Kampuni ya Mabasi ya BM Wanahujumu Haki za Abiria

Kampuni ya Mabasi ya BM Wanahujumu Haki za Abiria

hii tabia ya nidhamu ya waoga mpaka lini? hapo magufuli kuna ofisi ya chama cha kutetea abiria kuna kituo cha polisi kuna ofisi ya sumara alafu unaleta malalamiko yako hapa hili upate msaada gani?
Ina maana we hauji umuhimu wa JF? We umekuja kufanya nini huku, au uchawi umekuleta huku.
 
Kampuni ya Mabasi ya BM Coach inaendeshwa kihuni. Yafuatayo yanafanywa na vibarua/manamba wa kampuni hii:

1. Kutoka Moro gari likifika Magufuli abiria wanafaulishwa kwenye magari kama (bila hata gari kuharibika) mkaa kwenda Shekilango.

2. Katika zoezi la namba 1 hapo juu, baadhi ya abiria wamejikuta wakiacha watoto/ndugu zao waliosafiri pamoja na mizigo pia.

3. Ukiacha mizigo Magufuli wakati wa kufaulishwa, ukifika Shekilango utaambiwa kaufuatilie tena huko Magufuli kwa gharama zako na unapofika Magufuli unaambiwa gari limeishaondoka Morogoro kwa sababu limepata abiria wa kurudi Morogoro.

4. Siku unafanikiwa kupata gari ulilopanda, dereva na tingo wanakwambia hawajui habari ya mzigo kwa sababu siku hiyo uliyosafiri wao walikuwa kwy basi lingine.

5. Walinifanyia hivyo nikapoteza baadhi ya mizigo ya wanafunzi niliokuwa nawasafirisha kuja likizo. Dereva kwa jeuri aliondoka na baadhi ya wanafunzi Magufuli kwenda Shekilango (kabla wote hawajafaulishwa kuingia kwy gari alilokuwa anaendesha) wakati nahangaika kuokoa mizigo yao kwy gari tuliyotokanayo Moro na kusababisha baadhi ya wanafunzi kubaki Magufuli. Nilipofika Shekilango sikukuta wanafunzi waliotangulia, mara nikaanza kupokea simu za wazazi wanaulizia watoto wao, kumbe watoto walipishana na wazazi wao na kuleta hofu kuwa huenda wameenda kwa rafiki zao na kuleta hofu kwa wazazi wenye watoto wa kike.

6. Nilipofika Shekilango kulalamika, wale vibarua/manamba pale Shekilango wananiangalia kama nyanya mbichi (vitoto vidooogo adabu na maadili sifuri kabisa). Waliniweka kwa masaa 2 bila kunisikiliza wanachat na kupiga story huku wakiniangalia kwa kejeli na unafiki, na niliondoka bila kusikilizwa.

7. Kuna Supervisor wao pale Magufuli anaitwa sijui Hussein nadhani elimu yake kubwa kabisa ni ya Madrasa. Hana sauti kwa madereva na matingo anaowasimamia. Hana msaada hata chembe upatapo shida. Anajificha kwenye kuongea jeuri kama amemeza kanda (cassette).

8. Supervisor wa Shekilango kabila Msukuma ndiyo hovyo kuliko hata mmiliki wa Kampuni yenyewe. Mtoto mdogo ukimsalimia hakujibu wakati ela yako (nauli) ndiyo inamuwezesha kwenda kuchamba chooni (inampa kuishi ili asiliwe tigo hapo mjini).

9. Ufumbuzi.
9.1 Terminal bubu zote ziondolewe mitaani waende wakashindane kwa haki Magufuli. Mbona serikali za mikoa ya Morogoro, Arusha, Mbeya na Mwanza zimeweza kuwabana kutumia terminal-rasmi badala ya terminal-bubu binafsi?

9.2 Nashauri wamiliki wa Makampuni ya Mabasi Tz waombe vibali vya ajira serikalini waajiri Wakenya ili wafanyakazi hao wa Kitz warudi mitaani kuzibua vyoo. Sekta ya Utalii Tz kuna Wakenya kwa asilimia kubwa ndiyo maana ina tija. Wakenya watatunyoosha Watz hadi Dahari.

NB.
Hii nchi tunahitaji kujipambanua upya.

Kuna watu wanaponda Chato Airport kuwa haina tija kumbe wanasahau kuwa hata Magufuli Terminal nayo inatakiwa ifungwe (inakoseshwa tija na terminal-bubu zilizozagaa mitaani) ili foleni zile mbaya za mabasi zirudi mjini kama ndiyo tunatamani ya kale aliyoyaondoa Magufuli. Haiwezekani miundombinu ya gharama kubwa kama ile ya Magufuli Terminal ikaingiza mapato chini ya makadirio.

