Kampuni ya Mabasi ya Abood Bus Service Limited imezindua mabasi ya VIP

Atawin kama atazingatia muda. Mimi abiria mara nyingi nazingatia nifike safari yangu mapema iwezekanvyo.
Hayo mengine sijui matv madada masoda kwangu ni makolokolo tu yasiyona tija.
 
Hayo mabasi hayapinduki?
 
VIP gani inakuwa 80,00? Ally's Star VIP unaijua nauli yake?
 
Abood azingatie usafi, mabasi yake mengi ndani ni machafu sana.. gari namba E lakini chafu utadhani namba A
Litaacha kuwa chafu basi zao jioni kuanzia saa kumi ma mbili zinabeba abiria kutoka ubungo kwenda mbezo kwa jero jero..lazima yachakae..
 
Una peleka mabus ya vyoo Kwa wasukuma?? Atajuta hawa watu hawajui chochote kuhusu Choo atakuta wamekunya kumbe ni sehemu ya kukojoa tu
Hahahaaaaaaaaaaaaaa bhangoooshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kule ustaarabu hamna nyambaf zao wasukuma mishambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, nimecheka sana leo
 
Una peleka mabus ya vyoo Kwa wasukuma?? Atajuta hawa watu hawajui chochote kuhusu Choo atakuta wamekunya kumbe ni sehemu ya kukojoa tu
mkuu kuna watu nilikuwa nawakatia tiket nikauliza kuhusu choo ndani nikajibiwa unawajua wasukuma kweli???? nikacheka tuu sikutaka kuendelea kuiliza.
 
mkuu kuna watu nilikuwa nawakatia tiket nikauliza kuhusu choo ndani nikajibiwa unawajua wasukuma kweli???? nikacheka tuu sikutaka kuendelea kuiliza.
Ina Maana Hakuna Kutumia Hiyo Choo Ndogo Ama Wana Mbati Wanaweka Kubwa Wanasiriba Mpaka VIP Ianze Kunuka
 
Kampuni Inatumia Mafuta Ya Kidebe Na Wakati Mwingine Wanatembea Na Ndoo Ambazo Huzitumia Abiria Kukalia Ndani Ya Bus Luxury
 
Bongo hakuna VIP BUSES
 
UVIO ni kitu gani? Choo? Kwa kifupi hakuba kitu hapo kinacho weza nishawahishi kupanda bus, Choo? Tv sipatani nazo kabisa, Sosa sinywagwi, biscut ni ufala kunipatia biscut
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mi ndo Huwa sipandi kabisa hayo mabasi
Labda hayo mapya
Sasaa Hayo Mapya Mambo Ni Yale Yale
Jamaa Yangu Kapanda Leo Toka Arusha Kufika Korogwe Bovu
Kwa Aibu Wakaficha Number Ya Gari

BM, HC Zikapita Mapema Sana Kwenda Morogoro
Kampuni Nyingine Ni Majina Ila Hawana Jipya
 
Litaacha kuwa chafu basi zao jioni kuanzia saa kumi ma mbili zinabeba abiria kutoka ubungo kwenda mbezo kwa jero jero..lazima yachakae..
πŸ˜€πŸ˜„πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…