Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 4, 2023 #21 Inasikitisha sana...
MLIMAWANYOKA JF-Expert Member Joined Oct 25, 2019 Posts 631 Reaction score 2,247 Mar 4, 2023 Thread starter #22 one b said: Kwenye tickets mara nyingi huwa wanaandika muda wa ww kufika yaani dk 30 kabla ya gar kuondoka Click to expand... Issue pale shekilango wana ofisi mbili.. Nilikiwepo kabla ya huo muda ila ofisi nyingine.
one b said: Kwenye tickets mara nyingi huwa wanaandika muda wa ww kufika yaani dk 30 kabla ya gar kuondoka Click to expand... Issue pale shekilango wana ofisi mbili.. Nilikiwepo kabla ya huo muda ila ofisi nyingine.
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Mar 4, 2023 #23 Mnawapa kichwa wenyewe acha wawatese
MLIMAWANYOKA JF-Expert Member Joined Oct 25, 2019 Posts 631 Reaction score 2,247 Mar 4, 2023 Thread starter #24 Kinyungu said: Mnawapa kichwa wenyewe acha wawatese Click to expand... Wanazingua kinoma.. Ila sasa ndiyo wanaonekana ni watoto pendwa wa sirikali..
Kinyungu said: Mnawapa kichwa wenyewe acha wawatese Click to expand... Wanazingua kinoma.. Ila sasa ndiyo wanaonekana ni watoto pendwa wa sirikali..
kingundya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 2,000 Reaction score 3,352 Jun 7, 2023 #25 MLIMAWANYOKA said: Nahisi hivyo aisee.. Haiwezekani wao wanajiamulia pa kupakia na stand ya kuingia Click to expand... Wewe ni mnazi?
MLIMAWANYOKA said: Nahisi hivyo aisee.. Haiwezekani wao wanajiamulia pa kupakia na stand ya kuingia Click to expand... Wewe ni mnazi?