#COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

Kampuni ya Mordena iliyokuwa inafanya utafiti wa chanjo ya Ukimwi kwa muda mrefu leo inaanza kufanyia majaribio chanjo hiyo.

Source: East Africa Radio
 

Likely, Paranoid.
Mwisho utakikimbia na kivuli chako. Mtu ambaye hata kukwepa bidhaa za Azam tu ni shida, lakini tunarukaruka weee.
 
Kuna taarifa kwenye vyombo mbalimbali vya habari vinavyoripoti ujio wa chanjo ya UKIMWI

Habari hizo zinaripoti kuwa chanjo hiyo itaanza kufanyiwa majairibio hivi karibuni kama wanavyoainisha wakiwemo na wale wapigia chapuo chanjo ya uviko

Sasa mimi binafsi nimejiuliza je HIYO SIO CHANJO YA COVID19 KWELI AMBAPO WAMEAMUA KUBADILISHIA GIA ANGANI???
kwa kutambua kuwa kwa njia hiyo jamii hasa za kiafrika itakuwa rahisi kuipokea kwa kuaminishwa kua ni chanjo ya UKIMWI

je nini kinaendelea juu ya hili.., ???
Mjadala uanze
 
Sasa hauoni kuwa wataua watu sana kwa UKIMWI kuliko Covid 19?? Maana mtu akishachanjwa ni mwendo wa kujiachia!
 
Punbavu kabisaaa
 
Hii chanjo ni Kwa ajili ya wale ambao bado hawajaathirika pekee ama na Waathirika itawatibu pia?
 
Watu hatujakataa chanjo ila tumekataa kufanywa mbuzi wa majaribio ugonjwa wao ndo unawaathiri zaidi halafu wanatulazimishwa sisi tuwe wakwanza kupata hyo chanjo fake nasimama na gwajima.
 
Watu hatujakataa chanjo ila tumekataa kufanywa mbuzi wa majaribio ugonjwa wao ndo unawaathiri zaidi halafu wanatulazimishwa sisi tuwe wakwanza kupata hyo chanjo fake nasimama na gwajima.
Gwaji mwenzio kama tayari hajapatasijui,wewe kubali kuchuuzwa tu, zaidi ukiugua atakuambia njoo nikuponye.zaidi uje pamoja na malisho ya mchunga kondoo.
 
Likely, Paranoid.
Mwisho utakikimbia na kivuli chako. Mtu ambaye hata kukwepa bidhaa za Azam tu ni shida, lakini tunarukaruka weee.
Ahaa ndo mnavyotumwa, siyo? tunajua sana hila zozote mnazotaka kufanya. By the grace of God the Almighty we are far ahead than you think, there is no secret whatsoever....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…