Kampuni ya Mabasi ya BM Wanahujumu Haki za Abiria

Kuna mabasi Mkuu ukiamua Kusafiri achana nayo.Utaishii kutia watu ngumi tu ..Kama hao Abood kwa Route ndefu..ni kama wamepakia mizukule hovyo hovyo.
BM wana Bus zao ni kama mitumbwi ile ya Kilombero..mtu aje abishe nimepanda
Sometimes a coward lives long kwa nchi kama hii.

Ila iko siku mtu atajitoa akili awabebeshe mihadarati na kuwachomea utambi; kama hawako tayari kubadilika.
Mkuu ni kweli lakini hakuna kitu inakera kama mtu akuone mjinga hasa hawa watu wa Mabasi.

Chukulia umekata tiketi vizuri sana 4-5Days before.Halafu kirahisi sana Konda amasema Basi imejaa subiri ya Nyuma.

Tulichofanya tulisubiri naye Basi ya nyuma.
Watu wanaonewa sana Chief,nimewahi ona last year mtu kalipa nauli toka Mwanza tu Arusha na alikaa kwa ndoo.

Hawa ni watanzania wenzetu wasiotaka fujo.
Lakini kuhatarisha maisha.
 
Kuna sehemu anawakejeli Wazaramo na sehemu anawakejeli Waswahili (watu wa Tandika) ambao kimsingi hawajamfanya chochote.

Binafsi hapo mwanzo nili sympathise na yeye wakati nasoma uzi wake mpaka nilipofika hapa

7. Kuna Supervisor wao pale Magufuli anaitwa sijui Hussein nadhani elimu yake kubwa kabisa ni ya Madrasa
Mara nasoma na hii
Wazaramo msiokuwa na shughuli wala ndugu mikoani mna mtindio wa ubongo kwelikweli.
Mara hii

Shida umezaliwa Tandika Zahanati, unaishi Tandika Maguruwe, umesoma Tandika S/M, umesoma Tandika Sekondari hadi F2, umeenda chuo cha ufundi mchundo Tandika, umeajiriwa Tandika garage, umepanga gheto Tandika Mahunda, unakula Tandika Magengeni.


Naona nimuache tu na uzi wake.
 
Katawadhe kwanza wewe ndiyo uje kwa wanaume.

Unasema usilolijuwa.

Tiketi imeandikwa Msamvu Shekilango na pale Msamvu wanasisitiza mwisho wa gari ni Shekilango na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya mimi kukata tiketi ya BM badala ya Al Saed.

Ungekata alsaed ukakae na mende
 
Umeona eeh hiyo ya wazaramo sikuoina bahati mbaya

Anahusianisha tabia ya mtu mmoja na jamii flani hata hakuna muunganiko , ndio mana nikipata wasiwasi hakusikilizwa kwa sababu ya kasoro zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…