Kampuni ya Deepal kutoka China wamezindua mpinzani wa Toyota Prado, Tesla Cybertruck na Tesla Model S.

Kampuni ya Deepal kutoka China wamezindua mpinzani wa Toyota Prado, Tesla Cybertruck na Tesla Model S.

Nimefurahi sana kukuona mwanetu Mad Max baada ya kupitia ule msuko suko wa yule binti aliyeolewa. Ume-move on thats maturity

Chinese EVs to the world, vita ni kali sana
 
Bwana Mad Max nimeona baadhi ya vipicha na meme huko mitandaoni wameweka gari wanaibinua wameandika ma kani kani ma newton. Nikiipata ntaileta utifafanulie.... au ukiweza tuletee uzi wake tuelewe na sie ma lay-pipo-wa-magari😐
 
Back
Top Bottom