Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

zitto junior huyo bush lawyer Stroke je bado yupo?
 
Hizi ndizo kesi akina Kibatala na Lissu walitakiwa wazinunue ili wanusuru nchi kupoteza pesa zote hizo, na hii ingewaongezea mileage kwenye kazi zao na Hata kisiasa!!! Najaribu kuwaza kwa HERUFI kubwa, msinipopoe mawe 😄😄😄
====
Copy and paste!
 
Hapana ina maana wakishindwa kesi wanabeba liability ya CCM, hiyo mikataba mingi ina nature ya rushwa na vifungu vibovu je Lissu na Kibatala watakua tayari kutetea kwa kukubaliana na madhaifu yote ya mkataba ulivyosainiwa awali?
 
Waharishe CCM na kina Lissu ndiyo wazoe uharo wao? CCM wakiri kwanza wameshindwa wawaachie watu wengine.
 
....wameshindwa wawaachie watu wengine.
Sasa wataaminikaje kama wanauwezo wakati hawataki kuonyesha uwezo wao kutatua changamoto zinazowakabili wananchi moja kwa moja? Na hawa wananchi ndiyo wapiga kura
 
Hapana ina maana wakishindwa kesi wanabeba liability ya CCM,
Kwa hiyo wapo tayari Taifa letu lichomwe kiberiti na tuwe majibu kisa tu changamoto iliyopo imetokea wakati CCM ipo madarakani!!! Sasa Tukisha kuwa Majivu wao wataongoza nini wakati na wao ni Majivu? Mimi nilitegemea wasaidie kunusuru nchi ili Hata wao wakipewa dhamana ya kuiongoza nchi wasipaye changamoto kubwa!!!!

Mimi nilidhani hii ni fikira saidizi....lakini kama nao hawataki kunusuru inaonekana na wao wanania ovu dhidi ya Watanzania!!!

Napumzisha shauri langu!
 
Kwanza serikali ya CCM haiwezi kuthubutu kuwapa na pili ni ulaji kwa hiyo lazima wapewe machawa!
 
waliingia mikata mibovu kupata hela za Uchaguzi sasa wana haha
 
Kwanza sio kila wakili anaweza sikiliza mashauri hayo wamebobea kwenye Arbitration na settlement na pia wana uelewa wa sheria za mikataba vitu ambavyo sio Lissu au Kibatala wamesomea so hilo sio eneo lao. So ni lazima serikali iingie mfukoni ipate mawakili wazuri kutoka law Chambers za hao hao wazungu au lobbyists waliojazana Brussels!!

Kingine Tanzania ina Wakili Mkuu na Mwanasheria mkuu hawa ndio wata assign nani anaiwakilisha nchi kwenye haya mashauri so huwa wana assign mawakili wa serikali mfano mwanasheria wa wizara husika n.k so haiwezekani ikaacha kote huko ikaenda chukua mtu aliyesomea sheria ya mazingira au haki za binadamu ikaacha wataalamu wao wenyewe walio specialize kwenye madini na mikataba ya kimataifa!!!
Mimi nilidhani hii ni fikira saidizi....lakini kama nao hawataki kunusuru inaonekana na wao wanania ovu dhidi ya Watanzania!!!
Mbona waliwahi toa ushauri mapema mfano hizo sheria za mapato ya gesi na mafuta Lissu hadi alifukuzwa bungeni kisa kupinga vifungu vyenye loopholes ila leo hii wakaishia kufanya ammendments zile zile walizoonywa tena ni baada ya hasara kadhaa!!

Otherwise Lissu is a politician and therefore is led by a basic principle that "Never interrupt your enemy when he's making mistakes"
 
Sasa wataaminikaje kama wanauwezo wakati hawataki kuonyesha uwezo wao kutatua changamoto zinazowakabili wananchi moja kwa moja? Na hawa wananchi ndiyo wapiga kura
Huoni Lissu aliponea kuuawa kwa kusema ukweli kuhusu hiyo mikataba mibovu? Mikataba mingi hata ukiwapa wanasheria bora kabisa duniani hawatashinda kwa sababu CCM iliingia mikataba mibovu ili wapate rushwa.
 
Hao matapeli ya kisiasa huwezi yaona hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…