Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Kampuni ya Mabasi ya BM Coach inaendeshwa kihuni. Yafuatayo yanafanywa na vibarua/manamba wa kampuni hii:
1. Kutoka Moro gari likifika Magufuli abiria wanafaulishwa kwenye magari kama (bila hata gari kuharibika) mkaa kwenda Shekilango.
2. Katika zoezi la namba 1 hapo juu, baadhi ya abiria wamejikuta wakiacha watoto/ndugu zao waliosafiri pamoja na mizigo pia.
3. Ukiacha mizigo Magufuli wakati wa kufaulishwa, ukifika Shekilango utaambiwa kaufuatilie tena huko Magufuli kwa gharama zako na unapofika Magufuli unaambiwa gari limeishaondoka Morogoro kwa sababu limepata abiria wa kurudi Morogoro.
4. Siku unafanikiwa kupata gari ulilopanda, dereva na tingo wanakwambia hawajui habari ya mzigo kwa sababu siku hiyo uliyosafiri wao walikuwa kwy basi lingine.
5. Walinifanyia hivyo nikapoteza baadhi ya mizigo ya wanafunzi niliokuwa nawasafirisha kuja likizo. Dereva kwa jeuri aliondoka na baadhi ya wanafunzi Magufuli kwenda Shekilango (kabla wote hawajafaulishwa kuingia kwy gari alilokuwa anaendesha) wakati nahangaika kuokoa mizigo yao kwy gari tuliyotokanayo Moro na kusababisha baadhi ya wanafunzi kubaki Magufuli. Nilipofika Shekilango sikukuta wanafunzi waliotangulia, mara nikaanza kupokea simu za wazazi wanaulizia watoto wao, kumbe watoto walipishana na wazazi wao na kuleta hofu kuwa huenda wameenda kwa rafiki zao na kuleta hofu kwa wazazi wenye watoto wa kike.
6. Nilipofika Shekilango kulalamika, wale vibarua/manamba pale Shekilango wananiangalia kama nyanya mbichi (vitoto vidooogo adabu na maadili sifuri kabisa). Waliniweka kwa masaa 2 bila kunisikiliza wanachat na kupiga story huku wakiniangalia kwa kejeli na unafiki, na niliondoka bila kusikilizwa.
7. Kuna Supervisor wao pale Magufuli anaitwa sijui Hussein nadhani elimu yake kubwa kabisa ni ya Madrasa. Hana sauti kwa madereva na matingo anaowasimamia. Hana msaada hata chembe upatapo shida. Anajificha kwenye kuongea jeuri kama amemeza kanda (cassette).
8. Supervisor wa Shekilango kabila Msukuma ndiyo hovyo kuliko hata mmiliki wa Kampuni yenyewe. Mtoto mdogo ukimsalimia hakujibu wakati ela yako (nauli) ndiyo inamuwezesha kwenda kuchamba chooni (inampa kuishi ili asiliwe tigo hapo mjini).
9. Ufumbuzi.
9.1 Terminal bubu zote ziondolewe mitaani waende wakashindane kwa haki Magufuli. Mbona serikali za mikoa ya Morogoro, Arusha, Mbeya na Mwanza zimeweza kuwabana kutumia terminal-rasmi badala ya terminal-bubu binafsi?
9.2 Nashauri wamiliki wa Makampuni ya Mabasi Tz waombe vibali vya ajira serikalini waajiri Wakenya ili wafanyakazi hao wa Kitz warudi mitaani kuzibua vyoo. Sekta ya Utalii Tz kuna Wakenya kwa asilimia kubwa ndiyo maana ina tija. Wakenya watatunyoosha Watz hadi Dahari.
NB.
Hii nchi tunahitaji kujipambanua upya.
Kuna watu wanaponda Chato Airport kuwa haina tija kumbe wanasahau kuwa hata Magufuli Terminal nayo inatakiwa ifungwe (inakoseshwa tija na terminal-bubu zilizozagaa mitaani) ili foleni zile mbaya za mabasi zirudi mjini kama ndiyo tunatamani ya kale aliyoyaondoa Magufuli. Haiwezekani miundombinu ya gharama kubwa kama ile ya Magufuli Terminal ikaingiza mapato chini ya makadirio.
Utaboreshaje majengo nk kama unaingiza mapato chini ya makadirio?
View attachment 2523274