Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hili dhalimu liliojilockdown limetuletea laana nchiniNa wale waliotimuliwa kwa vyeti fake bila hata kifuta jasho maskini!!!!-- wengine wakapoteza maisha nk,
Loo, Mungu tunusuru TZ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili dhalimu liliojilockdown limetuletea laana nchiniNa wale waliotimuliwa kwa vyeti fake bila hata kifuta jasho maskini!!!!-- wengine wakapoteza maisha nk,
Loo, Mungu tunusuru TZ.
Hii ni habari mbaya kwa siku nyengine baada ya Sweden kusitisha ku fund kampuni ya Egypt, ambayo ndio walikua constructor wa mradi huu.
ElSewedy Electric Co
The Council on Ethics recommends that Elsewedy Electric Co be excluded from investment by the fund due to an unacceptable risk that the company is contributing to or is itself responsible for serious environmental damage
Elsewedy Electric is an Egyptian electrical power company and one of two partners in a joint venture which builds a dam and a hydroelectric power plant on the Rufiji River at Stiegler’s Gorge in Tanzania.
The entire project is located inside the Selous Game Reserve, which has been included on UNESCO’s list of World Heritage Sites in Danger. The reserve is also one of the last remaining large-scale wilderness areas in Africa and considered of extraordinary importance for the preservation of biodiversity. The hydroelectric power plant will cause widespread and irreversible damage to the world heritage site’s outstanding universal values. Mitigating measures would have little impact on this outcome.
The Council on Ethics submitted its recommendation 2 July 2019. Norges Bank published its decision to exclude the company on 12 May 2020.
ElSewedy Electric Co - Council on Ethics
Hatutaki wawekezaji makanjanja wazawa wasiolopa kodi.Kama wafanyakazi wanalipa kodi hao wafanyabiashara wakubwa kwanini wasilipwe kodi halali?Yaani hiyo 60% iliyotengwa ni mwaka 2020/21 na utazidi kutengwa kila mwaka. Rest assured Tanzania kwanza haina uwezo wa kufund miradi mikubwa kama hii kwa makusanyo ya ndani. Uchumi wa Tanzania unasinyaa mwaka hadi mwaka toka Magufuli amekuja madarakani. Alipokea nchi wakati growth rate ilikuwa 7% na uchumi umekuwa unakuwa kila mwaka mfululizo kuanzia mwaka 2004. Lakini sasa uchumi unakuwa kwa 4,2%, sekta binafsi ni Magufuli mwenyewe anaipiga vita (Yusuf Manji, Mo Dewji, Ali Mufuruki (RIP), Salum Shamte (RIP), Peter Zakaria, etc, wawekezanji wa nje wanapata harassment ya kutisha (Halotel, Vodacom), mtaji mpya hauji nchini toka aje Dangote mwaka 2014, wananchi wanzidi kuwa maskini, biashara zisizo rasmi nazo zinabanwa na TRA.
Ni ndoto STIGLERS' Gorge Electric Power kukamilika mwaka 2023 kama walivyokuwa wanasema. Magufuli atafikisha miaka 10 (kama atashinda uchaguzi) na mradi utakuwa haujafika hata 35%. Sintoshangaa atakayekuja kmbadili Magufuli hata kama atatoka CCM ku-abandon mradi wa umeme wa Stiglers for good kama Magufuli mwenyewe alivyo abandon umeme wa gas au bandari ya Bagamoyo kwa maneno ya kejeli na ufedhuli kwa mtangulizi wake JK.
Serikali yao inaweza kuwatengea vijisenti vya kujikimu.Wee pumbavu hauna akili kabisa..nani atakubali kuwakopesha hiyo kampuni ya Egypt inayojenga mradi unaoharibu mazingira na Earth Heritage?? UNESCO walisha declare kwamba ujenzi wa hilo bwawa unakwenda kuharibu Mazingira ya eneo husika ila Meko ameshupaza shingo ngoja ataimba kisukuma sasa..
Kwa kweli nakubaliKama hali ingekuwa ni ya kawaida, hapa tungesimama na rais wetu kuwapinga kwa nguvu zote hawa watu.
Lakini hali ya nchi yetu siyo ya kawaida kabisa.