Utaboreshaje majengo nk kama unaingiza mapato chini ya makadirio?
View attachment 2523274
Ndugu yangu sazingine ni bora we ulifikishwa shekilango. Kuna haya mabasi yanatoka Arusha kupitia Bagamoyo hayaendi Shekilango na wakati huo we unaunganisha safari kwenda mikoa ya kusini hicho kimbembe utakachopata na mizigo yako. Matajiri wa nchii hii ni kweli wameiweka serikali mfukoni. Imwjengwa stand kubwa Mbezi kwanini mabasi yote yasilazimke kuingia Mbezi kwanza ndiyo yaingie kwenye stand zao za uchichoroni? Vilevile kuna watanzania wanajiita wafanyabiashara hasa hawa wa kanda ya kaskazini wanapendaga sana show off kutawala yale makampuni kwa kudai wao ndio wateja wa kila mara na wa uhakika.

Anayeweza kuwasaidia wananchi na kuwaweka ktk level moja ktk hili ni serikali hakuna mwingine wanyonge watanyanyasika sana. Sijui serikali inawaogopea nini hawa matajiri kiasi hiki alijaribu Amos Makala mara LATRA ikaja kubariki haya mastand ya mitaani. Hata Arusha yapo ndg yao, hiyo BM na Kilimanjaro wana uchochoro wao pale Arusha tofauti na Dar ni kwamba kwa Arusha uko karibu sana na stand kuu. Serikali nasambaza polisi kwenye stand za uchochoroni kwa maslahi ya nani? Wa kutusaidia ni rais wetu mama Samia hakuna mwingine maana mawaziri ndio wamiliki wa baadhi ya makampuni nani mwingine wa kutusaidia.
 
Katawadhe kwanza wewe ndiyo uje kwa wanaume.

Unasema usilolijuwa.

Tiketi imeandikwa Msamvu Shekilango na pale Msamvu wanasisitiza mwisho wa gari ni Shekilango na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya mimi kukata tiketi ya BM badala ya Al Saed.
Kaa kimya kuficha ujinga wako..magari yote yameandikwa..abiria chunga mzigo wako.we unafaulishwa ukaacha mzigo ulifikiri hiyo ndege utaukuta ndani..punguza uzembe mtoto wa kike
 
mkuu hujalazimishwa kushuka huko Shekilango
shuka hapo Magufuli huo mzigo hautaibiwa, panda daladala mpaka Shekilango
Umesoma maelezo yake? Umesoma alivyosema kuhusu mkataba (tiketi) ilivyoandikwa? Kwa nini watanzania tunadhani hatuna haki? Filosofia ya Rorya ubovu wa customer care ni utamaduni ambao watanzania karibu wote wameshaukubali. Haki za mteja zikikiukwa tunadhani njia sahihi ni mteja kunyenyekea. Mabasi mengi yana huduma mbovu sana. Na siyo mabasi tu, ila ni sehemu zote zenye kutoa huduma. Wakifungulia wageni kushika nafasi zetu nakuhakikishia wabongo wengi wataishia kwenye kazi za kuzibua mitaro. Ila nina maoni haya kuhusu hii mnayoita Magufuli Terminal. Hii stendi imejengwa ki-CCM, kwa kutumia siasa mbovu bila kushirikisha wananchi na wataalam. Unapojenga stendi ya namna ile kando ya mji, inatakiwa uhakikishe umeweka miundombinu mizuri ya usafiri kwenda sehemu zote za jiji. Kungetakiwa kwana kuwe na ring road ya kuunganisha haya maeneo. Vinginevyo ingekuwa busara kujenga hii stendi pale Ubungo halafu kuanzia eg Chalinze mpaka jijini waweke barabara yenye line pekee kwa mabasi ili kuondoa msongamano.
 
Mimi formular yangu ni kukariri majina halisi ya hao matajiri wao nikifika hapo magufuli nawaambia aisee nyie embu ntafutieni siti niondoke na hili hili basi haya mambo sio mpaka nimpigie simu Azizi(kama basi ni abood) basi watatafutana hapo mpaka nipewe siti za reserve mi nawacheki tu.
 
All to all nimependa umeandika kiualimu yaani kabla ya kuandika umepanga ndipo ukaja na mada 👏🏾.

Pili huu ndiyo mfumo wetu ndg teacher, yaani kama 'baba hasa' nasema (hasa) hayupo basi hayo ndiyo matokeo, ukweli ni huo Magufuri terminal ndiyo main stand na inapaswa iwe hivyo ili kama ni mgeni akitoka popote duniani akiangalia dira au direction anaona Magufuri Bus Terminal ndiyo Main Bus station.

