Kampuni ya Mabasi ya BM Wanahujumu Haki za Abiria

Kampuni ya Mabasi ya BM Wanahujumu Haki za Abiria

Mkuu, hata kama umedhulumiwa lakini hukutakiwa ufike katika hasira za kiasi hiki kiasi kwamba umejionyesha wewe ulivyokuwa kiundani, jua kwamba hao waliokutendea hayo maswahiba ni wakosefu lakini wewe kwa kauli zako inaonekana ni mkosefu zaidi yao.[emoji1313]
Natamani ungevaa viatu vyangu ili ujuwe kuwa wazazi wanadai mizigo ya watoto wao! Kampuni imekataa kutoa ushirikiano, vyombo navyo ni vioga na vimeasi wajibu wao. Whatelse? Nijaribu kwa mganga wa kienyeji labda? Au niyatapike yasinitengenezee burnout? Maana kwy saikolojia tunafundishwa njia hiyo ya kutapika kilichokwama moyoni kwa kukosa ufumbuzi.
 
Kampuni ya Mabasi ya BM Coach inaendeshwa kihuni. Yafuatayo yanafanywa na vibarua/manamba wa kampuni hii:

1. Kutoka Moro gari likifika Magufuli abiria wanafaulishwa kwenye magari kama (bila hata gari kuharibika) mkaa kwenda Shekilango.

2. Katika zoezi la namba 1 hapo juu, baadhi ya abiria wamejikuta wakiacha watoto/ndugu zao waliosafiri pamoja na mizigo pia.

3. Ukiacha mizigo Magufuli wakati wa kufaulishwa, ukifika Shekilango utaambiwa kaufuatilie tena huko Magufuli kwa gharama zako na unapofika Magufuli unaambiwa gari limeishaondoka Morogoro kwa sababu limepata abiria wa kurudi Morogoro.

4. Siku unafanikiwa kupata gari ulilopanda, dereva na tingo wanakwambia hawajui habari ya mzigo kwa sababu siku hiyo uliyosafiri wao walikuwa kwy basi lingine.

5. Walinifanyia hivyo nikapoteza baadhi ya mizigo ya wanafunzi niliokuwa nawasafirisha kuja likizo. Dereva kwa jeuri aliondoka na baadhi ya wanafunzi Magufuli kwenda Shekilango (kabla wote hawajafaulishwa kuingia kwy gari alilokuwa anaendesha) wakati nahangaika kuokoa mizigo yao kwy gari tuliyotokanayo Moro na kusababisha baadhi ya wanafunzi kubaki Magufuli. Nilipofika Shekilango sikukuta wanafunzi waliotangulia, mara nikaanza kupokea simu za wazazi wanaulizia watoto wao, kumbe watoto walipishana na wazazi wao na kuleta hofu kuwa huenda wameenda kwa rafiki zao na kuleta hofu kwa wazazi wenye watoto wa kike.

6. Nilipofika Shekilango kulalamika, wale vibarua/manamba pale Shekilango wananiangalia kama nyanya mbichi (vitoto vidooogo adabu na maadili sifuri kabisa). Waliniweka kwa masaa 2 bila kunisikiliza wanachat na kupiga story huku wakiniangalia kwa kejeli na unafiki, na niliondoka bila kusikilizwa.

7. Kuna Supervisor wao pale Magufuli anaitwa sijui Hussein nadhani elimu yake kubwa kabisa ni ya Madrasa. Hana sauti kwa madereva na matingo anaowasimamia. Hana msaada hata chembe upatapo shida. Anajificha kwenye kuongea jeuri kama amemeza kanda (cassette).

8. Supervisor wa Shekilango kabila Msukuma ndiyo hovyo kuliko hata mmiliki wa Kampuni yenyewe. Mtoto mdogo ukimsalimia hakujibu wakati ela yako (nauli) ndiyo inamuwezesha kwenda kuchamba chooni (inampa kuishi ili asiliwe tigo hapo mjini).

9. Ufumbuzi.
9.1 Terminal bubu zote ziondolewe mitaani waende wakashindane kwa haki Magufuli. Mbona serikali za mikoa ya Morogoro, Arusha, Mbeya na Mwanza zimeweza kuwabana kutumia terminal-rasmi badala ya terminal-bubu binafsi?

9.2 Nashauri wamiliki wa Makampuni ya Mabasi Tz waombe vibali vya ajira serikalini waajiri Wakenya ili wafanyakazi hao wa Kitz warudi mitaani kuzibua vyoo. Sekta ya Utalii Tz kuna Wakenya kwa asilimia kubwa ndiyo maana ina tija. Wakenya watatunyoosha Watz hadi Dahari.

NB.
Hii nchi tunahitaji kujipambanua upya.

