bronwyn Barnes told The Africa Report. Although the value of Air Tanzania's aircraft would not cover the claim, she is counting on the shock value of high-profile national assets being seized to shame the Tanzanian government into action.

Indiana Resources' longstanding dispute with Tanzania over the expropriation of the Ntaka Hill nickel project is the subject of arbitration before the World Bank's International Centre for Settlement of Investments Disputes (ICSID) in Washington DC, US. The ICSID completed an evidentiary hearing into the dispute in February. Post-hearing submissions were due by April 5.

Asked for comment, Barnes told ch-aviation: "The claimants are awaiting a decision from ICSID on compensation for the expropriation of the Ntaka Hill nickel project. If the arbitral tribunal rules in favour of the claimants and determines that compensation for the loss of the asset is due, then we will seek to recover that amount from Tanzania. If Tanzania fails to make payment of compensation as directed by ICSID, then we will consider seizing assets. This may include planes, although no clear decision has been made about this at the moment. We await the final decision of the arbitral panel," she said.

In an earlier company update, Indiana Resources said it was confident it had presented "a clear and compelling case for the requested compensation of USD96.8 million for the loss of the Ntaka Hill nickel project".

Indiana Resources is responsible for all activities in relation to arbitration as the major shareholder and appointed manager for the claimants, including Nachingwea UK Ltd, Ntaka Nickel Holdings Ltd, and Nachingwea Nickel Ltd.

Meanwhile, Indiana Resources has taken a strategic decision to suspend all exploration, cut costs, and implement capital preservation measures to avoid raising funds which would dilute existing shareholders pending the outcome of the arbitration.

In a statement in February, Barnes said Indiana Resources was "close to receiving an outcome that could provide sufficient funds to advance all exploration activities in South Australia for the foreseeable future and provide a capital return to shareholders to recognise the loss of their investment in Tanzania".

The ICSID has not set a date for a decision, but Barnes hoped it would happen around the third quarter of 2023. "There is a clear and compelling case for compensation. We're very confident of a successful outcome," she told The Africa Report.

Indiana Resources first lodged the claim with ICSID in July 2021 for compensation of USD93.7 million plus interest, which continues to accrue. In October 2022, the company met with a special Tanzanian government negotiation team in Dar es Salaam. The company said a site visit to Ntaka Hill revealed that third parties had developed the site and that a significant amount of the previously identified high-grade nickel sulphide zone had been extracted.

Some 158 states, including Tanzania, have ratified the ICSID Convention. An award issued by an ICSID tribunal is enforceable in any of those 158 member states as if it were a judgment of one of their own courts. Partly because of this, countries often comply voluntarily with the payment terms of such awards.

The case echoes that of Swedish companies EcoDevelopment in Europe AB and EcoEnergy Africa AB, which last year impounded an Air Tanzania A220-300 in the Netherlands over a similar dispute over revoked land rights adjudicated by ICSID. The companies had won a USD165 million award against Tanzania over a revoked land rights claim and, in November, persuaded a Dutch court to uphold the attachment of 5H-TCH (msn 55047) owned by Tanzanian lessor TGF - Tanzania Government Flight. According to ADS-D data, the aircraft remains in Maastricht.

Source: ch-aviation
 
Kampuni ya uchimbaji madini ya Australia Indiana Resources imeonya kuwa huenda, ikibidi, ikaamua kushikamana na ndege ya Air Tanzania ili kuishinikiza serikali ya Tanzania kulipa karibu dola milioni 100 za fidia ya upotevu wa mradi wa nikeli nchini humo.

"Tanzania ilichukua mali yangu. Nina furaha kufanya vivyo hivyo," Mwenyekiti Mtendaji wa Indiana Resources Bronwyn Barnes aliiambia The Africa Report.