But majuzi hapo ulifanyika mgomo na raia wakaunga mkono kuwa "lazima kila basi liwe na stendi yake nje ya Magufuri" tokea hapo ndipo unapa jibu who we're?

Issue ya customer care kwa mabasi yetu ni zero distance ni ilikuwa Scandinavia tu but baada ya hapo ukifika salama na mizigo yako mshukuru Maulana.
 
Katawadhe kwanza wewe ndiyo uje kwa wanaume.

Unasema usilolijuwa.

Tiketi imeandikwa Msamvu Shekilango na pale Msamvu wanasisitiza mwisho wa gari ni Shekilango na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya mimi kukata tiketi ya BM badala ya Al Saed.
Wewe naye ni mpuuzi, sasa Shekilango hujui kama sio kituo rasmi cha kushusha na kupakia abiria.

Kuna abiria huwa mnakuwa kama mapopoma.
 
Wewe naye ni mpuuzi, sasa Shekilango hujui kama sio kituo rasmi cha kushusha na kupakia abiria.

Kuna abiria huwa mnakuwa kama mapopoma.
Kingwendu mkubwa wewe.

Kila siku tunapandia na kushukia hapo Shekilango kwa mabasi ya BM Coach, New Force, Ally's Star, Marangu Coach, Kidinilo, Abood, Esther, Tilisho nk.

Au kwa vile huendi kwenu Matombo baada ya kutengwa na ukoo ulipolewa gongo tilalila na kumbaka shangazi yako mdogo na kumtia mimba!!!

Una habari kuna Terminal bubu hadi Gongolamboto, Kisarawe, Chanika, Mbagala, Mkuranga! (Kasoro Kigamboni wanakwepa ushuru wa daraja?)

Makampuni yenye Terminal bubu yanayojiheshimu ni Esther na Tilisho pekeeeeeeeeee.....

Unapandia popote gari lolote la makampuni ya Esther na Tilisho na ukifika Shekilango au Magufuli unaingia kwenye gari la route yako kwa tiketi ileile ya safari.

Wanakodishia abiria wao hata Coaster toka Magufuli hadi kuwapeleka kwenye Terminal zao Gongolamboto, Chanika, Kisarawe na Mkuranga.

Wale Wachaga wana akili za biashara za kumteka abiria kisaikolojia.

Abood unatoka nayo Mwanza hadi Dar km 853 hupewi hata maji wala pipi.

اللعنة
 
Acha kulia lia wewe mtoto wakiume, utakuja kukazwa.

Unataka upewe maji na pipi, kwani kwenu huwa huli ?
 
All to all nimependa umeandika kiualimu yaani kabla ya kuandika umepanga ndipo ukaja na mada [emoji1490].

Pili huu ndiyo mfumo wetu ndg teacher, yaani kama 'baba hasa' nasema (hasa) hayupo basi hayo ndiyo matokeo, ukweli ni huo Magufuri terminal ndiyo main stand na i apaswa iwe hivyo ili kama ni mgeni anatoka popote duniani akiangalia dira au direction anaona Magufuri Bus Terminal ndiyo Main.

But kwa juzi hapo ulifanyika mgomo na raia wakaunga mkono "lazima kila basi liwe na stendi yake nje ya Magufuri" tokea hapo ndipo unapa jibu who we're?

Issue ya customer care kwa mabasi yetu ni zero distance ni ilikuwa Scandinavia tu but baada ya hapo ukifika salama na mizigo yako mshukuru Maulana.
Serikali ikiwalea hawa nakuambia watakuja kuhujumu hata SGR ili tu magari yao yaendelee kuwakusanyia ela kwa ubazazi huo.

Si unaona wenye malori wameishahujumu TAZAMA haipampu tena mafuta ili malori yao yapeleke mafuta Zambia, Malawi na Congo waingize ela bila kujuwa wanaua barabara ya Tz1.

Hata Ohima Chongoliani Pipeline nayo wataihujumu tu na ndipo Museveni atazinduka kuwa bora angepeleka bomba Kenya kuliko Tz.

Itakuwa ni ajabu kwamba nchi moja hii hii TAZAMA ife alafu Ohima Chongoliani ifanye kazi!!!!

Taifa limekosa watu serious.
 
Kaa kimya kuficha ujinga wako..magari yote yameandikwa..abiria chunga mzigo wako.we unafaulishwa ukaacha mzigo ulifikiri hiyo ndege utaukuta ndani..punguza uzembe mtoto wa kike
Umevuka umri wa komahedhi bado unaendelea kuona siku zako za kike ndiyo maana wamiliki wa makampuni husika bado wanaendelea kukul.l.

