Khadija Mtalame
Senior Member
- Jul 14, 2021
- 185
- 715
Wale wazee wa kubet, msitumie tena kampuni hii, ipo hivi;
Unaweka mkeka pesa inakubali. Ukila mkeka pesa haitoki. Wanakupa jibu wapo kwenye matengenezo. Ila kuweka pesa na kubeti wanapokea.
#Ukitaka kutoa wanakujibu huwezi kutoa, labda uende Dar kwenye ofisi ya michongo ambazo hazipo.
Wale wenzangu wa kubet, kampuni hii haifai ni wezi na government mliangalie hili. Kwa kuwa mmeamua kufanya hii nchi tutegemee kamali basi, kampuni hii iondoeni pia ni wezi wakubwa.
Wanataka uichezee iishe, kama hamtoi pesa mtu akishinda, kwanini mkubali mtu kuweka pesa online?
wazee wa kubet (wahanga wenzangu mie dada yenu), tafadhali kaeni mbali na hiyo kampuni, wanaibia wateja na ni wezi wakubwa.