Una kiwango gani Cha elimuWaikamate waone!
Hawana lelote lile zaidi ya kufokafoka na naishauri Serikali isikurupuke.
Na iwe fundisho kwao, tumechoka na wizi wao. Tumechoka na mbinu zao za kutishiatishia Pumbafu. Yaani mali ya kwetu, ardhi yetu halafu wanakuja nakuji memebefy?
Wajaribu waone.
Ndiyo sisi haoK
Kukamatwa.
Ulita mawaki wafanye je?si mulimuona magu MunguHii nchi ina ujinga mwingi sana...kwanini tunafanya mambo kimazoea sana..hawa mawakili wetu wanakazi gani?
Magufuli alikuwa zaidi ya mpumbafuTuone tena Sukumagang wakisema wakulaumiwa ni Tundu Lissu
Dawa dini kulipa tu magafuli alikuwa ni zaidi ya mshamba na mpumbafuWameona anayeongoza kwa sasa ni dhaifu ndiyo maana wanataka kukamata mali za umma wanavyotaka.Mama bora ujiuzulu ili Tanzania ipone.
Anadai fidia unafahamu maana ya fidia?Mikataba hewa huyu mzungu kweli aliwekeza dola USD milioni 100? Aliajiri watu wangapi? Kuna tabia moja inapotokea kiongozi hata wa kampuni akiondoka au akiondolewa na kuwekwa mwingine bado basi yatajitokeza madai ya kila aina. Mimi nilishuhudia kampuni moja ikipelekewa limbikizo la madeni mamilioni kibao e.g. Bili za simu....deni la PAYE....Levy.....Umeme....Maji......inabidi uchambuzi ufanyike kwanza kabla ya kulipa. Nashangaa nchi yetu inataka wawekezaji wengi waje sasa hawa wachache wapo hivi jee watakapokuwa wengi si watataifisha hii nchi!!! tuwe waangalifu kuwapokea hawa tunaowaita wawekezaji kuna wengine wengi hawana maana
Ujinga afanya Magufuli mungu wako lawama uwape wasio husikaMimi ninachojua kuna wabongo&wahuni ambao ndio huwashinikiza hao majambazi wa ubeberuni wakamate mali za nchi kwa manufaa ya hawa wabongo wahuni wachache na hao mabeberu majambazi.
Hiz issues ziliopoa sana, mbn zimeibuka baada ya kumsoma huyu madam prezdent mood yake na upole wake?
Anyway lipen maden ya watu na muwadake hao wabongo wachache wanaolinafikia hili taifa kwa manufaa yao
Hakuna ufisadi wote huo ujinga wa Magufuli kumuita marehemu ni kumpaisha hana hadhi hiyoKwani hakuna kumbukumbu za hiyo mikataba? je marehemu aliondoka na mikataba? hapa ni ufisadi wa CCM
Mimi muisilamu wewe Je?Una kiwango gani Cha elimu
Mimi ninachojua kuna wabongo&wahuni ambao ndio huwashinikiza hao majambazi wa ubeberuni wakamate mali za nchi kwa manufaa ya hawa wabongo wahuni wachache na hao mabeberu majambazi.
Hiz issues ziliopoa sana, mbn zimeibuka baada ya kumsoma huyu madam prezdent mood yake na upole wake?
Anyway lipen maden ya watu na muwadake hao wabongo wachache wanaolinafikia hili taifa kwa manufaa yao
Tatizo Haya Maswala watu Wana comment lakini uelewa ni mdogo! Duniani huwezi kuwa na tabia za ajabu ajabu, za kuamka asubuhi na kivunja mikataba uliyoingia, alafu ukabaki salama!! Mikataba inalindwa kisheria, na ukiivunja kibabe Kuna gharama zake. Ndio tunazolipa na tutaendelea kuzilopa sana!Mabeberu wameshaona serikali ni dhaifu ndiyo maana wanafanya wanavyotaka.
