Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

WEWE KAMA NI MTANZANIA KWELI ULOITAKA MECO AFANYEJE KWA NIABA YA NCHI JUU YA SUALA HUSKA?

 
Inatusaidia nini iyo world heritage site? Wazungu ni wapumbavu sana wameharibu mazingira huko kwao na maviwanda yao sasa wanataka wapumulie hewa yetu sisi. Wanaelewa kuwa mradi huu utaleta mabadiliko makubwa kimaendeleo sasa wanataka tuendelee kuwa omba omba kwao kwa kisingizio cha kijinga kabisa hicho.
 
TOA MFANO WA WATU TECHNICAL WALIOTEULIWA WAKIWA NA UWEZO MDOGO KULIKO WANAOWAONGOZA

 
Usiwe lipumbavu na jinga! Mazingira yapi yanaharibika?

Hivi tanzania ina maeneo kama hayo mangapi? Hilo eneo lina ukubwa gani katika nchi yetu mpaka useme mazingira yanaharibiwa?

Nyie ndio hata wazungu wakiwashika kalio mnaona poa tu kisa mzungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unfair intervention on an angoing project.
Of all the countries we did not expect Sweden to to this.
 
Hivi huo mradi unajengwa na hela inazotoa selikali ya Tz au hela wanazokopeshwa hiyp kampuni.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
THE PROJECT IS AT 75%, ALL GENERATION EQUIPMENT HAS BEEN ORDERED AND PAID FOR. MACEMENTI NA NONDO, NA VIBARUA NDIO YANATAKIWA SASA. A DONE DEAL NOW.
 
Mwalimu alisema habari ya kuhamia dodoma akashindwa,huyu ameweza
yapo mengi yanayoonyesha jamaa amefanya kazi,ila tuendelee
kuvaa miwani ya mbao,atasifiwa na watoto wetu baada ya sisi kufa.
Unajua Dodoma serikali imehamia kwa gharama kubwa kiasi gani!? Ukinijibu hilo , nitakuuliza swali lingine.
 
Mwalimu alisema habari ya kuhamia dodoma akashindwa,huyu ameweza
yapo mengi yanayoonyesha jamaa amefanya kazi,ila tuendelee
kuvaa miwani ya mbao,atasifiwa na watoto wetu baada ya sisi kufa.
Mwalimu mpaka anaondoka madarakani hakutumia fedha ya uma kujenga kwao. Ila huyu ameweza, ongezea na hilo pia.
 
Miaka zaidi ya 60 sasa tangu Afrika ianze kupata Uhuru bado tu haina "strong leaders" kisa nini hasa?
Strong leaders ndio hawa kina JPM hawataki kumnyenyekea mtu,

Ona nyie mnavyolilia eti tuwanyenyekee hata hawa majirani zetu kina Kenyatta?

Nyie bavicha mngepewa nchi naona kinq Lisu saa hii wangekuwa wanapishana kwenye corido za wazungu wakiuza utu wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka zaidi ya 60 sasa tangu Afrika ianze kupata Uhuru bado tu haina "strong leaders" kisa nini hasa?
Hujui kiss ni Nini?!? Interesting ...because of neo-colonialism...And of course kwa kuiga mfumo wa maisha ya ulaya...
 
Samahani , naomba unitajie nchi zilizotawaliwa na Finland, Denmark na na Norway. Nitajie makoloni yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…