Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue pale shekilango wana ofisi mbili.. Nilikiwepo kabla ya huo muda ila ofisi nyingine.Kwenye tickets mara nyingi huwa wanaandika muda wa ww kufika yaani dk 30 kabla ya gar kuondoka
Wanazingua kinoma.. Ila sasa ndiyo wanaonekana ni watoto pendwa wa sirikali..Mnawapa kichwa wenyewe acha wawatese
Wewe ni mnazi?Nahisi hivyo aisee..
Haiwezekani wao wanajiamulia pa kupakia na stand ya kuingia