Jamaa ataambia nini watu wake wa CCM .... Hata uchaguzi sioni ukifanyika.Daah tumekwisha Ndege ndio hizo zimedorora Stiglers nayo ndio hiyo kilichobakia ni Sgr hii ni mikosi ya kujitakia ya kumpiga Tundu Lissu risasi
Hata nyumbani kwako watoto wakidai uwanunulie mpira wakati una madeni ya kulipia kodi ya nyumbaSidhani kama shida ni corona, wao wamesema mradi una haribu mazingira.
Sent using Jamii Forums mobile app
5-0 mzee....Hii ni laana ya watumishi wa umma.
Hii miradi hata kama ingekamilika isingeleta tija kwa watanzania.
Huwezi kumjibu mtumishi majibu ya dharau kwa miaka 5 then ukategemea NEEMA.
Nchi nyingi zitaathirika kwa corona but zitasimama ila Tanzania itaanza upya kabisa.
Point yako ni ipi hasa? , maana umeeka mafumbo.Hata nyumbani kwako watoto wakidai uwanunulie mpira wakati una madeni ya kulipia kodi ya nyumba
huwa hatusemi mambo ya kodi,bali tunasema mpira si muhimu kwa wakati huu,lakini kama jana
walimuona mwenye nyumba anakudai,wanaelewa
Sijakupata5-0 mzee....
una nawa kabla ujamaliza kujisaidia.Tutaambia nini watu ..maana kila mradi una ishia njiani
sijui itakuaje
"Tuna Rais wa jabu sana haijapata kutokea" -Tundu Lissu. Haya ndiyo matokeo ya ukaidi wa wa Magufuli. Anajidai ana maono kumbe ZERO tupu kichwani. JKN mwenyewe aliyebuni huo mradi hakutekeleza, Marais waliomfuata watatu hawakutekeleza, yeye anaamua kwa akili zake ndogo kuingia kichwa kichwa.Hii ni habari mbaya kwa siku nyengine baada ya Sweden kusitisha ku fund kampuni ya Egypt, ambayo ndio walikua constructor wa mradi huu.
Link hii hapa.
ElSewedy Electric Co - Council on Ethics
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahahahahhahahaha, unajua huyu tausi Kazi anayoweza ni kutumia pisto na SMG kusaka watu, hasira zake huishia hapo hapo Mkuu atahangaika kukutafuta nakuambia huyu mtu ameliangamiza taifaHuko Chato naona Betri inaweza kupiga shoti
Yaani ule mradi ambao ndio ilikuwa karata ya kampeni nao ndio huo Corona nayo inatafuna uchumi kila kukicha
Mbuga za wanyama hazina mtalii hata wa dawa
Mahoteli yamefungwa huku TRA bado wanagonga milango ili wapewe chao
Majirani wametususa na kutufungia mipaka
Wauguzi huko hospitali wanapukutika kwa ukosefu wa PPE
Halafu guess what!...order inatoka kwamba Mrema aende kuchukua mabulungutu ya fedha za walipakodi ili akafanye mkutano wa kumsifu Tausi
Tunaogopa Gestapo mzeeYaani hili wanaliona wazungu walio nje, kweli Watanzania wote Milioni 60 tuliopo leo hatulioni?
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Yaani hiyo 60% iliyotengwa ni mwaka 2020/21 na utazidi kutengwa kila mwaka. Rest assured Tanzania kwanza haina uwezo wa kufund miradi mikubwa kama hii kwa makusanyo ya ndani. Uchumi wa Tanzania unasinyaa mwaka hadi mwaka toka Magufuli amekuja madarakani. Alipokea nchi wakati growth rate ilikuwa 7% na uchumi umekuwa unakuwa kila mwaka mfululizo kuanzia mwaka 2004. Lakini sasa uchumi unakuwa kwa 4,2%, sekta binafsi ni Magufuli mwenyewe anaipiga vita (Yusuf Manji, Mo Dewji, Ali Mufuruki (RIP), Salum Shamte (RIP), Peter Zakaria, etc, wawekezanji wa nje wanapata harassment ya kutisha (Halotel, Vodacom), mtaji mpya hauji nchini toka aje Dangote mwaka 2014, wananchi wanzidi kuwa maskini, biashara zisizo rasmi nazo zinabanwa na TRA.Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
wandugu amkeni wametukimbia tena hawa mabeberuu. juzi tuliwaita wadau wa maendeleo kumbe ni mabeberu.Kumekucha kumekucha
hahahahahh huwa tunapanga tu mkuu pesa ziko ughaibuni huko kwa mabeberuNimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia