Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Tanzania ya leo siyo ile ya miaka ya nyuma katika mtazamo wa kimataifa. Tanzania ya sasa, mbele ya mataifa, ni nchi primitive society.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ya leo siyo ile ya miaka ya nyuma katika mtazamo wa kimataifa. Tanzania ya sasa, mbele ya mataifa, ni nchi primitive society.
Hahaha....interesting comment...mpaka umeniita Babu ni wazi umri wako ni wa chini mno...may be under twenty...hujui kitu...huna experience..huna uelewa wa issues ..ni chadema oya oya..huna elimu kukuwezesha kutambua mambo..hata baba yako na mama yako pengine chupi zao zinatoka kwa mabeberu unaowakumbatia..very interesting indeed..kima ni mnyama angalau ana kiwango cha kuelewa...Sina hakika na nguruwe ...Kwanza wewe babu hata hiyo chupi yako uliyovaa imetengenezwa huko kwa mabeberu. Kima wewe. Jitambue kwanza kabla ya kubwabwaja humu ndani.
Mjinga wewe wazungu walikuwa na mbuga kubwa kuliko zetu na misitu mikubwa kuliko yetu wakafyeka yote wakajenge viwanda na majiji hatukuwapigia kelele mbuga zetu tuko.huru.kufanya chochote tukitaka twaweza kula wanyama wote si Ni wa kwetu kwani wa kwaoDaah tumekwisha Ndege ndio hizo zimedorora Stiglers nayo ndio hiyo kilichobakia ni Sgr hii ni mikosi ya kujitakia ya kumpiga Tundu Lissu risasi
Wazungu gani?wazungu walikuwa na mbuga kubwa kuliko zetu na misitu mikubwa kuliko yetu
Mkuu huu ndio upeo wako wa kudadavua mambo au unatania tu!Hii ni laana ya watumishi wa umma.
Hii miradi hata kama ingekamilika isingeleta tija kwa watanzania.
Huwezi kumjibu mtumishi majibu ya dharau kwa miaka 5 then ukategemea NEEMA.
Nchi nyingi zitaathirika kwa corona but zitasimama ila Tanzania itaanza upya kabisa.
Damu ya Lissu haiwezi kumwagika bureDaah tumekwisha Ndege ndio hizo zimedorora Stiglers nayo ndio hiyo kilichobakia ni Sgr hii ni mikosi ya kujitakia ya kumpiga Tundu Lissu risasi
Jaribu kuacha jaziba! Umeme utakaozalisha utawahusu vipi mpaka waone wivu? Unadhani umeme utakubadilisha kutoka kuwa nchi masikini kuwa nchi tajiri kama wao?Wanaelewa kuwa mradi huu utaleta mabadiliko makubwa kimaendeleo sasa wanataka tuendelee kuwa omba omba kwao kwa kisingizio cha kijinga kabisa hicho.
You are very right!Kwa factor ya mazingira hakuna kampuni yoyote ya Wazungu wangekubali kujenga huo mradi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naangalia sehemu zote, ni kweli wao na viwanda wanaharibu mazingira, lkn viwanda vyao vinatufanya tuishi, tupate mlo! Kitu kidogo, kama siyo ARVs zao tungelikuwa wangapi Tanzania?Ilà wazungu bwana, wao wanaharibu mazingira kila siku. Halafu wanatupangia jinsi ya kuishi katika mazingira yetu!
Kwa pesa za misaada ambazo mchangiaji mmojawapo ni Sweden.. Jiongeze kidogo basi
Jr[emoji769]
Sisi tunahitaji umeme, tunahitaji sana na resources zote zipo kwetu na wala sio kwao. Kuna shida gani tukiwa na umeme wa kututosha, ilà ndio hivyo ukipewa msaada inabidi ukubali kudhalilishwa.Mimi naangalia sehemu zote, ni kweli wao na viwanda wanaharibu mazingira, lkn viwanda vyao vinatufanya tuishi, tupate mlo! Kitu kidogo, kama siyo ARVs zao tungelikuwa wangapi Tanzania? Zimetoka kwenye viwanda vyao ujue hili, vinavyochafua mazingira!
Bottoline, we have to balance issues! mazingira yawepo na viwanda viwepo....
Ywani hwawa mwabwebwelu wanwanwutowa jwashwo
Mkataba ni kati yetu sisi na Elsewedy mkataba kati ya Elsewedy na wafadhili wake ambao mojawapo ni sweden sisi hautuhusu.
Ni wajibu wa Elsewedy kutafuta mfadhili mwingine ili wakamilishe mradi wetu tuwalipe chao.
Kama umewahi kujenga mradi wowote kwa kupitia kampuni utaelewa kuwa mkataba wa kampuni na wafadhili wake wewe haukuhusu.
Isitoshe mradi wa Stiglers unajengwa na kampuni mbili tanzu, iwapo Elsewedy watashindwa kupata mfadhili mradi utaendelea japo utachelewa kukamilika.
Naona wachangiaji wengi wamechangia kwa chuki kiasi cha kupofusha uwezo wao wa kupambanua mambo madogo kama haya.
Kufurahia kufeli kwa huu mradi ni upumbavu mkubwa kwasababu huu mradi sio JPM ni mradi wa Watanzania wote na vizazi vijavyo.
Safi tu.Nyie acheni kuleta ushakunaku humu...Mtu anaandika maoni yake,hana nia mbaya na hajakutukana,unaanza kumporomoshea mitusi kisa hujapendezwa na maoni yake!! Kwan uliambiwa hii ni forum yenye mijadala na maoni ya kukufurahisha wewe? Au ungeanzisha yako boss.