Katono Mruma
Senior Member
- Apr 13, 2018
- 131
- 84
Nafasi haitoshi hapa kueleza. Ni story ndefu mno. Haya makampuni yapo porini kwa takriban miaka 15. Kuna taratibu za ki Serikali kuhusiana na maswala Haya. Pale kunapokuwa na shida , Huwa wanajadiliana. Ila kilichopelekea mpaka wakanyang'anywa nacho ni story nyingine kabisa. Kama walinyang'anya kihalali, basi Serikali itashinda mahakamani. Kama si kihalali, deni Hilo. Maelezo yanahitaji kurasa 30!! Haitoshi kukusomesha hapa!Fuatilia wewe kisha eleza unachotaka kusema, maana hapa hujasema kitu