DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wabongo tunaiga maisha ya mbele kiasi kwamba hatujali maadili tunajali kama mtu kafanikiwa ama la. So hata ukifanikiwa kwa maadili hasi wabongo wa kusema tutafute pesa hawakosekani
 
Wivu huo sasa ....akifanya abood au shabiby ni sawa akifanya ngozi nyeusi achunguzwe khaaa wivu mwingine duu

Akili zao Sawa na ndugu Yao kipara ngoto ambaye anategemea baba ake amsemee shwain
 
Leo shabbiby kaaingiza vyuma vipya 20 View attachment 2572362View attachment 2572363
IMG_20230331_111936_5.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wabongo tunaiga maisha ya mbele kiasi kwamba hatujali maadili tunajali kama mtu kafanikiwa ama la. So hata ukifanikiwa kwa maadili hasi wabongo wa kusema tutafute pesa hawakosekani

Shida yako ipo kwenye kufuatilia waliofanikiwa na sio kufanya juhudi ufanikiwe kwa namna yako si ndio nyie wenye akili mbovu mtu akitajirika mnasema Kaua wazazi au ndugu zake
 
Sion tatizo kwny alichosema,lazma utajiri wwte uchunguzwe muhimu kujua km ni utajir halali hufanyika dunian kote,CAG katoka kutema cheche watu wanachota tu afu we unadiss kuchunguzwa kwa kampuni iyo ya usafir,,unasema ni umaskini,acha kuna na kiherehere mzee hakuna tuzo za JF kwa wanaowahi kucomment

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo lipo hutaliona kama na wewe unaakili kama yake
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Mhasibu hajichunguzi,ila yafaa achunguzwe,vipi kama hakuna wakumchunguza,ili hali Kibubu kabidhiwa mikononi mwake😂
 
Mhasibu hajichunguzi,ila yafaa achunguzwe,vipi kama hakuna wakumchunguza,ili hali Kibubu kabidhiwa mikononi mwake[emoji23]

Kawa tuma Kipara na rimradi linalomshinda lile mwambieni huku tupo gizani
 
Mwambie baba ako naye atafute pesa sio kufuatilia maisha ya watu mtachelewa
Sasa katibu wa mwigulu,kwani we baba yako ana hela?au huyo mwigu yeye babake alikuwa na hela?si alizaliwa na mchunga ng'ombe tu 🤣🤣wizi unalipa🤣🤣
 
Kwani umaskini ni sifa nzuri nayo and mnadhani Kiongozi au Mtendaji yeyote hawezi ku invest na akawa tajiri na kwa akili yako mbovu unaleta story za Nyerere kwenye mfumo wa maisha yetu Haya msichojua ni kwamba sifa mojawapo ya Kuwa Rais Marekani ni una utajiri kiasi gani acheni mawazo ya kimaskini
Wenye mawazo ya kimasikini ni wote ambao wana roho ya ubinafsi. Maana Tangu kuwapo kwa Tawala mbalimbali za Binadamu duniani na historia inashuhudia kwamba hakuna mtu aliyejifanikisha mwenyewe na familia na watu wa karibu asiishie kupotea. Na hiyo iwe kwa halali ama kwa Dhuluma ama ufisadi.

Sasa kama ukitafuta pesa za halali ukawa mbinafsi Mwenyez Mungu anakuumbua sembuse za wavuja jasho.. Hahahhaha.. Aya Time shall Decide.
 
Back
Top Bottom