Hao kazi yao ni kukusanya zile 10% tu za Tax Withdraw hakuna kazi nyingine waliyonayo, akienda uko atapigwa dana dana tuNenda hapa ukatoe malalamiko yako,
GBT | Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania - HOME
Bora ajaribu wakimzingua anaachana nao tu.Hao kazi yao ni kukusanya zile 10% tu za Tax Withdraw hakuna kazi nyingine waliyonayo, akienda uko atapigwa dana dana tu
600,000×0.1 = 60,000 inamaana wao wapambanie 60,000?
Hawatamsaidia kitu hao kazi yao kuokoteza zile 10% ndio ugali wao, sisi tunabet wao wanakaa pembeni tukishinda wanachukua 10% ambazo hawajazisumbukia chochote na ukidhulumiwa hawakusaidii kitu sana sana utaambiwa nenda Mahakamani, ndio maana wengi wanapotezea tuBora ajaribu wakimzingua anaachana nao tu.
Kwann unasema kidogo betpawa, unanitisha maana nimeanza kubet kwao ss hv baada ya kuona wana option nyingiKampuni za uhakika n m-bet, sports pesa, kidogo bet pawa
Acha kumpoteza akienda huko hata masaa 24 hayaishi anapata haki yakeHawatamsaidia kitu hao kazi yao kuokoteza zile 10% ndio ugali wao, sisi tunabet wao wanakaa pembeni tukishinda wanachukua 10% ambazo hawajazisumbukia chochote na ukidhulumiwa hawakusaidii kitu sana sana utaambiwa nenda Mahakamani, ndio maana wengi wanapotezea tu
View attachment 2410797
Sio kweli,Acha kumpoteza akienda huko hata masaa 24 hayaishi anapata haki yake
Nimeshaelezeaa soma tena postHow? Hebu elezea mkuu
NishawekaWeka mkeka na namba zao tuwapigie fast
NitaendaaTanzania gaming board ipo kawadai mkuu
Shida ya mfumo inahusiana vipi na haki yangu, kwanimimi nahusika na mifumo yaooKwa Bayern kua mbele kwa goli 3-0 dak ya 26 na bado kua na odds ya 1.47 ni wazi kulikua na shida kwenye mfumo huenda ndio maana hili limetokea