Kuna watu wanaponda Chato Airport kuwa haina tija kumbe wanasahau kuwa hata Magufuli Terminal nayo inatakiwa ifungwe (inakoseshwa tija na terminal-bubu zilizozagaa mitaani) ili foleni zile mbaya za mabasi zirudi mjini kama ndiyo tunatamani ya kale aliyoyaondoa Magufuli. Haiwezekani miundombinu ya gharama kubwa kama ile ya Magufuli Terminal ikaingiza mapato chini ya makadirio.

Utaboreshaje majengo nk kama unaingiza mapato chini ya makadirio?
View attachment 2523274
Umeshajiuliza kuwa mwisho wa ma bus huwa ni mbezi au huko shekilango? Hujui bus kwenda shekilango huwa ni hisani tu tena kwa sababu office nyingi za mabasi ziko huko, ila mwisho ni mbezi
 
Nadhani wewe ndio mzembe Wala usiwasingizie BM. Mwisho wa magari ni magufuli bus stand.wao kwa upendo wao wanawatafutia usafiri Hadi shekilango.kwa uzembe wako unasahau mzigo unasingizia kampani.shame on u.
Jamaa analaumu vitu asivyovijua, anadhani mwisho ni Shekilango, hajui huko ni hisani tu.
 
Katawadhe kwanza wewe ndiyo uje kwa wanaume.

Unasema usilolijuwa.

Tiketi imeandikwa Msamvu Shekilango na pale Msamvu wanasisitiza mwisho wa gari ni Shekilango na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya mimi kukata tiketi ya BM badala ya Al Saed.

Wewe ni mpumbavu, hakuna tiketi halali inayosema Msamvu to Shekilango. Weka hiyo tiketi hapa. Wajinga ni wengi sana nchi hii
 
mkuu hujalazimishwa kushuka huko Shekilango
shuka hapo Magufuli huo mzigo hautaibiwa, panda daladala mpaka Shekilango
Unamshauri chizi anayeamini mwisho wa gari ni kwenye zile terminal za bus za kampuni. Hajui kuwa kule ni ofisini na siyo terminal ya route husika kwa mujibu wa sheria ya usafirishaji wa abiria.
 
tatizo letu wtz ni kuwa na nidhamu ya woga na ushamba na ujuaji kwenye sitendi ya mafuli kuna ofisi ya sumatira kuna kituo cha polisi kuna ofisi ya chama cha kutetea abaria heti mtu anakuja hapa kulalamika hata hapo shekilango kuna kituo cha polisi bado kwenye basi humo ndani kuna namba za sumatara
Ina maana hata na wewe hujui mwisho wa safari ni wapi? Huko shekilango ni hisani tu, kama una wanafunzi 55 kodi bus lote ufikishwe mpka huko kwa mtogole
 
2017 tuliwahi baki na Konda wa Iringa pale Msamvu mpaka seat ilipatikana.

Tena taratibu tu,kadri dakika zinavyokwenda unabadilika.

Dunia ya leo hii huwezi letewa uhuni wa kitoto.

Ni rahisi sana ni kupunguza Uoga wa kudai haki yako.
Sometimes a coward lives long kwa nchi kama hii.

Ila iko siku mtu atajitoa akili awabebeshe mihadarati na kuwachomea utambi; kama hawako tayari kubadilika.
 
Umeshajiuliza kuwa mwisho wa ma bus huwa ni mbezi au huko shekilango? Hujui bus kwenda shekilango huwa ni hisani tu tena kwa sababu office nyingi za mabasi ziko huko, ila mwisho ni mbezi
Nadhani nikuache kama ulivyo msiosafiri!
 
Jamaa analaumu vitu asivyovijua, anadhani mwisho ni Shekilango, hajui huko ni hisani tu.
Tiketi ikiandikwa Msamvu Shekilango maana yake ni Magufuli? Mkataba ni nini? Siyo tiketi?

Shida umezaliwa Tandika Zahanati, unaishi Tandika Maguruwe, umesoma Tandika S/M, umesoma Tandika Sekondari hadi F2, umeenda chuo cha ufundi mchundo Tandika, umeajiriwa Tandika garage, umepanga gheto Tandika Mahunda, unakula Tandika Magengeni.

Sidhani kama una unachokijuwa zaidi ya Tandika.
 
Juzi nimelewa nikapanda Bm mpaka shekilango nashangaaa naambiwa nimefika na niliwaambia naenda Arusha ikanibidi nichukue gari lingine sikuwapa Bm hata 100 ila hizi pombe hizi
 
Wewe ni mpumbavu, hakuna tiketi halali inayosema Msamvu to Shekilango. Weka hiyo tiketi hapa. Wajinga ni wengi sana nchi hii
Ubongo wako una madhara ya shambulizi la kaswende na gono ulipokuwa kwenye mji wa mimba. Unahitaji medical evacuation wewe maana hapa nyumbani haiwezekani.
 
