Crisis ya Dunia, imekuwa ya Tz pekee yake??Daah tumekwisha Ndege ndio hizo zimedorora Stiglers nayo ndio hiyo kilichobakia ni Sgr hii ni mikosi ya kujitakia ya kumpiga Tundu Lissu risasi
Punguzeni ukike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Crisis ya Dunia, imekuwa ya Tz pekee yake??Daah tumekwisha Ndege ndio hizo zimedorora Stiglers nayo ndio hiyo kilichobakia ni Sgr hii ni mikosi ya kujitakia ya kumpiga Tundu Lissu risasi
ElSewedy Electric Co - Council on EthicsNaomba ueke hapa kithibitisho na mimi ni some
Mjinga ni wewe ambae unadhani boss wako anaweza kuwa ni mtu mwenye akili kuliko watz 60mil... Nasikia huko ulumumbani mnamsifu kwa majina mengi mengi kama Nabii etc.Mkataba ni kati yetu sisi na Elsewedy mkataba kati ya Elsewedy na wafadhili wake ambao mojawapo ni sweden sisi hautuhusu.
Ni wajibu wa Elsewedy kutafuta mfadhili mwingine ili wakamilishe mradi wetu tuwalipe chao.
Kama umewahi kujenga mradi wowote kwa kupitia kampuni utaelewa kuwa mkataba wa kampuni na wafadhili wake wewe haukuhusu.
Isitoshe mradi wa Stiglers unajengwa na kampuni mbili tanzu, iwapo Elsewedy watashindwa kupata mfadhili mradi utaendelea japo utachelewa kukamilika.
Naona wachangiaji wengi wamechangia kwa chuki kiasi cha kupofusha uwezo wao wa kupambanua mambo madogo kama haya.
Kufurahia kufeli kwa huu mradi ni upumbavu mkubwa kwasababu huu mradi sio JPM ni mradi wa Watanzania wote na vizazi vijavyo.
Hii ni habari mbaya kwa siku nyengine baada ya Sweden kusitisha ku fund kampuni ya Egypt, ambayo ndio walikua constructor wa mradi huu.
ElSewedy Electric Co
The Council on Ethics recommends that Elsewedy Electric Co be excluded from investment by the fund due to an unacceptable risk that the company is contributing to or is itself responsible for serious environmental damage
Elsewedy Electric is an Egyptian electrical power company and one of two partners in a joint venture which builds a dam and a hydroelectric power plant on the Rufiji River at Stiegler’s Gorge in Tanzania.
The entire project is located inside the Selous Game Reserve, which has been included on UNESCO’s list of World Heritage Sites in Danger. The reserve is also one of the last remaining large-scale wilderness areas in Africa and considered of extraordinary importance for the preservation of biodiversity. The hydroelectric power plant will cause widespread and irreversible damage to the world heritage site’s outstanding universal values. Mitigating measures would have little impact on this outcome.
The Council on Ethics submitted its recommendation 2 July 2019. Norges Bank published its decision to exclude the company on 12 May 2020.
ElSewedy Electric Co - Council on Ethics
Brother tuwe wazalendo kidogo! Pengine ni kweli isingeleta tija kwa ambao wana ajira, ila ambao hawana ajira ingekuwa na tija... Tusiwe wabinafsi kuna raia kibao wanasubiri izo ajira bro... Na watumishi wachape kazi kama mkuu anavyosema!!! Masilai mazuri ni pamoja na izo project kukamilika! Me naamini Raisi anawafikiria watumishi na anajua changamoto walizonazo tuwe na subiraHii ni laana ya watumishi wa umma.
Hii miradi hata kama ingekamilika isingeleta tija kwa watanzania.
Huwezi kumjibu mtumishi majibu ya dharau kwa miaka 5 then ukategemea NEEMA.
Nchi nyingi zitaathirika kwa corona but zitasimama ila Tanzania itaanza upya kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo 60% wanazitoa wapi?Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Halafu kwanini wanang'ang'ania Tanzania ndo kuwe na urithi wa dunia? Waweke kwao huo urithi wanashindwa Nini?Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Halafu kwanini wanang'ang'ania Tanzania ndo kuwe na urithi wa dunia? Waweke kwao huo urithi wanashindwa Nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa aina yake Ni pamoja na wewe hebu peleka upoyoyo hukoSasa matusi ya nini mtu kachangia maoni yake... Wewe ukichangia huwa unatukanwa?
Huyo mfadhili kwa kuwa super power kwetu,hataki kujishusha
Kuna nchi zimejitoa mpaka kwenye Kyoto Agreement sababu za kiuchumi, sisi sehemu ndogo tu kuzalisha umeme , watu kelele, na wengine wanaoshangilia hivyo ni wapiga polishi na wachoma mishikaki waliokosa watejaHii ni habari mbaya kwa siku nyengine baada ya Sweden kusitisha ku fund kampuni ya Egypt, ambayo ndio walikua constructor wa mradi huu.
ElSewedy Electric Co
The Council on Ethics recommends that Elsewedy Electric Co be excluded from investment by the fund due to an unacceptable risk that the company is contributing to or is itself responsible for serious environmental damage
Elsewedy Electric is an Egyptian electrical power company and one of two partners in a joint venture which builds a dam and a hydroelectric power plant on the Rufiji River at Stiegler’s Gorge in Tanzania.
The entire project is located inside the Selous Game Reserve, which has been included on UNESCO’s list of World Heritage Sites in Danger. The reserve is also one of the last remaining large-scale wilderness areas in Africa and considered of extraordinary importance for the preservation of biodiversity. The hydroelectric power plant will cause widespread and irreversible damage to the world heritage site’s outstanding universal values. Mitigating measures would have little impact on this outcome.
The Council on Ethics submitted its recommendation 2 July 2019. Norges Bank published its decision to exclude the company on 12 May 2020.
ElSewedy Electric Co - Council on Ethics
Wee pumbavu hauna akili kabisa..nani atakubali kuwakopesha hiyo kampuni ya Egypt inayojenga mradi unaoharibu mazingira na Earth Heritage?? UNESCO walisha declare kwamba ujenzi wa hilo bwawa unakwenda kuharibu Mazingira ya eneo husika ila Meko ameshupaza shingo ngoja ataimba kisukuma sasa..Mkataba ni kati yetu sisi na Elsewedy mkataba kati ya Elsewedy na wafadhili wake ambao mojawapo ni sweden sisi hautuhusu.