Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Tanzania Kampuni ni Sportpesa tu Hana mpinzaniWale wazee wa kubet, msitumie tena kampuni hii, ipo hivi;
Unaweka mkeka pesa inakubali. Ukila mkeka pesa haitoki. Wanakupa jibu wapo kwenye matengenezo. Ila kuweka pesa na kubeti wanapokea.
#Ukitaka kutoa wanakujibu huwezi kutoa, labda uende Dar kwenye ofisi ya michongo ambazo hazipo.
Wale wenzangu wa kubet, kampuni hii haifai ni wezi na government mliangalie hili. Kwa kuwa mmeamua kufanya hii nchi tutegemee kamali basi, kampuni hii iondoeni pia ni wezi wakubwa.
Wanataka uichezee iishe, kama hamtoi pesa mtu akishinda, kwanini mkubali mtu kuweka pesa online?
wazee wa kubet (wahanga wenzangu mie dada yenu), tafadhali kaeni mbali na hiyo kampuni, wanaibia wateja na ni wezi wakubwa.
ht meridian, ndio mkongwe hp nchiniKwa Tanzania Kampuni ni Sportpesa tu Hana mpinzani
Sasa mtu kala 6mil mzembe akijichanganya si anaolewa huko 😄Ila sahivi maisha mchaka mchaka Hadi wakina khadija mnabeti.. walahi 2030 wanaume watatuoa hawa wadada..😂
Tena yamkeka..😂Sasa mtu kala 6mil mzembe akijichanganya si anaolewa huko 😄
Mwanaume ananyoosha miguu na kukubali kila anachoambiwa 😄Tena yamkeka..😂
Kuna kampuni za kubeti zikiwa na wadada wengi zitabadilishwa na kuwa upatu..😂Kina Khadija wanabet alafu kina Juma wanajiunga na vikoba.
Wale wazee wa kubet, msitumie tena kampuni hii, ipo hivi;
Unaweka mkeka pesa inakubali. Ukila mkeka pesa haitoki. Wanakupa jibu wapo kwenye matengenezo. Ila kuweka pesa na kubeti wanapokea.
#Ukitaka kutoa wanakujibu huwezi kutoa, labda uende Dar kwenye ofisi ya michongo ambazo hazipo.
Wale wenzangu wa kubet, kampuni hii haifai ni wezi na government mliangalie hili. Kwa kuwa mmeamua kufanya hii nchi tutegemee kamali basi, kampuni hii iondoeni pia ni wezi wakubwa.
Wanataka uichezee iishe, kama hamtoi pesa mtu akishinda, kwanini mkubali mtu kuweka pesa online?
wazee wa kubet (wahanga wenzangu mie dada yenu), tafadhali kaeni mbali na hiyo kampuni, wanaibia wateja na ni wezi wakubwa.
Hata BetPawa mzee, haizingui, sekunde tu mshiko unaingiaKampuni ya kubet online ni sportpesa tu achaneni kampuni za vichochoroni, sportpesa hata mechi ikiisha tu na pesa zinaingia muda huo huo na unatoa..
Na pia jackpot yao mechi ya mwisho ikiisha tu kama umeishinda muda huo huo pesa inaingia
hahahahhaNimekuja na themosi kabisa. Chai muhimu.
Mkuu nifundishe na mm nijue hii kamali. Uliweka kiasi Gani mpka ukadaka hii laki4??pole dada
mie pia nimekuwa naitumia kwa muda mrefu, ila wiki iliyopita yote nimewin kama laki4, haitoki nimeamua kuimalizia humo humo.
wanaonekana ni wezi kweli, nimefunga hiyo acc.
Kampuni ya Pigabet kwa sasa tunashughulikia suala la kutoa fedha kupitia mitandao ya simu.Wale wazee wa kubet, msitumie tena kampuni hii, ipo hivi;
Unaweka mkeka pesa inakubali. Ukila mkeka pesa haitoki. Wanakupa jibu wapo kwenye matengenezo. Ila kuweka pesa na kubeti wanapokea.
#Ukitaka kutoa wanakujibu huwezi kutoa, labda uende Dar kwenye ofisi ya michongo ambazo hazipo.
Wale wenzangu wa kubet, kampuni hii haifai ni wezi na government mliangalie hili. Kwa kuwa mmeamua kufanya hii nchi tutegemee kamali basi, kampuni hii iondoeni pia ni wezi wakubwa.
Wanataka uichezee iishe, kama hamtoi pesa mtu akishinda, kwanini mkubali mtu kuweka pesa online?
wazee wa kubet (wahanga wenzangu mie dada yenu), tafadhali kaeni mbali na hiyo kampuni, wanaibia wateja na ni wezi wakubwa.
Piga bet number 1Kampuni ya Pigabet kwa sasa tunashughulikia suala la kutoa fedha kupitia mitandao ya simu.
Utoaji wa fedha bado unaendelea kwa wateja wetu kupitia mfumo wa fedha taslimu kwenye kasino zetu yaani Palm beach pia Legrande zilizoko Dar es salaam,tunaomba radhi kwa changamoto hii.
Utoaji wa fedha kwa njia ya mitandao utarudi hivi karibuni
Tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa namba +255 620 818181 ni furaha yetu kukuhudumia.