Unamshauri chizi anayeamini mwisho wa gari ni kwenye zile terminal za bus za kampuni. Hajui kuwa kule ni ofisini na siyo terminal ya route husika kwa mujibu wa sheria ya usafirishaji wa abiria.
Magendo yenu ya kuhujumu abiria na terminal kuu hatimaye yamedhihirika. Malusiferi na mabasha wa kampuni. Sasa uache biashara yako ile ya kuwapelekea maji ya maiti ili waoshee magari ili wapate damu za kafara Mikese. Umegundulika hatimaye. Ukiandika ustaarabu najibu ustaarabu na kinyume chake ni kweli.
 
Pole kwa changamoto ila Kuna sehemu umezingua imenifanya nifikirie huenda ulikuwa na hasira kiasi wakishindwa kukuskiliza
1) maelezo yako: msimamizi wa magufuli terminal (Hussein) ni Hana kauli elimu yake ikizidi sana ni madrasa hapa una maana gani? Hii sio sahihi mkuu nadhani nimeeleweka

2)msimamizi wa kituo shekilango (msukuma) nae hovyo Yani Kuna vitu unahusianisha havina uhusiano kabila na tabia huku madrasa na elimu

Any way pole mkuu hizi changamoto kwa abiria kweli zipo Kuna muda abiria wanakosa wapi unaweza pata msaada
 
Tiketi ikiandikwa Msamvu Shekilango maana yake ni Magufuli? Mkataba ni nini? Siyo tiketi?

Shida umezaliwa Tandika Zahanati, unaishi Tandika Maguruwe, umesoma Tandika S/M, umesoma Tandika Sekondari hadi F2, umeenda chuo cha ufundi mchundo Tandika, umeajiriwa Tandika garage, umepanga gheto Tandika Mahunda, unakula Tandika Magengeni.

Sidhani kama una unachokijuwa zaidi ya Tandika.
Sawa, unaweza weka hiyo ticket hapa inayosema Msamvu Shekilango?
 
Pole kwa changamoto ila Kuna sehemu umezingua imenifanya nifikirie huenda ulikuwa na hasira kiasi wakishindwa kukuskiliza
1) maelezo yako: msimamizi wa magufuli terminal (Hussein) ni Hana kauli elimu yake ikizidi sana ni madrasa hapa una maana gani? Hii sio sahihi mkuu nadhani nimeeleweka

2)msimamizi wa kituo shekilango (msukuma) nae hovyo Yani Kuna vitu unahusianisha havina uhusiano kabila na tabia huku madrasa na elimu

Any way pole mkuu hizi changamoto kwa abiria kweli zipo Kuna muda abiria wanakosa wapi unaweza pata msaada
Hapa ndipo utajua akili ya mtoa mada ilivyo. Still anakomaa eti alikatiwa ticket inayosema Msamvu to Shekilango
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magendo yenu ya kuhujumu abiria na terminal kuu hatimaye yamedhihirika. Malusiferi na mabasha wa kampuni. Sasa uache biashara yako ile ya kuwapelekea maji ya maiti ili waoshee magari ili wapate damu za kafara Mikese. Umegundulika hatimaye. Ukiandika ustaarabu najibu ustaarabu na kinyume chake ni kweli.
Mkuu mbona una makasiriko sana yasiyo na msingi, heshimu basi hata umri wako kama wewe binafsi umeshindwa kujiheshimu. Eti umepewa ticket inayosema Msamvu to Shekilango, una akili kweli wewe? Then unakuja kulia humu huku ukidai kuwa wengine hatujawahi kusafiri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chizi wewe
 
Nimesoma huu uzi wako wote na kuhitimisha kwa kusema WEWE NI MPUMBAVU NA HUJITAMBUI. Mwisho wa basi ni Magufuli na ili kutimiza ahadi yao ndo maana wakaweka magari mengine ya kuwafaulisha kwenda Shekilango. Huo utaratibu nilishawahi kuona kwa RATCO.. walikuwa wana minibus za kuwachukua watu kutoka Ubungo hadi Magomeni na KKOO. Kuhusu mizigo ni wajibu wako kuhakikisha inashushwa pale Magufuli na kuingia nayo kwenye minibus ya kwenda Shekilango.

Halafu ninakereka sana kuona big thinker kama wewe huwezi kusimama kwenye haki zako hadi kila unapoenda unaishia kudharaulika. Kukalishwa masaa mawili kwenye ofisi za BM ni kosa lako.
 
Back
Top Bottom