Ingawa thamani ya ndege ya Air Tanzania haitakidhi madai hayo, anategemea thamani ya mshtuko ya mali ya taifa yenye hadhi ya juu kukamatwa ili kuaibisha serikali ya Tanzania kuchukua hatua.

Mgogoro wa muda mrefu wa Indiana Resources na Tanzania kuhusu unyakuzi wa mradi wa nikeli wa Ntaka Hill umejadiliwa mbele ya Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji cha Benki ya Dunia (ICSID) kilichopo Washington DC, Marekani. ICSID ilikamilisha kusikilizwa kwa ushahidi wa mgogoro huo mwezi Februari. Mawasilisho ya baada ya kusikilizwa yalitakiwa kufikia Aprili 5.

CH Aviation
 
Kumbe ndo maana mnatupiga kwenye invoice, yaani mmeongeza cha juu pesa iliyotakiwa inunue ndege nyingine mpya ya aina hiyo? mbona mmetupiga miaka nenda rudi kwenye madini, makinikia na kwenye gesi hatujawakamatia hata baiskeli, au mkuki kwa nguruwe.....
 
Kampuni ya uchimbaji madini ya Australia Indiana Resources imeonya kuwa huenda, ikibidi, ikaamua kushikamana na ndege ya Air Tanzania ili kuishinikiza serikali ya Tanzania kulipa karibu dola milioni 100 za fidia ya upotevu wa mradi wa nikeli nchini humo.

"Tanzania ilichukua mali yangu. Nina furaha kufanya vivyo hivyo," Mwenyekiti Mtendaji wa Indiana Resources Bronwyn Barnes aliiambia The Africa Report.

Ingawa thamani ya ndege ya Air Tanzania haitakidhi madai hayo, anategemea thamani ya mshtuko ya mali ya taifa yenye hadhi ya juu kukamatwa ili kuaibisha serikali ya Tanzania kuchukua hatua.

Mgogoro wa muda mrefu wa Indiana Resources na Tanzania kuhusu unyakuzi wa mradi wa nikeli wa Ntaka Hill umejadiliwa mbele ya Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji cha Benki ya Dunia (ICSID) kilichopo Washington DC, Marekani. ICSID ilikamilisha kusikilizwa kwa ushahidi wa mgogoro huo mwezi Februari. Mawasilisho ya baada ya kusikilizwa yalitakiwa kufikia Aprili 5.

CH Aviation
Hasara za kutawaliwa na watu kama Magufuli ni nyingi mno, tusirudie tena!
 
Ndio maana familia ya Magufuli kuanzia wife, watoto na ndugu hawapendi kuonekana sana public kwani hizi aibu na hasara alizosababisha baba na mume kwa ubishi wake wa kishamba na kiburi umeangamiza sana nchi.
Nimeona mahali kuwa kuna kitabu kimeandikwa na waandishi wa habari mahiri kinaitwa IM THE STATE kikielezea tabia na matendo mazuri na mabaya ya Jiwe, ngoja tukisome pengine tutamuelewa vizuri zaidi huyu mtia hasara wa nchi
 
Mpaka 2027 hakutakuwa na ndege hata moja
Mikataba hewa huyu mzungu kweli aliwekeza dola USD milioni 100? Aliajiri watu wangapi? Kuna tabia moja inapotokea kiongozi hata wa kampuni akiondoka au akiondolewa na kuwekwa mwingine bado basi yatajitokeza madai ya kila aina. Mimi nilishuhudia kampuni moja ikipelekewa limbikizo la madeni mamilioni kibao e.g. Bili za simu....deni la PAYE....Levy.....Umeme....Maji......inabidi uchambuzi ufanyike kwanza kabla ya kulipa. Nashangaa nchi yetu inataka wawekezaji wengi waje sasa hawa wachache wapo hivi jee watakapokuwa wengi si watataifisha hii nchi!!! tuwe waangalifu kuwapokea hawa tunaowaita wawekezaji kuna wengine wengi hawana maana
 
Back
Top Bottom