Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Watanzania "wote" walishirikishwa katika kuamua huo mradi ujengwe??mradi sio JPM ni mradi wa Watanzania wote na vizazi vijavyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania "wote" walishirikishwa katika kuamua huo mradi ujengwe??mradi sio JPM ni mradi wa Watanzania wote na vizazi vijavyo.
Mwalimu alisema habari ya kuhamia dodoma akashindwa,huyu amewezaTuna Rais wa jabu sana haijapata kutokea" -Tundu Lissu. Haya ndiyo matokeo ya ukaidi wa wa Magufuli. Anajidai ana maono kumbe ZERO tupu kichwani. JKN mwenyewe aliyebuni huo mradi hakutekeleza, Marais waliomfuata watatu hawakutekeleza, yeye anaamua kwa akili zake ndogo kuingia kichwa kichwa.
Mkataba ni kati yetu sisi na Elsewedy mkataba kati ya Elsewedy na wafadhili wake ambao mojawapo ni sweden sisi hautuhusu.
Ni wajibu wa Elsewedy kutafuta mfadhili mwingine ili wakamilishe mradi wetu tuwalipe chao.
Kama umewahi kujenga mradi wowote kwa kupitia kampuni utaelewa kuwa mkataba wa kampuni na wafadhili wake wewe haukuhusu.
Isitoshe mradi wa Stiglers unajengwa na kampuni mbili tanzu, iwapo Elsewedy watashindwa kupata mfadhili mradi utaendelea japo utachelewa kukamilika.
Naona wachangiaji wengi wamechangia kwa chuki kiasi cha kupofusha uwezo wao wa kupambanua mambo madogo kama haya.
Kufurahia kufeli kwa huu mradi ni upumbavu mkubwa kwasababu huu mradi sio JPM ni mradi wa Watanzania wote na vizazi vijavyo.
Wtakopa popote siku hizi hakuna vipingamizi dunia ni kijiji.Sidhani kama shida ni corona, wao wamesema mradi una haribu mazingira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ukike ni kitu kibaya mama yako hana ukike? Ubaya wa ukike ni nini? Wewe huna mpenzi wa kike? Au wewe ni mwanamke kwa ivo unajua ubaya wa ukike?Punguzeni ukike
Yaani watoto wetu waje kusifia kuhamia Dodoma. Kwani kuna faida gani kuhamia Dodoma?Mwalimu alisema habari ya kuhamia dodoma akashindwa,huyu ameweza
yapo mengi yanayoonyesha jamaa amefanya kazi,ila tuendelee
kuvaa miwani ya mbao,atasifiwa na watoto wetu baada ya sisi kufa.
Sisi tuliosoma kipindi cha siasa enzi za mwalimu,sababu za kuhamia dodomaYaani watoto wetu waje kusifia kuhamia Dodoma. Kwani kuna faida gani kuhamia Dodoma?
Mabeberu ni hatari Ndugu yangu....Na nchi hiyo rafiki isiwe China kwani hao ni wabaya kuliko mabeberu wanaofahamika...nchi za ulaya zinaendelea kwa sababu ya Afrika na America ya Kusini...imperialism at work...walianza na slave trade...wakaharibu na kuua raslimali watu in millions..wakaua teknolojia ya Afrika..ukaja ukoloni...nao ukawa ni hatari zaidi...resources zote kwenda ulaya...wakaua our dignity, utamaduni na kadhalika...wakaua hata self belief yetu...psychologically tunajiona hatuna akili wala uwezo kuliko wazungu..,ikaja neo-colonialism plus imperialism and globalization...Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Inaelekea unafurahia kinachotokea kuhusu matatizoHuko Chato naona Betri inaweza kupiga shoti
Yaani ule mradi ambao ndio ilikuwa karata ya kampeni nao ndio huo Corona nayo inatafuna uchumi kila kukicha
Mbuga za wanyama hazina mtalii hata wa dawa
Mahoteli yamefungwa huku TRA bado wanagonga milango ili wapewe chao
Majirani wametususa na kutufungia mipaka
Wauguzi huko hospitali wanapukutika kwa ukosefu wa PPE
Halafu guess what!...order inatoka kwamba Mrema aende kuchukua mabulungutu ya fedha za walipakodi ili akafanye mkutano wa kumsifu Tausi
Imekuja kutuaibisha nchi haina akiba ya fedha wakati tulikuwa tukiambiwa tuna fedha za kutosha miaka mitanoCrisis ya Dunia, imekuwa ya Tz pekee yake??
Punguzeni ukike
Suala la kuhamia Dodoma lilikuwa ni hoja ya Halmashauri Kuu ya TANU mwaka 1973. Na mtoa hoja hakuwa Mwalimu. Tafuta Kumbukumbu utajua huu ndiyo ukweli!Sisi tuliosoma kipindi cha siasa enzi za mwalimu,sababu za kuhamia dodoma
tulijifunza darasani japo hakuitekeleza sera yake.
i.
WATANZANIA tunasikitishwa sana na hii serikali ya kibabe na isiyofuata ushauri, infact siyo serikali ni UKAIDI WA MAGUFULIHii ni habari mbaya kwa siku nyengine baada ya Sweden kusitisha ku fund kampuni ya Egypt, ambayo ndio walikua constructor wa mradi huu.
ElSewedy Electric Co
The Council on Ethics recommends that Elsewedy Electric Co be excluded from investment by the fund due to an unacceptable risk that the company is contributing to or is itself responsible for serious environmental damage
Elsewedy Electric is an Egyptian electrical power company and one of two partners in a joint venture which builds a dam and a hydroelectric power plant on the Rufiji River at Stiegler’s Gorge in Tanzania.
The entire project is located inside the Selous Game Reserve, which has been included on UNESCO’s list of World Heritage Sites in Danger. The reserve is also one of the last remaining large-scale wilderness areas in Africa and considered of extraordinary importance for the preservation of biodiversity. The hydroelectric power plant will cause widespread and irreversible damage to the world heritage site’s outstanding universal values. Mitigating measures would have little impact on this outcome.
The Council on Ethics submitted its recommendation 2 July 2019. Norges Bank published its decision to exclude the company on 12 May 2020.
ElSewedy Electric Co - Council on Ethics
Kwa waliofurahia kumwagika kwa damu za akina Lissu na watanzania wa rufijiInaelekea unafurahia kinachotokea kuhusu matatizo
Waafrika hatuna uwezo wa kujitoa kwenye hiyo mitego ya mabeberu?ikaja neo-colonialism plus imperialism and globalization...
mpuuzi huyu
Kwa factor ya mazingira hakuna kampuni yoyote ya Wazungu wangekubali kujenga huo mradi.Kumbe haya makampuni hayana uwezo wa kifedha, yanategemea kukopa toka kwa mabeberu. Nilijiuliza sana hawa waarabu utaalamu wa kujenha haya majitu makubwa hivi na expertise ya hali ya juu wameutoa wpi? Kumbe ni ubia na wazungu.....Norwegians ambao wako juu sana katika oil and gas exploration ... ambayo inajumuisha na vitu kama dams etc etc!
Hoja yangu, why not go to Norway directly ukawapa tender ya kujenga mradi huo? I stand to be corrected! It seems to me, huyu Elsawedy ni middle man ?????