Mkataba ukiuka makubaliano unavunjwa.lakini kwa kuwa saivi wanaona serikali ni dhaifu ndiyo maana wanakuja kusumbua wakati wao ndiyo walikiuka masharti ya mikataba yaoTatizo Haya Maswala watu Wana comment lakini uelewa ni mdogo! Duniani huwezi kuwa na tabia za ajabu ajabu, za kuamka asubuhi na kivunja mikataba uliyoingia, alafu ukabaki salama!! Mikataba inalindwa kisheria, na ukiivunja kibabe Kuna gharama zake. Ndio tunazolipa na tutaendelea kuzilopa sana!
Inaelekea uelewa wako wa Biashara za kimataifa na uwekezaji, na mikataba ya kimataifa ya uwekezaji kati ya Nchi na Nchi au baina ya makundi ya Nchi ni mdogo sana! Lakini si kosa lako, maana inawezekana hujaenda shule kiasi Cha kutosha kuelewa Haya mambo.Mimi ninachojua kuna wabongo&wahuni ambao ndio huwashinikiza hao majambazi wa ubeberuni wakamate mali za nchi kwa manufaa ya hawa wabongo wahuni wachache na hao mabeberu majambazi.
Hiz issues ziliopoa sana, mbn zimeibuka baada ya kumsoma huyu madam prezdent mood yake na upole wake?
Anyway lipen maden ya watu na muwadake hao wabongo wachache wanaolinafikia hili taifa kwa manufaa yao
Comparative Advantage haiwezi kufa: sisi tuna madini mengi, tuna comparative advantage over then, kwa hiyo tunachotakiwa ni kuwa smart, baas! Tukifanya mambo kijinga, kwa kukurupuka, kwa kujiona ni wababe, tutapata shida sana! Ubabe kwenye International business environment haulipi!These are not the days of the Maxim Gun, these are not the days with comparative advantages....piga ua, wasitutishe.
#Australiansleaveusalone
we kweli ni poyoyo huyo unayeamini alikuwa strong ndiyo amesababisha hayo madhila yote. Strong ktkt nini, kufokafoka? Mama ndiyo strong anaheshimu sheria siyo yule mfu wenu ametuachia haya madhila. Kwa mfano huyo unayeamini ni strong angefanya nini ndege imekamatwa nje ya nchi? Tumia akili kufikiri.Wameona anayeongoza kwa sasa ni dhaifu ndiyo maana wanataka kukamata mali za umma wanavyotaka.Mama bora ujiuzulu ili Tanzania ipone.
Hata ukivunjwa unavunjwa kwa taratibu zilizowekwa, sio kwa fiat! Mikataba imeandikwa na Ina taratibu zake, haihusiani na Rais. Unapomtaja Rais ambaye hajavunja Mkataba kwa fiat, Wala ukiwa huna ushahidi kuwa makubaliano yalivunjwa na kampuni, unakuwa unaongea tuu! Narudia, hata kama masharti yalikiukwa, Kuna taratibu za kupitia kivunja mikataba, sio kwenye mikutano ya Hadhara!Mkataba ukiuka makubaliano unavunjwa.lakini kwa kuwa saivi wanaona serikali ni dhaifu ndiyo maana wanakuja kusumbua wakati wao ndiyo walikiuka masharti ya mikataba yao
Kama makosa ni ya wazi, wakili analaumiwa kwa kipi? Ubabe wa kijinga ndo umetufikisha hapa. Ubabe usiofuata sheriaHii nchi ina ujinga mwingi sana...kwanini tunafanya mambo kimazoea sana..hawa mawakili wetu wanakazi gani?
wapumbavu dunia hii hawaishi ndiyo wanaongezeka, we ulijulia wapi?Mimi ninachojua kuna wabongo&wahuni ambao ndio huwashinikiza hao majambazi wa ubeberuni wakamate mali za nchi kwa manufaa ya hawa wabongo wahuni wachache na hao mabeberu majambazi.
Hiz issues ziliopoa sana, mbn zimeibuka baada ya kumsoma huyu madam prezdent mood yake na upole wake?
Anyway lipen maden ya watu na muwadake hao wabongo wachache wanaolinafikia hili taifa kwa manufaa yao