Tetesi: Kampuni ya Indiana Mining imesema haitasita kukamata ndege za Tanzania kama haitalipwa madai yao

Mabadiliko yoyote ya Sheria huwa na tathmini ya athari na gharama(hasi na chanya) zake kwa taifa.

Inasikitisha sana namna nchi tunavyopata hasara kwa maamuzi yetu wenyewe. Hii sijui ni fidia ya ngapi tutalipa na wanaoumia ni wananchi kutwishwa mzigo mkubwa wa kodi na tozo. Kwa kweli halikubaliki
 
Mkuu hao wengine waliogoma wako wangapi, je wemefungua pia kesi za madai?
 
Hakika nimekuelewa kwa asilimia 100. Tatizo la bwana yule alikuwa jack of all trades, in short baba haambiliki. Mr know all. Sasa kuna wapuuzi watakuja kusema sijui kuna madalali ina maana hao waliopata hasara kwa upuuzi wa bwana yule wasidai pesa zao ? Je wasiweke madalali kufuatilia fidia zao?

The international law on investments ipo wazi sana, if unataka kufanya appropriation ya mali za investor basi lazima ufanye prompt/compensation, failure to which may result into payment of damages and other costs accruing from the same act of appropriation.

Hapa swali la msingi ni kujiuluza kwamba ukiacha huyo aliyetangulia kwenye haki je hawa waliobaki ambao walishauri akina Kabudi na wenzie bado wapo tu? Kwa nini hawawajibishwi kwa kutoa ushauri mbovu namna ile na kuliingiza taifa hasara kubwa namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…