اللعنة
 
nenda sumatara urafiki hicho kituo kidoga sana
Nilienda trafik Magufuli nikaambiwa uje kesho, kesho nilifika nikaambiwa askari aliyepokea ripoti akiwa zamu hakukabidhi taarifa hiyo.

Nilipiga Chama cha kutetea abiria simu ilikuwa busy 24/7/30.

Nilipiga Polisi taarifa nikapokelewa na kuambiwa wanafuatilia tangu Disemba hadi leo wanafuatilia.

Baada ya hao wote kuasi wajibu wao wa kazi ninapanga kwenda kwa Prof. Ndevumbili kwa Mandondo huenda akawa na ufumbuzi.
 
Acha kulia lia wewe mtoto wakiume, utakuja kukazwa.

Unataka upewe maji na pipi, kwani kwenu huwa huli ?
Wewe tingo wa BM uliyepata kazi kwa kuhonga mlango wako wa tigo, does your ass ever get jealous of the shit that comes out of your mouth? Msukule wa BM wewe, hatimaye ubazazi wenu uko nje, dunia ione. Bundi wa Sumbawanga wewe.

Screenshot_20230220-122542.jpg
 
Wewe tingo wa BM uliyepata kazi kwa kuhonga mlango wako wa tigo, does your ass ever get jealous of the shit that comes out of your mouth? Msukule wa BM wewe, hatimaye ubazazi wenu uko nje, dunia ione. Bundi wa Sumbawanga wewe.

View attachment 2523941
Achana na majibu hasi, hoja yako imefahamika kwa wengi kwa zaidi ya asilimia tisini!
 
Mkuu, hata kama umedhulumiwa lakini hukutakiwa ufike katika hasira za kiasi hiki kiasi kwamba umejionyesha wewe ulivyokuwa kiundani, jua kwamba hao waliokutendea hayo maswahiba ni wakosefu lakini wewe kwa kauli zako inaonekana ni mkosefu zaidi yao.👇🏻

inampa kuishi ili asiliwe tigo hapo mjini).

Kuna Supervisor wao pale Magufuli anaitwa sijui Hussein nadhani elimu yake kubwa kabisa ni ya Madrasa.

serikalini waajiri Wakenya ili wafanyakazi hao wa Kitz warudi mitaani kuzibua vyoo.
 
Ndugu yangu sazingine ni bora we ulifikishwa shekilango. Kuna haya mabasi yanatoka Arusha kupitia Bagamoyo hayaendi Shekilango na wakati huo we unaunganisha safari kwenda mikoa ya kusini hicho kimbembe utakachopata na mizigo yako. Matajiri wa nchii hii ni kweli wameiweka serikali mfukoni. Imwjengwa stand kubwa Mbezi kwanini mabasi yote yasilazimke kuingia Mbezi kwanza ndiyo yaingie kwenye stand zao za uchichoroni? Vilevile kuna watanzania wanajiita wafanyabiashara hasa hawa wa kanda ya kaskazini wanapendaga sana show off kutawala yale makampuni kwa kudai wao ndio wateja wa kila mara na wa uhakika.

Anayeweza kuwasaidia wananchi na kuwaweka ktk level moja ktk hili ni serikali hakuna mwingine wanyonge watanyanyasika sana. Sijui serikali inawaogopea nini hawa matajiri kiasi hiki alijaribu Amos Makala mara LATRA ikaja kubariki haya mastand ya mitaani. Hata Arusha yapo ndg yao, hiyo BM na Kilimanjaro wana uchochoro wao pale Arusha tofauti na Dar ni kwamba kwa Arusha uko karibu sana na stand kuu. Serikali nasambaza polisi kwenye stand za uchochoroni kwa maslahi ya nani? Wa kutusaidia ni rais wetu mama Samia hakuna mwingine maana mawaziri ndio wamiliki wa baadhi ya makampuni nani mwingine wa kutusaidia.
Sidhani kama unaelewa udogo wa hizo stand unazoziongelea.

Hakuna stand moja Arusha inayotosha mabus yote yanayokuja Dar pekee ukiacha kwenda mikoa mingine.

Hiyo stand ya Magufuli haitoshi kuweka mabasi yote kwa wakati mmoja.

Na sio kila abiria anapenda usumbufu wa wapiga debe ndio maana wanaenda hizo stand ndogo.
 
2017 tuliwahi baki na Konda wa Iringa pale Msamvu mpaka seat ilipatikana.

Tena taratibu tu,kadri dakika zinavyokwenda unabadilika.

Dunia ya leo hii huwezi letewa uhuni wa kitoto.

Ni rahisi sana ni kupunguza Uoga wa kudai haki yako.
 
Back
Top Bottom