Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Mleta mada unaposema nje unamaanisha kuwa hakuna sehemu yeyote hio kampuni ya Egypt itaweza kupata pesa wakati hio recommendsyio imetolewa na taasisi moja tu ya fedha ya nchini Sweden

Pili, ulitakuwa kutafiti na kujua iwapo hio kampuni ya Egypt imeomba mkopo kutoka hio taasisi ya fedha ya Sweden.

Kwa mfano mapendekezo ya Council of Ethics yaliwasilishwa mwezi July mwaka 2019 na uamuzi wa kukubali kutofanyakazi na hio kampuni umetolewa juzi (12/05/2020). Ulitakiwa kujiuliza kama wangekuwa wanategemea kukopa huko ni mwaka sasa umepita mbona mradi haujasimama na tayari unakaribia kukamilika?

Kumbuka kuwa kuna tofauti ya kunyima mtu kitu na kudhamiria kumnyima mtu kitu siku atakapokuja kuniomba. Sasa kilichofanyika ni hicho cha pili, yaani siku hio kampuni ya Egypt itakapo kwenda kuomba mkopo toka ktk hio taasisi ya fedha ya Sweden then wataweza kunyimwa kutokana na hizo sababu.

Now, mleta mada alitakiwa kuchunguza kama kwa sasa hio kampuni ya Egypt inategemea pesa watskazokopa kutoka kwa hio taasisi ya Sweden ktk kukamilisha miradi yake?

Waarabu huwa wanazo sources nyingi za kupata fedha, sidhani kama kampuni ya kiarabu inaweza kuweka mayai yake ktk kikapu kimoja ili kuendesha shughuli zake.

Lastly, ni miezi 2 iliopita tu hio taasisi ya Sweden pamoja na taasisi nyingine kadhaa za kutoka Norway kupitia Standard Chartered bank wametoa mkopo wa kuendeleza ujenzi wa SGR lot 3, Makutupora to Tabora...
Hii ni habari mbaya kwa siku nyengine baada ya Sweden kusitisha ku fund kampuni ya Egypt, ambayo ndio walikua constructor wa mradi huu.

ElSewedy Electric Co

The Council on Ethics recommends that Elsewedy Electric Co be excluded from investment by the fund due to an unacceptable risk that the company is contributing to or is itself responsible for serious environmental damage
Elsewedy Electric is an Egyptian electrical power company and one of two partners in a joint venture which builds a dam and a hydroelectric power plant on the Rufiji River at Stiegler’s Gorge in Tanzania.

The entire project is located inside the Selous Game Reserve, which has been included on UNESCO’s list of World Heritage Sites in Danger. The reserve is also one of the last remaining large-scale wilderness areas in Africa and considered of extraordinary importance for the preservation of biodiversity. The hydroelectric power plant will cause widespread and irreversible damage to the world heritage site’s outstanding universal values. Mitigating measures would have little impact on this outcome.

The Council on Ethics submitted its recommendation 2 July 2019. Norges Bank published its decision to exclude the company on 12 May 2020.


ElSewedy Electric Co - Council on Ethics


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hiyo 60% iliyotengwa ni mwaka 2020/21 na utazidi kutengwa kila mwaka. Rest assured Tanzania kwanza haina uwezo wa kufund miradi mikubwa kama hii kwa makusanyo ya ndani. Uchumi wa Tanzania unasinyaa mwaka hadi mwaka toka Magufuli amekuja madarakani. Alipokea nchi wakati growth rate ilikuwa 7% na uchumi umekuwa unakuwa kila mwaka mfululizo kuanzia mwaka 2004. Lakini sasa uchumi unakuwa kwa 4,2%, sekta binafsi ni Magufuli mwenyewe anaipiga vita (Yusuf Manji, Mo Dewji, Ali Mufuruki (RIP), Salum Shamte (RIP), Peter Zakaria, etc, wawekezanji wa nje wanapata harassment ya kutisha (Halotel, Vodacom), mtaji mpya hauji nchini toka aje Dangote mwaka 2014, wananchi wanzidi kuwa maskini, biashara zisizo rasmi nazo zinabanwa na TRA.

Ni ndoto STIGLERS' Gorge Electric Power kukamilika mwaka 2023 kama walivyokuwa wanasema. Magufuli atafikisha miaka 10 (kama atashinda uchaguzi) na mradi utakuwa haujafika hata 35%. Sintoshangaa atakayekuja kmbadili Magufuli hata kama atatoka CCM ku-abandon mradi wa umeme wa Stiglers for good kama Magufuli mwenyewe alivyo abandon umeme wa gas au bandari ya Bagamoyo kwa maneno ya kejeli na ufedhuli kwa mtangulizi wake JK.
Hatutaki wawekezaji makanjanja wazawa wasiolopa kodi.Kama wafanyakazi wanalipa kodi hao wafanyabiashara wakubwa kwanini wasilipwe kodi halali?
Huu mradi tunaujenga na tutaumaliza na watashangaa na kumkubali Magu
 
Wee pumbavu hauna akili kabisa..nani atakubali kuwakopesha hiyo kampuni ya Egypt inayojenga mradi unaoharibu mazingira na Earth Heritage?? UNESCO walisha declare kwamba ujenzi wa hilo bwawa unakwenda kuharibu Mazingira ya eneo husika ila Meko ameshupaza shingo ngoja ataimba kisukuma sasa..
Serikali yao inaweza kuwatengea vijisenti vya kujikimu.
 
Kama hali ingekuwa ni ya kawaida, hapa tungesimama na rais wetu kuwapinga kwa nguvu zote hawa watu.