Inaudhi sana mtu toka nje kuja kukuamlia mambo ya kufanya nyumani kwako kwa manufa ya wananchi wako. Huu ni upuuzi usiokubalika.
Sasa inabidi baadhi ya wananchi wetu washangilie maamuzi kama haya, kwa sababu tofauti kabisa na ya hao mabeberu.
Umeongea kitu cha maana sana, sidhani kama wengi wamenyaka. Inawezekana huo ndiyo mpango mzima wa covid-19, kuzifilisi nchi za Afrika.Hii Covd -19 Tumwombeni Tu Mungu anusuru chumi zetu, kwa majirani zetu wanaotuzunguka kama Hali hii, ikiendelea na mabeberu kama hayatafuta madeni Africa, basi nchi moja baada ya nyinge zitafirisiwa kabisa, deni la nchi jirani linafikia 60% ya pato lote la nchi, na bado Hali ni mbaya na bado tena mabeberu yametoa mwanya Kwa nchi za Africa kukopa ili zijisaidie kudhibiti Hali ya maambukizi na nchi hiyo inachukua tena huo mkopo
Sasa shirika la fedha duniani IMF limeinyoshea kidole hiyo nchi Kwa kuionys
Kama ndio hivyo kunahatari ya Mabeberu kuja kuanza kujilipa au kuzikalia nchi zetu kama enzi hizooo!!!, Isee Mungu ainusuru Africa
Forget about this WHITE ELEPHANT. Hapo tumewatahirisha waarabu tu. Toka lini Kampuni ya Ujenzi ya Miradi mikubwa kama hii inatoka EGYPT.Sasa ndio nimejua kiwango cha maarifa yako kichwani. Wewe ni mweupee! Sasa ngoja nikufahamishe. Ile project inahitaji trillion shs 7 ! Bajet ya Wizara haizidi hata trillion 1.sasa asilimia 60 ni bilioni kama 400 tu. Bado unadhati mradi utaendelea? UMEKUFA KIFO CHA MENDE!! Full stop.
Hata wendawazimu huota NDOTO. Asante kwa ndoto yenuHatutaki wawekezaji makanjanja wazawa wasiolopa kodi.Kama wafanyakazi wanalipa kodi hao wafanyabiashara wakubwa kwanini wasilipwe kodi halali?
Huu mradi tunaujenga na tutaumaliza na watashangaa na kumkubali Magu
Kiukweli lazima tuwe wamoja kwenye issue ya hii project ,hawa beberu wanajua kupitia mradi huu tutapunguza utegemezi toka kwaoNimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia
Hawa wajinga wanataka tusipate umeme Tuendelee kukaa kwenye giza kwa kisingizio cha urithi wa Dunia ?
I hate these P..igs
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Kwa nini sasa? Kuna nchi zimekasirika sana kuona sisi hatujaathirika kiuchumi kutokana na corona maana mkuu alisema hakuna lockdown!! Wakati wao wameathirika sana bsada ya kufanya lockdown kichwa kichwa!! Naona njia imetafutwa angalau na sisi mipango yetu ya uchumi itikisike!Sidhani kama shida ni corona, wao wamesema mradi una haribu mazingira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia
Hawa wajinga wanataka tusipate umeme Tuendelee kukaa kwenye giza kwa kisingizio cha urithi wa Dunia ?
I hate these P..igs
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Dr Slaa fanya kazi yako huko. Au tufunge ubalozi kwani hizo ni hujuma mbaya kabisaKumekucha kumekucha
Dr Slaa fanya kazi yako huko. Au tufunge ubalozi kwani hizo ni hujuma mbaya kabisa
Ni kweli serikali ipo Dodoma? Mbona yeye hajahamia bado? Hizo siasa tuMwalimu alisema habari ya kuhamia dodoma akashindwa,huyu ameweza
yapo mengi yanayoonyesha jamaa amefanya kazi,ila tuendelee
kuvaa miwani ya mbao,atasifiwa na watoto wetu baada ya sisi kufa.
Endelea kusifu na kuabuduHuu mradi utaenda mpaka mwisho hakuna namna , vikwazo ni sehemu ya maisha , hata utajiri hauji umenyooka ,maana hakuna fedha rahisi Munguatatubariki natutafika kwenye maisha mema na matamu.