#COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

#COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

Chanjo ya ukimwi athari na faida zake....
1-Inakwenda kuua biashara ya ARV.
2-Inakwenda kuua biashara ya mipira... watu hawaogopi gono.. na std zingine kama hiv...
3-Biashara ya uchangu inakwenda kuchangamka... wateja watakuwa wengi... demand ikipanda lazima price ipande...
4-Tutegemee ongezeko maradufu la mimba zisizotarajiwa...(ongezeko la population tokana na ngono zembe)
Ongezea .....
 
Kwani na yenyewe mwendazake aliitilia mashaka? Shida ya hi ya corona, tuweni tu wa kweli, wataalamu wetu walichangia sana kuhusu haya mashaka ambayo kina Gwajima wanayasema sasa hivi, wanataka tu kumuangushia jumba bovu Gwajima but ukweli ni kwamba haya mambo yameanzia wizarani na Ikulu, wasitufanye wajinga. Wamefanya interview TBC, Wasafi na hata youtubes, kote huko clips zao zipo, leo wanataka kumlaumu askofu wa Ubungo? Watutake radhi kabisa

yaani unawaza ikulu wakati watu uku wanaambiwa unapewa posho $100 ukichanjwa
 
Chanjo ya ukimwi athari na faida zake....
1-Inakwenda kuua biashara ya ARV.
2-Inakwenda kuua biashara ya mipira... watu hawaogopi gono.. na std zingine kama hiv...
3-Biashara ya uchangu inakwenda kuchangamka... wateja watakuwa wengi... demand ikipanda lazima price ipande...
4-Tutegemee ongezeko maradufu la mimba zisizotarajiwa...(ongezeko la population tokana na ngono zembe)
Ongezea .....

daaah bora iendelee tu kuwepo kwa kwel 😂
 
Kwa 99.9% ni kwa njia ya ngono. Sasa hiyo 0.1% nitaomba Mungu aniepushie.
Una uhakuka hutafanya ngono for life?

Tumia hesabu hii ndogo. Kama utafanya ngono na mtu yeyote, hata kama ni mkeo, hata ukiwa mwaminifu kwa asilimia 100, kuna 50% za huyo mwenzako. Hivyo, kuna 50% chance inayobakia ukiondoa huo uaminifu wako.
 
Chanjo ya ukimwi athari na faida zake....
1-Inakwenda kuua biashara ya ARV.
2-Inakwenda kuua biashara ya mipira... watu hawaogopi gono.. na std zingine kama hiv...
3-Biashara ya uchangu inakwenda kuchangamka... wateja watakuwa wengi... demand ikipanda lazima price ipande...
4-Tutegemee ongezeko maradufu la mimba zisizotarajiwa...(ongezeko la population tokana na ngono zembe)
Ongezea .....
Umenifungua akili, Covid19 ilikuja kuondoa ukimwi
 
Chanjo ya Virusi vya Ukimwi (VVU) iliyokuwa ikifanyiwa utafiti kwa muda mrefu na Kampuni ya Moderna ya nchini Marekani inatarajiwa kuanza kufanyiwa majaribio kwa binadamu hii leo.

#DARMPYABLOGUPDATES https://t.co/FxlZnapzvN

IMG_20210818_123342.jpg
 
Chanjo ya Virusi vya Ukimwi (VVU) iliyokuwa ikifanyiwa utafiti kwa muda mrefu na Kampuni ya Moderna ya nchini Marekani inatarajiwa kuanza kufanyiwa majaribio kwa binadamu hii leo.
#DARMPYABLOGUPDATES https://t.co/FxlZnapzvNView attachment 1896782
Ikitangazwa kuwa inakinga sawasawa,hata wakisema kuchanja laki moja,baada ya wiki moja watanzania wengi watakuwa wamechanjwa.
Mapadre,wachungaji masheikh hawakosi,Ngwajima atakuwa was kwanza

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Lazima tugombane kwenye folen kudadadek!!!!

Ila pole sana kwa walioukwaa tayar:
 
[emoji1369]Humo wakiweka chanjo ya COVID - 19 wakasema wanaotaka "Kuchanjwa" au wa "LA" wajitokeze hata kwa hela watakaokuwa wengi sio wa "LA..!!" bali ninwa kinyume chake....[emoji1787][emoji2097][emoji2097][emoji2097][emoji2097][emoji2097][emoji91][emoji91][emoji91][emoji382][emoji382][emoji382]

Sasa jwa jinsi ninavyowajua wazungu tayari wameshafanya utafiti wao na kubaini kwamba ukitaka WAAFRIKA wachanjwe COVID kqa uwingi tuwaambie ni chanjo ya UKIMWI....!!![emoji1787][emoji1787][emoji2097][emoji2097]Ndo maana hata hata kwebye page za WIZARA YA KILIMO wanawasifia madenu weusi wa Rasta kumbe mmmmmmmmmh....!!!!
 
Back
Top Bottom