Lakini hali ya nchi yetu siyo ya kawaida kabisa.

Inaudhi sana mtu toka nje kuja kukuamlia mambo ya kufanya nyumani kwako kwa manufa ya wananchi wako. Huu ni upuuzi usiokubalika.

Sasa inabidi baadhi ya wananchi wetu washangilie maamuzi kama haya, kwa sababu tofauti kabisa na ya hao mabeberu.
Kwa kweli nakubali
 
Hii Covd -19 Tumwombeni Tu Mungu anusuru chumi zetu, kwa majirani zetu wanaotuzunguka kama Hali hii, ikiendelea na mabeberu kama hayatafuta madeni Africa, basi nchi moja baada ya nyinge zitafirisiwa kabisa, deni la nchi jirani linafikia 60% ya pato lote la nchi, na bado Hali ni mbaya na bado tena mabeberu yametoa mwanya Kwa nchi za Africa kukopa ili zijisaidie kudhibiti Hali ya maambukizi na nchi hiyo inachukua tena huo mkopo

Sasa shirika la fedha duniani IMF limeinyoshea kidole hiyo nchi Kwa kuionys

Kama ndio hivyo kunahatari ya Mabeberu kuja kuanza kujilipa au kuzikalia nchi zetu kama enzi hizooo!!!, Isee Mungu ainusuru Africa
Umeongea kitu cha maana sana, sidhani kama wengi wamenyaka. Inawezekana huo ndiyo mpango mzima wa covid-19, kuzifilisi nchi za Afrika.
 
Sasa ndio nimejua kiwango cha maarifa yako kichwani. Wewe ni mweupee! Sasa ngoja nikufahamishe. Ile project inahitaji trillion shs 7 ! Bajet ya Wizara haizidi hata trillion 1.sasa asilimia 60 ni bilioni kama 400 tu. Bado unadhati mradi utaendelea? UMEKUFA KIFO CHA MENDE!! Full stop.
Forget about this WHITE ELEPHANT. Hapo tumewatahirisha waarabu tu. Toka lini Kampuni ya Ujenzi ya Miradi mikubwa kama hii inatoka EGYPT.

Hapa Africa ni South Africa tu ndiyo iko kwenye G25. Egypt pamoja kuwa na uchumi inategemea tourism na navigation pale Suez Canal ni nchi maskini.

Niliposikia Arab Contractors wameahinda zabuni ya ujenzi wa Stiglers Gorge nikajua huo ni UTOPOLO tu
 
Hatutaki wawekezaji makanjanja wazawa wasiolopa kodi.Kama wafanyakazi wanalipa kodi hao wafanyabiashara wakubwa kwanini wasilipwe kodi halali?
Huu mradi tunaujenga na tutaumaliza na watashangaa na kumkubali Magu
Hata wendawazimu huota NDOTO. Asante kwa ndoto yenu
 
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi

Sioni mradi ukiathirikia


Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia

Hawa wajinga wanataka tusipate umeme Tuendelee kukaa kwenye giza kwa kisingizio cha urithi wa Dunia ?

I hate these P..igs

Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Kiukweli lazima tuwe wamoja kwenye issue ya hii project ,hawa beberu wanajua kupitia mradi huu tutapunguza utegemezi toka kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama shida ni corona, wao wamesema mradi una haribu mazingira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini sasa? Kuna nchi zimekasirika sana kuona sisi hatujaathirika kiuchumi kutokana na corona maana mkuu alisema hakuna lockdown!! Wakati wao wameathirika sana bsada ya kufanya lockdown kichwa kichwa!! Naona njia imetafutwa angalau na sisi mipango yetu ya uchumi itikisike!
Halafu mradi huu ni mradi wa ukombozi Sana kiuchumi!!
Ila wameechelewa!! Mradi uko kwenye nusu ya pili!!
 
Halafu mabeberu wasichojua ni kwamba Mungu akikubariki unabarikiwa!! bila kujali wengine wanajitahidi vipi kuweka kauzibe! Wao wamekazania kutukuza LGBT hata hawana habari kuwa Mungu anawaadhibu!!
 
Mbona PM leo ametembelea sehemu ya mradi na amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa mradi na utakamilika kabla ya muda uliopangwa
 
Naona haya madume ya mbuzi baada ya kutibuliwa HE JPM yanaanza kuonyesha rangi zao halisi
Haya majinga yanadhani Africa ni shambani kwao na ndivo yanawafundisha darasani watoto wao.

Natamani afrika yote iungane na tupate viongozi smart.
 
Kama Wizara imetenga 60% ya bajeti, kwa nini unashauri Kampuni iende kwa Nchi rafiki? Hiyo 60% haitoshi?
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi

Sioni mradi ukiathirikia


Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia

Hawa wajinga wanataka tusipate umeme Tuendelee kukaa kwenye giza kwa kisingizio cha urithi wa Dunia ?

I hate these P..igs

Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu alisema habari ya kuhamia dodoma akashindwa,huyu ameweza
yapo mengi yanayoonyesha jamaa amefanya kazi,ila tuendelee
kuvaa miwani ya mbao,atasifiwa na watoto wetu baada ya sisi kufa.
Ni kweli serikali ipo Dodoma? Mbona yeye hajahamia bado? Hizo siasa tu
 
Huu mradi utaenda mpaka mwisho hakuna namna , vikwazo ni sehemu ya maisha , hata utajiri hauji umenyooka ,maana hakuna fedha rahisi Munguatatubariki natutafika kwenye maisha mema na matamu.
Endelea kusifu na kuabudu
 
Back
Top Bottom