DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wabongo tunaiga maisha ya mbele kiasi kwamba hatujali maadili tunajali kama mtu kafanikiwa ama la. So hata ukifanikiwa kwa maadili hasi wabongo wa kusema tutafute pesa hawakosekani
 
Wivu huo sasa ....akifanya abood au shabiby ni sawa akifanya ngozi nyeusi achunguzwe khaaa wivu mwingine duu

Akili zao Sawa na ndugu Yao kipara ngoto ambaye anategemea baba ake amsemee shwain
 
Wabongo tunaiga maisha ya mbele kiasi kwamba hatujali maadili tunajali kama mtu kafanikiwa ama la. So hata ukifanikiwa kwa maadili hasi wabongo wa kusema tutafute pesa hawakosekani

Shida yako ipo kwenye kufuatilia waliofanikiwa na sio kufanya juhudi ufanikiwe kwa namna yako si ndio nyie wenye akili mbovu mtu akitajirika mnasema Kaua wazazi au ndugu zake
 

Tatizo lipo hutaliona kama na wewe unaakili kama yake
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Mhasibu hajichunguzi,ila yafaa achunguzwe,vipi kama hakuna wakumchunguza,ili hali Kibubu kabidhiwa mikononi mwake😂
 
Mhasibu hajichunguzi,ila yafaa achunguzwe,vipi kama hakuna wakumchunguza,ili hali Kibubu kabidhiwa mikononi mwake[emoji23]

Kawa tuma Kipara na rimradi linalomshinda lile mwambieni huku tupo gizani
 
Mwambie baba ako naye atafute pesa sio kufuatilia maisha ya watu mtachelewa
Sasa katibu wa mwigulu,kwani we baba yako ana hela?au huyo mwigu yeye babake alikuwa na hela?si alizaliwa na mchunga ng'ombe tu 🤣🤣wizi unalipa🤣🤣
 
Wenye mawazo ya kimasikini ni wote ambao wana roho ya ubinafsi. Maana Tangu kuwapo kwa Tawala mbalimbali za Binadamu duniani na historia inashuhudia kwamba hakuna mtu aliyejifanikisha mwenyewe na familia na watu wa karibu asiishie kupotea. Na hiyo iwe kwa halali ama kwa Dhuluma ama ufisadi.

Sasa kama ukitafuta pesa za halali ukawa mbinafsi Mwenyez Mungu anakuumbua sembuse za wavuja jasho.. Hahahhaha.. Aya Time shall Decide.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…