Nafasi haitoshi hapa kueleza. Ni story ndefu mno. Haya makampuni yapo porini kwa takriban miaka 15. Kuna taratibu za ki Serikali kuhusiana na maswala Haya. Pale kunapokuwa na shida , Huwa wanajadiliana. Ila kilichopelekea mpaka wakanyang'anywa nacho ni story nyingine kabisa. Kama walinyang'anya kihalali, basi Serikali itashinda mahakamani. Kama si kihalali, deni Hilo. Maelezo yanahitaji kurasa 30!! Haitoshi kukusomesha hapa!