Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Kwanza wewe babu hata hiyo chupi yako uliyovaa imetengenezwa huko kwa mabeberu. Kima wewe. Jitambue kwanza kabla ya kubwabwaja humu ndani.
Hahaha....interesting comment...mpaka umeniita Babu ni wazi umri wako ni wa chini mno...may be under twenty...hujui kitu...huna experience..huna uelewa wa issues ..ni chadema oya oya..huna elimu kukuwezesha kutambua mambo..hata baba yako na mama yako pengine chupi zao zinatoka kwa mabeberu unaowakumbatia..very interesting indeed..kima ni mnyama angalau ana kiwango cha kuelewa...Sina hakika na nguruwe ...
 
Daah tumekwisha Ndege ndio hizo zimedorora Stiglers nayo ndio hiyo kilichobakia ni Sgr hii ni mikosi ya kujitakia ya kumpiga Tundu Lissu risasi
Mjinga wewe wazungu walikuwa na mbuga kubwa kuliko zetu na misitu mikubwa kuliko yetu wakafyeka yote wakajenge viwanda na majiji hatukuwapigia kelele mbuga zetu tuko.huru.kufanya chochote tukitaka twaweza kula wanyama wote si Ni wa kwetu kwani wa kwao

Wao yawataki tuwe na umeme wa uhakikia ili tuwe tunakodi mitambo yao ya kutua umeme

Chadema hamko serious kwenye mambo mazito ya nchi you.like cheap stupid politics
 
Hii ni laana ya watumishi wa umma.
Hii miradi hata kama ingekamilika isingeleta tija kwa watanzania.
Huwezi kumjibu mtumishi majibu ya dharau kwa miaka 5 then ukategemea NEEMA.
Nchi nyingi zitaathirika kwa corona but zitasimama ila Tanzania itaanza upya kabisa.
Mkuu huu ndio upeo wako wa kudadavua mambo au unatania tu!
 
Wanaelewa kuwa mradi huu utaleta mabadiliko makubwa kimaendeleo sasa wanataka tuendelee kuwa omba omba kwao kwa kisingizio cha kijinga kabisa hicho.
Jaribu kuacha jaziba! Umeme utakaozalisha utawahusu vipi mpaka waone wivu? Unadhani umeme utakubadilisha kutoka kuwa nchi masikini kuwa nchi tajiri kama wao?

Mlisema GESI kuwa umasikini basi na itauzwa karibu na bei bure, kiko wapi? acha jaziba do analysis of issues in good perspective!

By the way, umewahi kwenda Norway or for that matter any of the countries in Western Europe? Kama umewahi kwenda huko huwezi kuandika hayo!
 
Ilà wazungu bwana, wao wanaharibu mazingira kila siku. Halafu wanatupangia jinsi ya kuishi katika mazingira yetu!
 
Ilà wazungu bwana, wao wanaharibu mazingira kila siku. Halafu wanatupangia jinsi ya kuishi katika mazingira yetu!
Mimi naangalia sehemu zote, ni kweli wao na viwanda wanaharibu mazingira, lkn viwanda vyao vinatufanya tuishi, tupate mlo! Kitu kidogo, kama siyo ARVs zao tungelikuwa wangapi Tanzania?

Zimetoka kwenye viwanda vyao ujue hili, vinavyochafua mazingira!
Bottoline, we have to balance issues! mazingira yawepo na viwanda viwepo....
 
Mimi naangalia sehemu zote, ni kweli wao na viwanda wanaharibu mazingira, lkn viwanda vyao vinatufanya tuishi, tupate mlo! Kitu kidogo, kama siyo ARVs zao tungelikuwa wangapi Tanzania? Zimetoka kwenye viwanda vyao ujue hili, vinavyochafua mazingira!
Bottoline, we have to balance issues! mazingira yawepo na viwanda viwepo....
Sisi tunahitaji umeme, tunahitaji sana na resources zote zipo kwetu na wala sio kwao. Kuna shida gani tukiwa na umeme wa kututosha, ilà ndio hivyo ukipewa msaada inabidi ukubali kudhalilishwa.
 
Tatizo labda Tanzania atujazoea siasa za pressure groups na lobbying.

Hila kwa wenzetu ni kawaida watu kama hao kuwepo. Ata kesho Chevron sijui Exxon mobil wakisema wanampango wa kwenda kufanya exploration Alaska watatokea the likes of Greenpeace, friends of the earth and all sorts of environmental groups kuandika barua congress why they should be stopped.

Ndio kama hao council of ethics ni taasisi yenye minajili ya wazimu wazimu tu kama Greenpiece kazi yao ni kutoa pressure; lakini aina maana watu wanasikiliza kila aina ya nonsense zao sana sana watajibiwa na environmental impact assessment ya project husika isitoshe inaonekana hata awaelewi this is a Tanzania government own funded project (at least what the government claims).
 
Hizi njama za mabeberu ni hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
Ywani hwawa mwabwebwelu wanwanwutowa jwashwo
IMG_20200511_162755.jpg
 
Ipo siku mabeberu yatamtaka mbuzi ainame na atenge vizuri yampande ili apewe msaada!!!!!!!Hakuna atakachofanikisha zaidi ya risasi zile za saa saba mchana ambazo hazikuzaa matunda!!
 
Chuki hupofusha macho na akili. Chuki huondoa ufaham na common sense
Mkataba ni kati yetu sisi na Elsewedy mkataba kati ya Elsewedy na wafadhili wake ambao mojawapo ni sweden sisi hautuhusu.
Ni wajibu wa Elsewedy kutafuta mfadhili mwingine ili wakamilishe mradi wetu tuwalipe chao.
Kama umewahi kujenga mradi wowote kwa kupitia kampuni utaelewa kuwa mkataba wa kampuni na wafadhili wake wewe haukuhusu.
Isitoshe mradi wa Stiglers unajengwa na kampuni mbili tanzu, iwapo Elsewedy watashindwa kupata mfadhili mradi utaendelea japo utachelewa kukamilika.
Naona wachangiaji wengi wamechangia kwa chuki kiasi cha kupofusha uwezo wao wa kupambanua mambo madogo kama haya.
Kufurahia kufeli kwa huu mradi ni upumbavu mkubwa kwasababu huu mradi sio JPM ni mradi wa Watanzania wote na vizazi vijavyo.

komesha korona
 
Mabeberu wameshafeli kwa huu mradi, sisi tunasonga mbele, hivi kwa akili ya kawaida tu, huu Mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere una occupy just less than 1% ya Selous Game Reserve yote na hata kidogo haitumii maji kukausha mto Rujifi, maji kutoka upstream yakizungusha Water Turbine yanaenda zake downstream ya mto, na hakuna hata nukta ya Wildlife kuadhiriwa wala environmental damage sbb assessment ilikamilika kabisa na hakuna madhara ya mazingira.
Sbb wamezoea tubakie ktk umaskini tusipate umeme wa kutosheleza hawa mabeberu majinga sana na kwa uwezo wa Mungu na Mh. Rais wetu hatetereki ni mwenye uelewa mkubwa na mradi utakamilika. Long pink nose wamekwama. Shit
 
Nyie acheni kuleta ushakunaku humu...Mtu anaandika maoni yake,hana nia mbaya na hajakutukana,unaanza kumporomoshea mitusi kisa hujapendezwa na maoni yake!! Kwan uliambiwa hii ni forum yenye mijadala na maoni ya kukufurahisha wewe? Au ungeanzisha yako boss.
Safi tu.
 
Back
Top Bottom