Kampuni ya Mabasi ya Abood Bus Service Limited imezindua mabasi ya VIP

Anavamia ligi eeh,, hii ya Katarama na Ally's ni Bundesliga kama atakubali kuwa Schalke 04 mbele ya Bayern Munich na Dortmund sawa,,

Halafu sisi wasukuma tunachotaka ni kuwahi tu kufika mjini hayo mengine yakwenu,,
Wasukuma wengine tunapenda Luxury VIP class. Choo ndani , mambo ya kuambiwa kuchimba dawa dakika 5 kama wafungwa au mateka.
 
Mkuu unapenda kulakula tuuu
 
Picha zaidi
 
Hizi basi ni za kisasa na yenye viwango vya juu ikiwemo siti za luxury, air condition, tv, choo cha abiria, wahudumu wa kike, vinywaji na vitafunio.
HIZI NDIO SIFA ZA GARI KUWA V.I.P?

Labda nikajua kuna sifa zaidi ya hizo, maana mabasi mengine pia wanatoa hizo huduma tena kwa bei ya chini kuliko hiyo 80k

Naomba nieleweshe vizuri maybe mi ni mshamba naona kama neno VIP linatumika vibaya au ndio gia ya kuingilia sokoni ?
 
Tatizo la Abood hashughulikii kero na maoni wanayotoa abiria, madereva wake wana kiburi na jeuri, hiyo ya wahudumu wa kike siyo priority ya mteja, siku zote ubora wa huduma ni kumjali mteja siyo kumpelekea wahudumu wa kike
 
LABDA KWA WASUKUMA WATAONA HIYO NI VIP. UKWELI NI KWAMBA MKAO WA 2X2 SIO VIP.AU WAHUDUMU WA KIKE, HAO MBONA HATA KWENYE BAR WAPO?
VIP NIJUALOMIMI NI BASI LA ABIRIA 35 LINA VITI VITATU TU SIO 2*2.
NAAHEELULU WASUKUMA NI MGODI WA KILA MJANJA.
 
Hili taifa lina wajinga sana, kwanza mimi kitu sipatani nacho no 1 ni TV kwenye basi, sipatani huo ujinga kabisa, sasa kama karine hii bado unashobokea Tv za kwenye mabasi utakuwa na matatizo
Binafsi sipendi content za Tv wanazoonyesha kwenye mabasi, ila kuna contents zinaweza kunitanya niangalie Tv hata kutwa nzima, kama sina kazi au nikisafiri
 
Wahudumu Wa kike..
🤔
 
LABDA KWA WASUKUMA WATAONA HIYO NI VIP. UKWELI NI KWAMBA MKAO WA 2X2 SIO VIP.AU WAHUDUMU WA KIKE, HAO MBONA HATA KWENYE BAR WAPO?
VIP NIJUALOMIMI NI BASI LA ABIRIA 35 LINA VITI VITATU TU SIO 2*2.
NAAHEELULU WASUKUMA NI MGODI WA KILA MJANJA.
Nafikiri Abood ameona fursa ya vip huko mwanza , allys ana vip njia hiyo nasikia nauli ni 120,000 one way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…