Kampuni ya kubet TZ (Pigabet) ni wezi wakubwa, nimekula mkeka mil. 6 online, haitoki eti kuna shida ya mtandao siku ya 10 leo

Kampuni ya kubet TZ (Pigabet) ni wezi wakubwa, nimekula mkeka mil. 6 online, haitoki eti kuna shida ya mtandao siku ya 10 leo

Bora ajaribu wakimzingua anaachana nao tu.
Hawatamsaidia kitu hao kazi yao kuokoteza zile 10% ndio ugali wao, sisi tunabet wao wanakaa pembeni tukishinda wanachukua 10% ambazo hawajazisumbukia chochote na ukidhulumiwa hawakusaidii kitu sana sana utaambiwa nenda Mahakamani, ndio maana wengi wanapotezea tu

Screenshot_20221108-221605.png
 
Sportpesa kwenye kuweka na kutoa hela ni fasta sana hata ushinde kiasi gani mpunga wako wanaweka fasta kwenye akaunti yako na unatoa.
 
Hawatamsaidia kitu hao kazi yao kuokoteza zile 10% ndio ugali wao, sisi tunabet wao wanakaa pembeni tukishinda wanachukua 10% ambazo hawajazisumbukia chochote na ukidhulumiwa hawakusaidii kitu sana sana utaambiwa nenda Mahakamani, ndio maana wengi wanapotezea tu

View attachment 2410797
Acha kumpoteza akienda huko hata masaa 24 hayaishi anapata haki yake
 
Zaleo meridianbet bet ni wezi wamenizulumu 42300 Tshs Leo tarehe moja mwezi wa nne 2023 nilibet live betting kwenye meridianbet app kuwa Bayern ashinde ilikuwa dakika ya 26 na Bayern alikuwa anaongoza tatu bila na odd ilikuwa 1.47 nikaweka stake 100,000. Baada ya kodi ikaja 142,300.

Baadaya ya mechi kuishi hawajanilipa hela yangu ila wamenirudishia Ile stake 100,000 niliyobetia nimeambatanisha picha.

Screenshot_20230401-202805.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230401-221312.jpg
    Screenshot_20230401-221312.jpg
    41.1 KB · Views: 12
Hiyo hutokea mara kibao tu. Si kwa Meridian, makampuni mengi tu..

Na ukisoma hata kwenye T&C 3.3 wameeleza hilo la bet kuwa cancelled ama Void
 
Hiyo ndiyo shidah ya live bet kukupiga na kitu kizito ni dk 0 tu hapo uhuuni tu wamekufanyia maswala ya system Hayakuhusu
 
Back
Top Bottom