Kampuni ya Australia iliyofutiwa leseni yatishia kukamata ndege ya Tanzania

Mimi ninachojua kuna wabongo&wahuni ambao ndio huwashinikiza hao majambazi wa ubeberuni wakamate mali za nchi kwa manufaa ya hawa wabongo wahuni wachache na hao mabeberu majambazi.

Hiz issues ziliopoa sana, mbn zimeibuka baada ya kumsoma huyu madam prezdent mood yake na upole wake?

Anyway lipen maden ya watu na muwadake hao wabongo wachache wanaolinafikia hili taifa kwa manufaa yao
 
Kwani hakuna kumbukumbu za hiyo mikataba? je marehemu aliondoka na mikataba? hapa ni ufisadi wa CCM
 
Hii nchi ina ujinga mwingi sana...kwanini tunafanya mambo kimazoea sana..hawa mawakili wetu wanakazi gani?

Shida sio mawakili, shida ni kwanini tuingie mikataba ya kimataifa alafu turudi kutaifisha? Utaifishaji wa Mali ni mambo ya Kizamani sana! Huwezi kuwa na Taifa la kisasa, linaloendelea, Kisha ukafanya expropriation! Ispokuwa kama Kuna vita, au uvunjaji wa mikataba husika!
 
Hii nchi ina ujinga mwingi sana...kwanini tunafanya mambo kimazoea sana..hawa mawakili wetu wanakazi gani?
Ujinga mwingi wakati hao hao wa kutetea Nchi ndo watakula 10% ya hizo pesa
 
Kwa nini Wasiwakamate hao Viongozi hii mambo ya kukamata Ndege ya Wananchi wakati hawapo kwenye maamuzi sio sawa na pia labda kwa kuwa sijafatilia Nchi zingine ila naona mambo ya kesi ni Tanzania tuu kukamatwa ndege zake ngoja nifatilie na wengine huko na pia hii ishu pana Watanzania wapo ndani kwenye hili deal kama walivyofanya huko kwa Mkulima SA..
 
Chanzo cha kufutiwa ni nini?
 
Hapa kuna deal la mtanzania tena utakuta ni mzalendo kindakindaki.
 
Wakati hayo yakiendelea ndege ya Tanzania inaendelea kushikiliwa Nchini Uholanzi tangu Desemba 2022 na Kampuni ya Sweden kushinda tuzo ya Tsh. Bilioni 380 dhidi ya Tanzania, licha ya kuwa Tanzania kusema imekata rufaa dhidi ya uamuzi huo wa Mahakama.
Ilikwenda Holland kuffanya nini?
 
Zimeibuka lini? Usijitoe ufahamu mzee walikamata south na Canada huko enzi za Magu
 
Waikamate waone!

Hawana lelote lile zaidi ya kufokafoka na naishauri Serikali isikurupuke.

Na iwe fundisho kwao, tumechoka na wizi wao. Tumechoka na mbinu zao za kutishiatishia Pumbafu. Yaani mali ya kwetu, ardhi yetu halafu wanakuja nakuji memebefy?
Wajaribu waone.
 
Mawakili wanaoshindwa hata kuwafungulia kesi wezi wa mali za umma tena na ushahidi wa CAG upo then utegemee wakapambane huko nje we uliona wapi??
Wakili ni lazima aajiriwe kuifanya hiyo kazi, hajiamulii tu kisa ni wakili. Atamuwakilisha nani? Serikali iliyofujwa haishughuliki, wananchi hawajitambui.
 
Wameona anayeongoza kwa sasa ni dhaifu ndiyo maana wanataka kukamata mali za umma wanavyotaka.Mama bora ujiuzulu ili Tanzania ipone.
Zilikuwa zinakamatwa hata aliyezinunua akiwa hai. Aliona njia ni kutozipeleka kwenye matengenezo, zikawa zimekaa tu hazitoi huduma. Wa sasa anazipeleka kwenye matengenezo, ndio hizo zinakamatwa.
 
Hujui lolote. Bora ungekaa kimya
 
Hujui lolote. Una kiwango gani Cha elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…