Kumbe haya makampuni hayana uwezo wa kifedha, yanategemea kukopa toka kwa mabeberu. Nilijiuliza sana hawa waarabu utaalamu wa kujenha haya majitu makubwa hivi na expertise ya hali ya juu wameutoa wpi? Kumbe ni ubia na wazungu.....Norwegians ambao wako juu sana katika oil and gas exploration ... ambayo inajumuisha na vitu kama dams etc etc!Daah tumekwisha Ndege ndio hizo zimedorora Stiglers nayo ndio hiyo kilichobakia ni Sgr hii ni mikosi ya kujitakia ya kumpiga Tundu Lissu risasi
Hoja yangu, why not go to Norway directly ukawapa tender ya kujenga mradi huo? I stand to be corrected! It seems to me, huyu Elsawedy ni middle man ?????